Show za kibabe

Show za kibabe

Hata kwa Forbes pages just broke down every point Mo aliyoongea...
kijana Quit slacking nakuambia.
That guy in the first interview is telling you to cut the laziness,think big and be quick to break down stuff from the bulk and simplify it.Sasa wewe na uvivu wako kututafunia wenzio umejifunza mengine na hayo umeyaruka na ulivyomchoyo tunaomba tujifunze unaanza kutusema.🤣
"No magic in success" amesema mhusika
Mi na wewe nani ana u laziness😀🤣.
👉Sipendi summary coz naamini Kuna detail una eza zimiss out.
👉 Point ndogo ndogo huwa na maana kubwa, that's why ni Bora uende kwenye source halisi🤒
 
Mi na wewe nani ana u laziness😀🤣.
👉Sipendi summary coz naamini Kuna detail una eza zimiss out.
👉 Point ndogo ndogo huwa na maana kubwa, that's why ni Bora uende kwenye source halisi🤒
Tunajifunza kwa watu kupitia watu,kama sina uwezo wa kuangalia nijifunze kama wewe ? Si ndio maana nimeomba unipatie hata maneno mawili 3 kutoka kwake kupitia wewe.

Kijana,una uchoyo mkubwa
Hata mkeo unampatia pesa ya matumizi ya kutosha kweli wewe?
 
Mi na wewe nani ana u laziness😀🤣.
👉Sipendi summary coz naamini Kuna detail una eza zimiss out.
👉 Point ndogo ndogo huwa na maana kubwa, that's why ni Bora uende kwenye source halisi🤒
Ila safi sana,unamfuatilia mfanyabiashara mwenzako mkubwa sana.

Ndege wafananao huruka pamoja so nawe ni billionaire.😅
 
Tunajifunza kwa watu kupitia watu,kama sina uwezo wa kuangalia nijifunze kama wewe ? Si ndio maana nimeomba unipatie hata maneno mawili 3 kutoka kwake kupitia wewe.

Kijana,una uchoyo mkubwa
Hata mkeo unampatia pesa ya matumizi ya kutosha kweli wewe?
Neno la kwanza si ni stop being lazy😀😂.
👉Sa mbona una penda short cut😂😀.
 
FB_IMG_1704452907409.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom