The Legacy JF-Expert Member Joined Jun 1, 2022 Posts 8,259 Reaction score 16,181 Sep 15, 2023 #61 [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
MzeeKipusa JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 2,705 Reaction score 4,978 Sep 16, 2023 Thread starter #62 mabasso said: Jitu lenye roho nyeusi utalijua tu Watu walikuwekea bure ukasoma leo unaita watu kuku bila kujua wewe ndiyo ulikuwa kuku wa kwanza kumwagiwa huo mchele Click to expand... Au sio! "Akili za kuambiwa changanya na za kwako" JK Note: ukisha changanya na za kwako hauwezi kubaki kuwa kuku tena bali unakua EAGLE. So hilo dua lako haliwezi kunipata.... na Mimi sio mzinzi..siwezi kukupitia!!! You - You feel me?
mabasso said: Jitu lenye roho nyeusi utalijua tu Watu walikuwekea bure ukasoma leo unaita watu kuku bila kujua wewe ndiyo ulikuwa kuku wa kwanza kumwagiwa huo mchele Click to expand... Au sio! "Akili za kuambiwa changanya na za kwako" JK Note: ukisha changanya na za kwako hauwezi kubaki kuwa kuku tena bali unakua EAGLE. So hilo dua lako haliwezi kunipata.... na Mimi sio mzinzi..siwezi kukupitia!!! You - You feel me?
M mabasso JF-Expert Member Joined Oct 16, 2022 Posts 1,470 Reaction score 2,652 Sep 16, 2023 #63 MzeeKipusa said: Au sio! "Akili za kuambiwa changanya na za kwako" JK Note: ukisha changanya na za kwako hauwezi kubaki kuwa kuku tena bali unakua EAGLE. So hilo dua lako haliwezi kunipata.... na Mimi sio mzinzi..siwezi kukupitia!!! You - You feel me? Click to expand... Hicho unachoona cha msingi sina hata mpango nacho ila acha roho mbaya wema unalipa
MzeeKipusa said: Au sio! "Akili za kuambiwa changanya na za kwako" JK Note: ukisha changanya na za kwako hauwezi kubaki kuwa kuku tena bali unakua EAGLE. So hilo dua lako haliwezi kunipata.... na Mimi sio mzinzi..siwezi kukupitia!!! You - You feel me? Click to expand... Hicho unachoona cha msingi sina hata mpango nacho ila acha roho mbaya wema unalipa
onlyalvira JF-Expert Member Joined Dec 9, 2013 Posts 1,499 Reaction score 3,117 Sep 16, 2023 #64 [emoji122][emoji122][emoji122] Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,465 Reaction score 860,405 Oct 2, 2023 #65 Mhafidhina07 said: Mganga wa kienyeji huyo Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
ProcrastinatorInChief JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 13,003 Reaction score 29,457 Oct 2, 2023 #66 MzeeKipusa said: Anatakiwa aanze kurecord vipindi vya kutiririsha madini kama huyu jamaa hapa chini;- View: https://youtu.be/LISs8jqPe0s?si=rS6eeMyt1zfmBhGd Click to expand... Huyu jamaa nilikuwa namuamini ila alipokuja kuharibu ni kudanganya kuhusu Tiger's eye stone n kazi zake
MzeeKipusa said: Anatakiwa aanze kurecord vipindi vya kutiririsha madini kama huyu jamaa hapa chini;- View: https://youtu.be/LISs8jqPe0s?si=rS6eeMyt1zfmBhGd Click to expand... Huyu jamaa nilikuwa namuamini ila alipokuja kuharibu ni kudanganya kuhusu Tiger's eye stone n kazi zake
MAHENDEKA JF-Expert Member Joined Jul 9, 2010 Posts 340 Reaction score 182 Sep 1, 2024 #67 Yohimbe bark said: Miongoni mwa watu ninaowafatilia sana jf huyu brother yumo namkubali sana,ipo siku namimi nitamzamia DM anipe madini. Click to expand... Dm yake imefungwa huezi mzamia mkuu
Yohimbe bark said: Miongoni mwa watu ninaowafatilia sana jf huyu brother yumo namkubali sana,ipo siku namimi nitamzamia DM anipe madini. Click to expand... Dm yake imefungwa huezi mzamia mkuu