Mumlii
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 266
- 362
Nmeupenda
Nakujua kabisa
Nimeu like kule juu i guess hata vidole vilivyo tumika kuuanfika ni laini sana💓
Na hata Herufi ndogo pia ambazo ni k na t, hukuzistukia.Kwenye herufi kubwa Kuna gerufi zimepungua
Umenifananisha mkuu..Nakujua kabisa
Vidole vigumu kama mwandiko.Nimeu like kule juu i guess hata vidole vilivyo tumika kuuanfika ni laini sana![]()
Sawa plumber.😂
Ni wewe kabisa 😂😂😂😂,vp kwema lakin
🤣🤣🤣🤣Mmeniforce nishike biki, nimeshika sa sijui niandike kipi.../
Na mwandiko mchafu si mnipe jiki?, niandike kwa vina mpaka mniite gwiji.../
Kuna mwana nataka nimchane, nawajuza mi ndo nilie muandikia Saint Anne...au sio mwana wane?
Mcheki Its Pancho kaanzisha mada afu kanywea, stuka mwenzako Prisonerx kaandika hadi vifaa vya hardware.../
Huu mwandiko unapendeza nimeulaza kifudifudi, na ndio maana siufichi nauweka wazi uonekane sio kama Bujibuji.../
Patriarch mwanangu ebu punguza hisabati, umefanya mpaka moyo wa ledada usiwe smart.../View attachment 1856636
Siyo mimi nina hakika.Ni wewe kabisa,vp kwema lakin