Should Google also charge Tanzanians to open account, register email etc?

Precocious energy👣🤣🤣
 
Precocious energy👣🤣🤣
Oh no mrs don't condescend just yet.

It's Precious not Precocious don't tell me what I'm thinking right now is right that you're not adequate enough to differentiate the difference between the two because they're clearly distinguishable to me. aren't they?

I think we're not debating but arguing and honestly it's something that I'm really not good at and for as far as I'm concerned the argument is over. So I'm done here.
 
Google strategy ya mapato siyo unayotaka kutuaminisha
 

Pamoja na hiyo typing error Asante kwa kunielewa
Uwe na hoja zenye kueleweka, sio maneno maneno maana hayo kila mtu anayo
 
Hakuna cha bure kiongozi, sisi ndo wateja wao. Mfano, kwa mwezi wakitengeneza billion 50 Tz basi ni halali walipe kodi. Labda unambie kwa nini wasilipe kodi?
 
ipo wazzi AJENDA NI URAIS 2025 na kinachofanyika ni KUMKWAMISHA SSH, jamaa akiibuka 2025 anasema atafuta tozo, atafuta kila kitu cha SSH, politics is a dirty game.
Yule choko hawezi kuwa hata mwenyekiti wa serikali ya mtaa , ameshaonyesha madhaifu makubwa sana kiutendaji.

The way anaongea anaonyesha ni Sadist na hana akili sawa sawa........ Anatakiwa kuwa milembe. Choko fulani.
 
Wewe jamaa uko serious kweli?
Jaribu kujifunza taratibu masuala ya internet networking...!

Maana fikra zako ni kwamba ukijiunga kifurushi ukapewa MB's za kuperuzi kutoka tigo kisha ukazitumia kufunguwa Gmail basi gmail anapata pesa kupitia mb zako??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…