Tunajifunza maarifa ili kuongeza uelewa,je unaongeza kwa kwa kusoma pekee vitabu? Unatekeleza ili yaendelee kubaki kama tabia ya kila siku katika utendaji fikra,utendaji matendo?
Ipi ni njia nzuri ya kukufanya maarifa yako unayojifunza kwenye kitabu yafanye ubongo uone umeyatendea haki?
Tunajifunza maarifa ili kuwa expert kwenye baadhi ya mambo na ili ikusaidie huko mbeleni.
Pitia source za maarifa ili yawe maarifa sahihi ni lazima yalete matokeo mazuri na si kufurahia/kuonekana unasoma tu vitabu vya kuongeza maarifa.
Hahaha umefahamu vipi napendelea starehe na unifahamu?🤣
Mimi napendelea utani sana na watu na sometimes kwa vitu serious kama vya majonzi ninaweza kukutania ilimradi nikuondolee hiyo hali.
Mitazamo ni mizuri kujifunza kupitia watu maana unaweza kuchukua na kuboresha mitazamo yao ila si kila mtazamo ni sahihi kwako,njia sahihi inaweza kuwa moja ila usitembee kama atembeae aliyetangulia maana unaweza kufail.
Hata huyo David shwartz anakuambia ufanyie kazi maarifa na si kumuandika JF hapa🤣