Should I Say Yes....... Should I Say No....

Should I Say Yes....... Should I Say No....

Io utaichomeka kidolen afu kuna nyingine utaichomeka katikati ya miguu apo, say yes
 
ah nina wivu sikushauri ng'o

Hahahahhahahahaaa unatakiwa kimoja ukiache. ... yaani ukiwa na wivu usiwe na hasira na ukiwa na hasira usiwe na wivu. Ukiwa navyo vyote basi kuwapata wanawake wa haja itakuwa kiu isiyo tiiwa huwa yasemekana. ... tii kiu yako.

Basi tena ndo ushakosa heheheh. ...
 
Wivu tu. Unanisumbua.

Hahahahahhaa looh, usiniambie ni wivu..... sasa si uniambie tuu, ukikaa kimya mie ndo ntakuwa sijui kama unasikia wivu.

Basi usisumbuke tena niko hapa...

KCK
 
Hahahahahhaa looh, usiniambie ni wivu..... sasa si uniambie tuu, ukikaa kimya mie ndo ntakuwa sijui kama unasikia wivu.

Basi usisumbuke tena niko hapa...

KCK
Ndo nimeanza kama hivyo...
Ila Shhhh... Usimwambie huyo jamaa. Acha kimya kimya nimpindue ki-intelijensia.
 
Ndo nimeanza kama hivyo...
Ila Shhhh... Usimwambie huyo jamaa. Acha kimya kimya nimpindue ki-intelijensia.

Hahahahaaa haya twende kimya kimya....

Siwezi mwambia bana maana sipendagi ugomvi ugomvi.

Wee mpindue tuu hakuna namna heheheheh.

Tarehe 26/4 si ndo kilele cha mapinduzi?? Basi anza mchakato ikifika siku ya kilele tunainua bendera.

Halafu kimya kimya inautamu wakee. ....hehehe.
 
Tangu uachwe humu unahangaika sana kasie.

Aiseeh, kumbe nimechwa mie nilikuwa sijui. Ni yupi hasa aliyeniacha maana wako wengi.... labda kwakuwa naendelea na wengine ndo maana sijagundua kuwa kuna mmoja wapo ameniacha hehehehehehee ila atakuwa yeye ndo kajitoa baada ya kuchoka kusubiri..... labda nikijua ni yupi ndo ntajua kama nimeachwa au ni yeye kaachia ngazi looh Kasie mie...

Kasie Matata.
 
Hahahahaaa haya twende kimya kimya....

Siwezi mwambia bana maana sipendagi ugomvi ugomvi.

Wee mpindue tuu hakuna namna heheheheh.

Tarehe 26/4 si ndo kilele cha mapinduzi?? Basi anza mchakato ikifika siku ya kilele tunainua bendera.

Halafu kimya kimya inautamu wakee. ....hehehe.
Hahah...
Kwa kweli nimefurahi sana.
Ngoja nimuache kabisa na dem wangu.
Hii bahati iliyoje

Hahahahaaa kila la kheri, angalia tuu mtu asijenitumia wimbo hapa akisema the boy is mine.... mambo hayo sifanyagi mie....

I play, he choose me over stay far, keep quiet and never come back.

I also play, he can't stand what he say, go take him... He wasn't man enough for me.....

Kasie ni shiiiddeeer hehehehhee

Usiwe na wasi.
I can assure you, hakuna atakayekusumbua hapa JF. I havent made my mark yet hapa.
Fate and JF algorithms has landed me to you.

Im ready for revolution... So Tell that guy to be ready. The Sexy Dark Father is coming.

And yes maam, Kasie ni shida.
 
Ooh woow, am sure atapita hapa na atasoma hivo ujumbe atakuwa kaupata. .

Wish you all the best and lucky.

Kasie Mahaba.
 
Back
Top Bottom