Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
View attachment 707285
View attachment 707285
Yaani imetokea mida hii ya usiku mnene......
Sijamjibu bado, niseme ndio au hapana? Na hivi niko off kazini hadi jumatatu hehehee nahisi kutakuwa na harufu ya mishkaki kama ile ya gudume.
Kasie Matata.
Kasie wa mahaba, sura mithili ya priyanka Chopra macho malegevu kama unavuta wida.
Hahaha Mungu akupe nini tena...? Au upewe debe la chawa..?
Ukipita mitaani mibabu na vijana wenye uchu udenda unawatoka,wapi penzi lako la kinyamwezi watalitia ubavuni.
Kwenye uwanda wa mahaba wa warembo wenye sifa huniiita Mr. YES...Sasa kasie Nafasi adimu kama hizo unaanzaje kuzipiga mateke..?
SAY YES, hiyo harufu ya mishakiki si mpaka awe anakaribia uwezo wa Jord Pola wa jumba la barazzers...? Umepewa bure ya nini kumunyima mwenzio uchoyo sio mzuri ati..
Zawadi nono hiyo yenye mwelekeo angavu Pokea kwa mikono miwili-mama wa mahaba kasie.
Daaah kweli tunatifautiana upepo, MI Leo nimekula kibuti, wewe dadangu mtu kapropose..
Well saidIf you’re happy with the relationship, and you're in love with him,
SAY YES...otherwise....THINK ABOUT IT...don't SAY NO.![]()
Kasiba umenikumbusha mbali sana.
Hujakosea, ilibamba kwenye miaka hiyohiyo uliyosema.Umenikumbusha miaka ya 80.....1987 au 1988 hivi ambapo hilo debe ndo lilikuwa kwenye chati.
Nakumbuka enzi hizo ‘bottle party’ kwa sana.
Daaaah! I miss those days.