Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 365,942
- 845,937
- Thread starter
- #321
Kama yepiKama hizo ndio shoo za kibabe, kumbe ndo maana Kuna ongezeko kubwa na magonjwa yasoambukiza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama yepiKama hizo ndio shoo za kibabe, kumbe ndo maana Kuna ongezeko kubwa na magonjwa yasoambukiza.
Mkuu jobless nitoe wapi hela ya juice😀😂Niko kwa kichochoro hapa nasubiri nikabe wapita njia ili nipate chochote kitu.
Ila hapo ungepata na fresh juice kidogo😅
Jobless wa ian gani wewe?You so sluggish though...Mkuu jobless nitoe wapi hela ya juice😀😂
A ha nika ponde kokoto, siwezi Bishana na mchungaji anaye Shiba kwa shemeji😂😂😀🤒Jobless wa ian gani wewe?You so sluggish though...
Jobless tuko na nguvu hadi ya kukaba watu hapa😅
Na niko kwa shemeji hapa naziona hizo juice mbele yangu navizia niibe.
Shida mki Shiba kwa shemeji zenu, mna Anza kuita watu wavivu.Jobless wa ian gani wewe?You so sluggish though...
Jobless tuko na nguvu hadi ya kukaba watu hapa😅
Na niko kwa shemeji hapa naziona hizo juice mbele yangu navizia niibe.
Mdogo wangu unataka makofi kwa kunidhihaki kaka yako hata kama naishi kwa shemeji.🤣Shida mki Shiba kwa shemeji zenu, mna Anza kuita watu wavivu.
👉Akati energy Ume ipata kwa shemeji, Kisha una Anza kingreza chako Cha havard ya tandale😀😂🤣🏃🏃🏃🏃
UTA sikia, I am from- hebu tulieni ng'ombe wa mayai wewe🤣😂😂Mdogo wangu unataka makofi kwa kunidhihaki kaka yako hata kama naishi kwa shemeji.🤣
Sijui hiyo kingereza na umefahamu vipi naishi tandale?🤣
Sipendi utani wa kweli mimi.🤣
"Ng'ombe wa mayai"🤣🙌UTA sikia, I am from- hebu tulieni ng'ombe wa mayai wewe🤣😂😂
Nisha kula chief, maybe jioni tena 🤣😂😂."Ng'ombe wa mayai"🤣🙌
Acha maneno mengi kijana,weka picha hapa tunogeshe uzi sasa...
Tena sio mayai, ni mayaj ya chuma🤣😂😂."Ng'ombe wa mayai"🤣🙌
Acha maneno mengi kijana,weka picha hapa tunogeshe uzi sasa...
Ukishiba sasa unaanza kurefusha mdomo🤣Tena sio mayai, ni mayaj ya chuma🤣😂😂.
Hapo ni wapi??, Napendaga juice za pale golden fork ya oysterbayVizuri kabisaaaa
Sogea hapo karibu nakuandalia fresh juice kama unavyoniona hapo kwenye pic.View attachment 2860095
Kenge weeee, pastor + energy ya shemeji= trouble kwa mtaa😂🤣🤣🤒Ukishiba sasa unaanza kurefusha mdomo🤣
Kaka hayo yote ya nini 🤣😀
Ooh sijawahi kufika hiyo sehemu,mazingira ni safi ?Hapo ni wapi??, Napendaga juice za pale golden fork ya oysterbay
Energy ya shemeji tena? Kachukua dada hivyo nalipa energy yangu kwa anayomfanyia huko private🤣Kenge weeee, pastor + energy ya shemeji= trouble kwa mtaa😂🤣🤣🤒
Pako poa Sana ni 🔥🔥🔥.Ooh sijawahi kufika hiyo sehemu,mazingira ni safi ?
Wait niangalie mtandaoni ili nikapata muda nikatembelee.Pako poa Sana ni 🔥🔥🔥.