Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,827
Kama hizo ndio shoo za kibabe, kumbe ndo maana Kuna ongezeko kubwa na magonjwa yasoambukiza.
Mfano wa hayo magonjwa mkuu😊😊Kama hizo ndio shoo za kibabe, kumbe ndo maana Kuna ongezeko kubwa na magonjwa yasoambukiza.
Ww pia ngoja nikutafutie.Mimi pia ni mnyama sana kwenye kupika japo miaka ya karibuni sipikagi kabisa ila Nina kiwango Cha juu
umetokelezea mkuu, mtoto 1GB, mtoto portable😋Nuzulati
Carasco Putin
Bantu Lady
Intelligent businessman
Kalpana
Kaparo
mshamba_hachekwi
Glenn
To yeye
Unique Flower
Antonnia
cocastic
Poker
raraa reree
CAPTORHINOMORPHS
dronedrake
Mjep
Cute Wife
ERoni
Tinsley
Joannah
mzabzab
Chizi Maarifa
Analyse
ID nyingine sizikumbuki lovers watagini na wengine
Happy new year.
View attachment 2859687
Kwenye uungaji mboga ndio balaa mapishi ndio usiseme ilifika kipindi nikienda kutembea Kwa brother angu zamani anamkataza mke wake anasema Leo mpishi atakua Dr am 4 real PhD 😅😂😂Ww pia ngoja nikutafutie.
Ila ntakufanyia interview kwanza upike pilau ,☺️☺️
Nakuonaa brother mshambaumetokelezea mkuu, mtoto 1GB, mtoto portable😋
Mbona hukunisalimia😁?Mimi pia nilikua pande izo
Basi we hauna haja ya interview umepita.Kwenye uungaji mboga ndio balaa mapishi ndio usiseme ilifika kipindi nikienda kutembea Kwa brother angu zamani anamkataza mke wake anasema Leo mpishi atakua Dr am 4 real PhD 😅😂😂
Ety 1gb 😂😂😂😂😂😂😂umetokelezea mkuu, mtoto 1GB, mtoto portable😋
I'm starvin' so bad na mnatuumiza nafsi kwa vyakula vinono hivi..!I mean no malice to nobody 🤒.
Nuzulati, Lovelovie, Charles kilian,
👉This is my jobless style🤒
View attachment 2860001
asante mkuu, karibu tusheherekeeNakuonaa brother mshamba
Mambo vp? Happy New year
Vibwengo vyako.
😊Nilikua pale Montana na Joycelava na rafik anguMbona hukunisalimia😁?
Ma jobless hatu achagi kitu😂🤣, naosha sahani kwa ulimi😂🤣🤒Mkuu,
Nibakishie mkuu 😊
Minywele zbshsjej😋😋unajua kupika ngoja nikutafutie sugar mumy
Asante mkuu,asante mkuu, karibu tusheherekee
View attachment 2860022
We SI pastor was mchongo, omba mikate na samaki vishuke🤣😂😂😀I'm starvin' so bad na mnatuumiza nafsi kwa vyakula vinono hivi..!
Niko kwa kichochoro hapa nasubiri nikabe wapita njia ili nipate chochote kitu.We SI pastor was mchongo, omba mikate na samaki vishuke🤣😂😂😀