MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,978
Apewe maua yake mwamba Mshana JrStraight to the point;-
Dah huyu mwamba Mshana Jr ..kuna mambo ana andika..and you guys need to read them in between the lines...
And i tell you what...kuna sentence yake moja niliisoma katika uzi wangu ( HISTORIA YA MZEE KIPUSA ) na ika click kwenye mind ,..then ikanipelekea kudiscover ya kwamba;-
Katika maisha , watu hupitia SHIDA na CHANGAMOTO mbali mbali , ambazo hutokana na LAANA, GUNDU, MIKOSI, BALAA, na MINUKSI. Hivi vitu ndivyo hublock Baraka ambazo zimo kwenye mikono yetu.
Dah , mpaka naogopa kumwaga mchele....naomba niishie hapo!
Salute sana kwako Mwamba Mshana Jr . Hiyo ndiyo raha ya kusoma vitu vya mtu ambae anajua anachokiandika.
Ushauri: Ndugu zangu, tukumbuke kusali na kuomba toba na rehema kila uchwao. Mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie.
Hand on chin , this is what I got down on my knees. Pe-Pee-Pe-Peace to you All
Mama juzi katika moja ya mazungumzo yake aliwaita nyie ni "ndege" sio "kuku" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwaga huo mchele kuku bado hatujawa wengi mkuu
Huyo jamaa simjui kabisa.....but nimekua nikifuatilia baadhi ya posts zake humu JF....
Umeshaachana na mawazo yako ya kutaka kujiua na/au kukata tamaa?Straight to the point;-
Dah huyu mwamba Mshana Jr ..kuna mambo ana andika..and you guys need to read them in between the lines...
And i tell you what...kuna sentence yake moja niliisoma katika uzi wangu ( HISTORIA YA MZEE KIPUSA ) na ika click kwenye mind ,..then ikanipelekea kudiscover ya kwamba;-
Katika maisha , watu hupitia SHIDA na CHANGAMOTO mbali mbali , ambazo hutokana na LAANA, GUNDU, MIKOSI, BALAA, na MINUKSI. Hivi vitu ndivyo hublock Baraka ambazo zimo kwenye mikono yetu.
Dah , mpaka naogopa kumwaga mchele....naomba niishie hapo!
Salute sana kwako Mwamba Mshana Jr . Hiyo ndiyo raha ya kusoma vitu vya mtu ambae anajua anachokiandika.
Ushauri: Ndugu zangu, tukumbuke kusali na kuomba toba na rehema kila uchwao. Mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie.
Hand on chin , this is what I got down on my knees. Pe-Pee-Pe-Peace to you All
Asee...huenda kuna Wana JF wananiombea bila Mimi kujua...cause jana nilipigiwa simu na mtu...tukaongea...KILA nilivyokua nikiisikiliza sauti yake...ni kama ilikua inanijaza Matumaini ya kuendelea kupambana...japo tulikua tunaongea vitu vingine kabisa vya kusalimiana....Umeshaachana na mawazo yako ya kutaka kujiua?
Ongea na huyo huyo nguli Mshana Jr atakusaidia kukupa ushauri na maelekezo pamoja na maarifa ya tahajudi, uchawi na matapo ya falsafa mbalimbali za Mashariki ya Mbali na Asia kuhusu maisha na mikatale yake; na jinsi ya kupambana nayo.
Ndio "miaka ya uharibifu na miaka ya neema"Straight to the point;-
Dah huyu mwamba Mshana Jr ..kuna mambo anaandika..and you guys need to read them in between the lines...
And i tell you what...kuna sentence yake moja niliisoma katika uzi wangu ( HISTORIA YA MZEE KIPUSA ) na ika click kwenye mind, then ikanipelekea kudiscover ya kwamba.
Katika maisha , watu hupitia SHIDA na CHANGAMOTO mbali mbali , ambazo hutokana na LAANA, GUNDU, MIKOSI, BALAA, na MINUKSI. Hivi vitu ndivyo hublock Baraka ambazo zimo kwenye mikono yetu.
Dah , mpaka naogopa kumwaga mchele....naomba niishie hapo!
Salute sana kwako Mwamba Mshana Jr . Hiyo ndiyo raha ya kusoma vitu vya mtu ambae anajua anachokiandika.
Ushauri: Ndugu zangu, tukumbuke kusali na kuomba toba na rehema kila uchwao. Mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie.
Hand on chin , this is what I got down on my knees. Pe-Pee-Pe-Peace to you All
[emoji238]Mshana JrWhy namheshim sana Mshana jr na simjui?. Kuna kipindi mwaka 2022 miezi ya mwanzon kabsa yan nilikua choka mbaya sina kitu sina chochte ni ful njaa ful zereu . Siku moja nikaingia google kuna kitu nlikuwa nasearch ikaja na topic ya huyu mwamba asee nikachota madini pale nikaenda practice then nikafnya attempt moja tu! Kitu ndaniiii, hapa nipo kwa ofis ya umma ful kiyoyoz na wifi bureew kabsa. Na till now nafanya kupitia malekezo yake aisee dunian kuna vitu vya ajabu sana
[emoji848]Ndio
Ndio "miaka ya uharibifu na miaka ya neema"