Shout-out to Mshana Jr

Huwezi kuondoa Negative Energy zilizo kuwa blocked kwenye mwili kwa kuomba. Nafahamu kuwa unaweza kuondoa hizo energy kwa kufanya Meditation ama Yoga. Hapo ndipo hizo nguvu zitakuwa released
 
Huwezi kuondoa Negative Energy zilizo kuwa blocked kwenye mwili kwa kuomba. Nafahamu kuwa unaweza kuondoa hizo energy kwa kufanya Meditation ama Yoga. Hapo ndipo hizo nguvu zitakuwa released
daaaaah Yani Hadi muda huu, sijajua maana halisi ya meditation
 
Huwezi kuondoa Negative Energy zilizo kuwa blocked kwenye mwili kwa kuomba. Nafahamu kuwa unaweza kuondoa hizo energy kwa kufanya Meditation ama Yoga. Hapo ndipo hizo nguvu zitakuwa releas

Huwezi kuondoa Negative Energy zilizo kuwa blocked kwenye mwili kwa kuomba. Nafahamu kuwa unaweza kuondoa hizo energy kwa kufanya Meditation ama Yoga. Hapo ndipo hizo nguvu zitakuwa released
Ipo hivi:- ndani ya miili yetu kuna Mifupa,..ambayo chakula chake ni intelligence Ili kuifanya Mifupa kukuwa na kustawi. Nje ya miili yetu kuna Universe, ambayo chakula chake ni maneno . Kwahiyo basi ndiyo kusema ...mtu hapaswi kuruhusu maneno mabaya ya dictate kilichomo ndani ya mwili wake. Sina hakika kama umenielewa!
 
Tatizo mnapenda kubishana,badala ya kutaka kujifunza. Energy zilizo kuwa trapped kwenye mwili, huwezi kuziondoa kwa kuomba. Nitatoa hili somo siku moja Mungu akijaalia.

Jifunze pia CAUSE and EFFECT LAW.
Chochote unacho ki experience ni matokeo tu.. either it was caused conciously ama unconciously.
It will bring the same effect.
 
Au sio!
 
Ok sawa
 
Ushauri: Ndugu zangu, tukumbuke kusali na kuomba toba na rehema kila uchwao. Mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna namna Mungu huongea nasi kupitia watu wake na si lazima hayo mazungumzo yakulenge wewe lakini kadiri mnavyoongea ni kama anayezungumziwa ni wewe mwenyewe kupitia wewe na huyo mtu.. Its a very interesting situation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…