Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,326
- 16,573
Endelea kupafanyia usafi ili ujivunie zaidi.No
Nakojoa pazuri 🤒
Msalimie.
Endelea kupafanyia usafi ili ujivunie zaidi.No
Nakojoa pazuri 🤒
Kwahiyo tukihitaji kufika tufanyaje?
All right, nakojoa pazuri😀😂Endelea kupafanyia usafi ili ujivunie zaidi.
Msalimie.
Nahitaji kibali kwa ajili ya kutembelea na kupiga picha tu.
Haya maneno yenu vijana wa Dsm,wakike kwa kiume wote kama mnatumia tumbaku.🙌All right, nakojoa pazuri😀😂
Nipo nanjilinjii, nyie si ndo wazee wa dsm 😀🤔Haya maneno yenu vijana wa Dsm,wakike kwa kiume wote kama mnatumia tumbaku.🙌
We si pastor was mchongo 😀, au una taka uende Kisha uwa ambie waumini uli enda kuzimu na uka Rudi🤣😂😀🤒Nahitaji kibali kwa ajili ya kutembelea na kupiga picha tu.
Hahaha!Nipo nanjilinjii, nyie si ndo wazee wa dsm 😀🤔
Pouwa imeisha iyoNahitaji kibali kwa ajili ya kutembelea na kupiga picha tu.
Mna tuitaga hivyo, tuki fika stendi una kuta tume yatimba😀😂🤣.Hahaha!
Sogea hapa ferry tukamate tuna fish.
Sijaelewa.Mna tuitaga hivyo, tuki fika stendi una kuta tume yatimba😀😂🤣.
👉Namba unayo piga haipatikani, jaribu baadae- uki shindwa jaribu mwakani🤣😂🤒
Namaanisha mna waita watu mjini, wakija mna disappear 😂🤣🤒Sijaelewa.
Can you break down what caught your ears in those interviews? Mr intelligentThIS guy is quite ahead, nime sikiliza hizi interview kwa umakini.
👉Jamaa ana kitu 🤒.
View attachment 2862453
Aiseeeh😅Namaanisha mna waita watu mjini, wakija mna disappear 😂🤣🤒
Summarization ni upuuzi nisio ukubali🤣😂😀.Can you break down what caught your ears in those interviews? Mr intelligent
Hata kwa Forbes pages just broke down every point Mo aliyoongea...Summarization ni upuuzi nisio ukubali🤣😂😀.
👉Mimi sio nyambari nyangwine😀🤣🤒