Bajeti ya kunguru
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,388
- 1,098
Kitambo nilishaga salute kwake.Straight to the point;-
Dah huyu mwamba Mshana Jr ..kuna mambo anaandika..and you guys need to read them in between the lines...
And i tell you what...kuna sentence yake moja niliisoma katika uzi wangu ( HISTORIA YA MZEE KIPUSA ) na ika click kwenye mind, then ikanipelekea kudiscover ya kwamba.
Katika maisha , watu hupitia SHIDA na CHANGAMOTO mbali mbali , ambazo hutokana na LAANA, GUNDU, MIKOSI, BALAA, na MINUKSI. Hivi vitu ndivyo hublock Baraka ambazo zimo kwenye mikono yetu.
Dah , mpaka naogopa kumwaga mchele....naomba niishie hapo!
Salute sana kwako Mwamba Mshana Jr . Hiyo ndiyo raha ya kusoma vitu vya mtu ambae anajua anachokiandika.
Ushauri: Ndugu zangu, tukumbuke kusali na kuomba toba na rehema kila uchwao. Mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie.
Hand on chin , this is what I got down on my knees. Pe-Pee-Pe-Peace to you All
Uwe mwepesi kung'amua multiple IDsDo you have a biff with him or something?!!
Au usikute nilichokiandika kimetrigger your demons ...na sasa una come hapa na makasiriko yasiyokua na maana!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1544][emoji1550]Huyu Mshana Jr akisha kunywa konyagi kubwa huwa ana mwaga madini sana
Heshima kwako mkuu
Sio kweli. Mnamsingizia!Naona unajipigia promo Kwa I'd tofauti, muhuni we!
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] thanks mkuu[emoji173]Heshima kwako mkuu
Usijali kuna mdau alishatabiri hili... Kuna baadhi yetu wamejawa na maumivu makali mioyoni mwao na hii ndio njia pekee ya kuyapunguza..Sio kweli. Mnamsingizia!
KweliUsijali kuna mdau alishatabiri hili... Kuna baadhi yetu wamejawa na maumivu makali mioyoni mwao na hii ndio njia pekee ya kuyapunguza..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Hana akili...Do you have a biff with him or something?!!
Au usikute nilichokiandika kimetrigger your demons ...na sasa una come hapa na makasiriko yasiyokua na maana!!!
Mpaka Dada angu Joannah kamwambia mtu hana akili basi sipingi [emoji1374]Huyo Hana akili...
Ni muhimu sana kuwaombea na kuwasamehe.. Sio kosa lao ni yale wanayopitiaKweli
Uliogea chumvi ya mawe ukapata kazi au sio man!!?Why namheshim sana Mshana jr na simjui?. Kuna kipindi mwaka 2022 miezi ya mwanzon kabsa yan nilikua choka mbaya sina kitu sina chochte ni ful njaa ful zereu . Siku moja nikaingia google kuna kitu nlikuwa nasearch ikaja na topic ya huyu mwamba asee nikachota madini pale nikaenda practice then nikafnya attempt moja tu! Kitu ndaniiii, hapa nipo kwa ofis ya umma ful kiyoyoz na wifi bureew kabsa. Na till now nafanya kupitia malekezo yake aisee dunian kuna vitu vya ajabu sana
Ntakukumbusha mkuuTatizo mnapenda kubishana,badala ya kutaka kujifunza. Energy zilizo kuwa trapped kwenye mwili, huwezi kuziondoa kwa kuomba. Nitatoa hili somo siku moja Mungu akijaalia.
Jifunze pia CAUSE and EFFECT LAW.
Chochote unacho ki experience ni matokeo tu.. either it was caused conciously ama unconciously.
It will bring the same effect.