Dr Dre
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 2,669
- 2,855
jamani usiwe hivyoWala sio maringo jamani. ... najikuta tuu nakuwa hivyo.
jamani usiwe hivyoWala sio maringo jamani. ... najikuta tuu nakuwa hivyo.
hope u will update us on ur decision..This weekend I'll clear the air....
Yes i am Kasie
Heey, thanks for the song.... it's so touching.
I've listen to the song as if am hearing it for the first time but I knew it for long.
Let me listen to my heart before I say goodbye to him.... This is the message am going with.
KCK
Ive



unapishana na gari la soda mamyHahahahaaa ntajitahidi kwakweli ila najikuta naishia kuwa hivo.
View attachment 707285
View attachment 707285
Yaani imetokea mida hii ya usiku mnene......
Sijamjibu bado, niseme ndio au hapana? Na hivi niko off kazini hadi jumatatu hehehee nahisi kutakuwa na harufu ya mishkaki kama ile ya gudume.
Kasie Matata.
hahahaUtajikwaa ujue.... usikimbie utasababisha tuanze kukimbizana bureee.... halafu mie nikianza mbio huwa sipumziki shauri yako hehehehehehee.

naona unaanza kunipa mikwara hapa...haya ngoja nitulie tu mm 

Angalia pesa kama ipo hizi mbwembwe nyingine ukiwa na pesa utanunua hata za vidole vyote. Kivuruge
ila hujasema aliyeleta ni mkaburu au mtanzaniaView attachment 707285
View attachment 707285
Yaani imetokea mida hii ya usiku mnene......
Sijamjibu bado, niseme ndio au hapana? Na hivi niko off kazini hadi jumatatu hehehee nahisi kutakuwa na harufu ya mishkaki kama ile ya gudume.
Kasie Matata.
ngoja uje uangukie kwa sisi tusio na hata mia ya kandoroHahahahaaa hilo nawaachia warembo wengine mie ikiwa gari la naniliu ndo sitapishana nalo, ntahakikisha nakabiliana nalo.
utulivu wa aina gani hapo unamaanisha?Mikwara ndo salamu ya Kasie, ngoja nami nione kama kweli una utulivu au laah..... si wajua mtulivu hata akichokozwa hutulia tuu...
KCK