Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,409
- 102,310
SbhsjwjBasi mjomba sasa😂😂😂😂😂
SbhsjwjBasi mjomba sasa😂😂😂😂😂
Sawa we tukejeli tu majoblessFor real🤒🤒, Tena nina kitabu changu Cha u jobless in Africa 😃😂
Aaah kumbe ww ni uncleSbhsjwj
Jamani, mbona mi ndo Mwenyekiti wa majobless,jf😃🤒Sawa we tukejeli tu majobless
EhhwwAaah kumbe ww ni uncle
Dah Hadi nawaza, dunia yenu Ina kuwa corrupted.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] emu niwacheee, life fupi hiliii.
Acha ni enjoy.
Sawa nimetulia broWe Tayana-wog mi natangaza amani tu, so tulia😀🤒🤒
Matajiri ndo Mna lala, acha niingie mtaani nika sake hata ya ugali was kesho🤒Sawa nimetulia bro
Uwe na usiku mwema,kesho nayo siku😅
😔😔😔😔Matajiri ndo Mna lala, acha niingie mtaani nika sake hata ya ugali was kesho🤒
Ooh!Rip Mbeki
Napendelea magimbi,mihogo and roasted cashew nuts[emoji39]This breakfast [emoji1544][emoji39]View attachment 2860604View attachment 2860605
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ukifotoa watoto ni copy tupu halafu afya teleNapendelea magimbi,mihogo and roasted cashew nuts[emoji39]
Cashew nuts rahisi kupata kuliko hizo nyingine.View attachment 2860612