Should I Say Yes....... Should I Say No....

Should I Say Yes....... Should I Say No....

Yaani naihurumia kwakweli, nnavo ibania bania. .... sitaki iishe haraka hehehehe ili muda wote iwe mpya mpya. Aahahahahahhaahahhaahhahahahaa

KCK
Hehehehehehe wewe mkuu kwani iliumbwa ya nn usiibanie acha isuguliwe isioze na utam wake


Teh
 
If you’re happy with the relationship, and you're in love with him,
SAY YES...otherwise....THINK ABOUT IT...don't SAY NO.

Mmmhhh am in dilemma. ... actually I have to think and make right decision. ...

Let me keep on asking myself.... should I say yes. ... should I say no....
 
Uruhusu moyo wako ufurahie kile unachopenda

Asante mwaya.... ngoja nijimwae mwae. ... maana mirindimo ya pwani ndoo hiyooo imeanza kurindima hehehehehee.

KCK
 
Wow so lovely..don't hesitate boss,sema ndiooo..be happy and enjoy..stage nzuri Sana hii..congratulations for that
Nimeproposiwa..... somebody bend on knees asking for my finger....

Hehehehehehe ntaweza kweli mambo haya mie.

KCK
 
Kweli Ngabuu...!!! Kumbukumbu nzuri au mbaya? ?!!

Kama mbaya pole sana, kama nzuri basi shurti urejeshe fadhila. .... (kawaida yetu waswahili = keep change, mkono wa akhsante )

Speaking of Kasiba, anakusalimia anasema muombee kwa Kasie pete yake ikubaliwe.
Asking myself..... should I say yes..... should I say no.... While singing. ....

Kasie Mahaba.


Hujakosea, ilibamba kwenye miaka hiyohiyo uliyosema.
Nakumbuka miaka hiyo sherehe za harusi zilikuwa zinaanzia send off party, wedding ceremony halafu inamaliziwa na inna party... sijui nimepatia majina.... moja wapo ya hizo sherehe miaka hiyo, hiyo nyimbo ilikuwa lazima ipigwe.


Hahahahahhaa bottle party. ... yaani unaalikwa kwenye party ila unakuja na kinywaji chako au unaweza wabebea na wengine... si ndio hivyo au nimekosea??

Hahahahaha wapi mashati ya bahama na suruali mchele mchele tena inakuwa panapana hivi a hahahahahaha looh.

KCK
hahaha old timers
 
Kama uko tayari na moyo umeridhia..sema tu YES
 
sooo is he still on his knees??
 


Kasie wa mahaba, sura mithili ya priyanka Chopra macho malegevu kama unavuta wida.

Hahaha Mungu akupe nini tena...? Au upewe debe la chawa..?

Ukipita mitaani mibabu na vijana wenye uchu udenda unawatoka,wapi penzi lako la kinyamwezi watalitia ubavuni.

Kwenye uwanda wa mahaba wa warembo wenye sifa huniiita Mr. YES...Sasa kasie Nafasi adimu kama hizo unaanzaje kuzipiga mateke..?

SAY YES, hiyo harufu ya mishakiki si mpaka awe anakaribia uwezo wa Jord Pola wa jumba la barazzers...? Umepewa bure ya nini kumunyima mwenzio uchoyo sio mzuri ati..

Zawadi nono hiyo yenye mwelekeo angavu Pokea kwa mikono miwili-mama wa mahaba kasie.

Duu sikupata kuwako enzi hizo ila upepo wa enzi hizo pia ulinipitia nami japo nilichelewa kuja duniani
 
haaa oldies wapi dj john delinger kitamboo sana bila kusahau Joyce sims coming to my life. kumbe nawe muhenga sasa itakua ndoa ya ngapi?

Mie ni muhenga sanaa sio kidogo, wafikiri nna ndoa hata moja? Waapi inaishiaga hivihivi petee kununuliwa gari basi kila mtu anaendelea na life yake. Na pete zenyewe huwa sizivaagi, hii yenyewe hadi saa hizi iko kabatini bado nafikiria should I say yes..... should I say no....
 
Thats lovely Kasie,mungu

akujaalie mnyamwezi ww useme "yes"mambo yanoge

Thanks Taffman.... it's just that.... I can't make decision. Should I say yes. .... should I say no....

KCK
 
Daaah kweli tunatifautiana upepo, MI Leo nimekula kibuti, wewe dadangu mtu kapropose... View attachment 707741

Ooh pole mwaya donlucchese, maisha lazima yaendelee. Dunia ndivyo ilivo saa ingine..... wengine wakiwa wanatafuta wengine wamechoka kutumia wanataka wapumzuke.

Take care.
 
Mzee mzima hii risala yote umesomewa wewe? Hapo hasira tu. Ukiweza na wewe tulizana usimtumie txt wala kumtafuta, mwenyewe atalianzisha. Anaeamua na kudhamiria kukuacha mara nyingi hakwambii maneno meengi, utaona tu anakata mawasiliano taratibu na baadae anausahau kabisa ujumbe wa NOKIA (Connecting People). Huyo atarudi tu

Hahahahahhaaa yaonekana una uzoefu.

Ila kuna jamaa mie alishaniambiaga kistaarabu tuu... naomba usinitumie tena PM wala ku like post zangu wala ku quote. Bila kuniambia sababu wala hatujagombana.... ofcourse hatukuwa wapenzi ila tulikuwa tunataniana sana hapa na pale na majibizano kwa sana na PM pale kila mmoja anapojisikia kumsabahi mwenzie kifaragha.

Sikumuuliza kwanini mie nikafanya kama alivosema. Hadi nnappabdika hapa, post zake nazisoma tuu wala simsogelei kwa lolote. Sasa kama alitania ilikula kwake mazima.

Mwingine huyu mie ndo nilimwambia basi tusiwasiliane tena namba yako nafuta na blah blah kibao hehehee hakunijibu kilichotokea..... niliitafuta namba yake nikaanza kujichekesha mwenyewe kwa kumtumia picha na video za vichekesho. Usemacho ni kweli kabisa.


cc: Kasiba.

KCK
 
Back
Top Bottom