Should Google also charge Tanzanians to open account, register email etc?

HILI JINGA JINGA LINA AGENDA YAKE, ILE MIVIRANJA MISHAMBA MISHAMBA inayodhani kujaza mivyeti ndio kinga ya matumbo yao. akiongeaga anakera, anatuharibia maisha kwa ujinga wa alichonacho kichwani
ipo wazzi AJENDA NI URAIS 2025 na kinachofanyika ni KUMKWAMISHA SSH, jamaa akiibuka 2025 anasema atafuta tozo, atafuta kila kitu cha SSH, politics is a dirty game.
 
It is shame upon face of illiterate minister to say that he want to impose tax on social media users while himself and his government contribute nothing to those companies.
WE, Tanzanian use google for free, we benefit from it yet without colour of right we want to impose tax or bar it from its operation.
Tanzania there s a gang, led by few, thinking this country is for themselves, saying whites, especially americans and UK people are "mabeberu" -apartheid very bad word and color and racial discrimination.

Google users in Tanzania over 23 millions, should Google company charge us to open account, to register mail, etc? Should we now let Google Charge us?

Your country contributes ~0% of Google’s annual revenues by its use of Google’s services. Literally, Google doesn’t even know you exist on its economic map.

In discussing its markets, do you even think the name of your country ever pop’s up on Google’s table? It’s easier to imagine them pay special attention to “the UK market” or “the Chinese market”, etc. But not “the Tanzanian Market”, mon ami. Only perhaps on “the African market”. So stop pretending you’re something significant.

It’s really ridiculous, therefore, to hear someone in our government dreaming of taxing Google when, arguably, we benefit more from Google than Google does from us. This is well-nigh idiocy.

Besides, the international tax law has made it difficult for even big nations to tax companies like Google. The UK is the case in point.

The law is designed such that startups pay most of the tax to the country of their origin that to the countries where they make their sales. So, if a startup is based in country X, but makes most of the sales in country Y, the startup will pay most of the tax to country X. So you can imagine how your claim of share in the Google tax bracket fades into oblivion.

Waziri mchora mawe anatoka Singida, anajihisi nchi ni yake na anajiita Fidel Castro, anahisi ndiye rais wa 2025 na yeye na genge lake amejipanga na huenda, narudia huenda anamhujumu aliyepo kwa mabmbo afanyayo, huenda!

mwaka 2015 alichora mawe yote nch nzima jina lake, simtaji, mnamjua.

Unaweza kuwa na kitu cha msingi ulitaka kuwasilisha lakini hii "WE, Tanzanian use google for free" imepoteza maana yote

JAJI MFAWIDHI MIMI NAOMBA ILE POINT MUHIMU ULIYOTAKA KUTULETEA IRUDIWE😂😂😂😂
 
Mwigulu anajaribu kufanya watu wamchukie Rais. Yaani kila kitu utaskia “Rais anataka kujenga vituo vya afya”. “Rais anataka kujenga barabara vijijini” He’s trying to exclude himself from this “tozo” mess.
Huyo Mama nae haoni au wote lao moja?
 
Wacha upuuzi kama hujui kitu unyamaze shenzi kabisa😡
Unadhani google anapata nini kwenye kifurushi chako unacholipa Voda?
Wewe ndie hujielewi na huelewi kwa nini usipoweka kavocha kenye Mb google haifanyi kazi !!!
 
mkuu hawa watu wapo tu, Saa hizi yupo mezani shmwji analaizia "cha asubuhi" analetewa mkate na blue band, shem anaenda kazini yeye ananza kuangalia tamthilia mpaka mchana, "hajui bei ya mafuta imetoka 1780 mpaka 2510 kwa lita, hajui sukari imetoka 1500 mpaka 2600 kwa kilo, hajui tozo za simu , hajui mambo ya social media, hajui saa hii polisi trafik wanadai hela hadharani, hawa watu hawaelewi lolote, kila mwaka wahitimu zaidi ya laki na nusu wanaingia mtaani kutoka vyuo vikuu na wanaopata ajira hawafiki 1000 , huyu hajui , "anakaa kwa shemeji "
Kweli tupu
 
WE, Tanzanian use google for free.
Mleta mada Jaji Mfawidhi hajui hata KIINGEREZA ona alichoandika eti We,Tanzanian badala ya We Tanzanians

Kachanganya uwingi na umoja !!!! kiingereza sifuri.Angeandika tu kwa kindengereko kilugha chake anachokimudu
 
Mleta mada Jaji Mfawidhi hajui hata KIINGEREZA ona alichoandika eti WE Tanzanian badala ya WE Tanzanians

Kachanganya uwingi na umoja !!!! kiingereza sifuri.Angeandika tu kwa kindengereko kilugha chake anachokimudu

Hutaki kujifunza, unasaka vimakosa vya kuokoteza…. hicho kichwa kwako ni sanduku la kuhifadhi meno tu.
 
Mbona wote hapa JF tunakujua wewe hujui kiingereza.
Kwenye list ya wasiojua kiingereza mwongezeni na mleta mada Jaji Mfawidhi .Siku ingine mwambieni tu aandike kwa kindengereko lugha yake humu wamo wakalimani kibao watatafsiri
 
Hawa viongozi wa ccm mi nawaona wajinga sana,ATCL inaendeshwa kwa hasara na wanaongeza ndege pamoja na hasara ,halafu huku wanaleta tozo ili kujenga vituo vya afya na shule ,kwanini wasingesolve kwanza hiyo hasara ya ATCL ? Huku unaingiza hasara huku unachukua tozo za bure ?CCM Ina watu vilaza sana
 
Unatumia Google for free wapi wewe? Bila kuweka pesa za kifurushi huwezi tumia google wewe.Wanakatana juuu kwa juu na mitandao ya simu wewe ukishalipia kifurushi
UNAPOTOSHA

kwanza unatakiwa ujue NObody owns the Internet na ujue maana ya internet, yaani hakuna mtu anayemiliki internet na ndio sababu yoyote kutoka popote anaweza kuitumia.
bali some parts of the internet ndio zinamilikiwa na kampuni binafsi na government agencies kama (data centers, cabling, satellites, routers, etc.)

Maana ya Internet in simplest definition ni global wide area network ambayo inaunganisha devices zote duniani ili kushare information.
Sasa unapolipa vocha kwa halotel maana yake unawalipa halotel ili wakupe access na internet ili uweze kuunganishwa na devices za google.
sababu kama nilivyosema pale juu kwamba sehemu zinazosababisha connection iwepo zinamilikiwa na company binafsi mfano ni halotel.

means Google hawakucharge wewe ili uaccess devices zao au wangetaka wangesema ili utumie google basi lipia kama Netflix, yaani ulipie vocha ili uaccess internet na ulipie netflix ili uangalie movies zao.
so mleta mada yuko sahihi kwamba tunatumia google BURE.

Means google hawawezi na kamwe hawapati faida kutoka kwa halotel in any means sababu halotel yeye ni provider tu wa connectivity with other devices.

nakuuliza swali: Umesema Google na Halotel wanakatana juu kwa juu, wanakatana kivipi?
 
wadau iko hivi google inapata pesa kutokana na matangazo ambayo wanakuwekea
maana kila mtu ana profile yake google,
na matangazo anayo pata ni kulingana na vitu anavyo search
(kwamfano, wewe unasearch mambo ya kilimo basi utapata matangazo yanayo endana na hivyo vitu vya kilimo, porno hivo hivo nakadhalika.)

kampuni mbali mbali ndizo zinalipia hayo matangazo unayo wekewa,
zikiwemo hata hizi za mitandao ya simu

google inafaidikaje?
wewe ni mteja wao wakupewa matangazo

lakini wewe pia huwezi kuingia mtandaoni bila kulipia

google haipati pesa directly kutoka kwako , lakini huwezi kusema haifaidiki na wewe
 
It is shame upon face of illiterate minister to say that he want to impose tax on social media users while himself and his government contribute nothing to those companies.
WE, Tanzanian use google for free, we benefit from it yet without colour of right we want to impose tax or bar it from its operation.
Tanzania there s a gang, led by few, thinking this country is for themselves, saying whites, especially americans and UK people are "mabeberu" -apartheid very bad word and color and racial discrimination.

Google users in Tanzania over 23 millions, should Google company charge us to open account, to register mail, etc? Should we now let Google Charge us?

Your country contributes ~0% of Google’s annual revenues by its use of Google’s services. Literally, Google doesn’t even know you exist on its economic map.

In discussing its markets, do you even think the name of your country ever pop’s up on Google’s table? It’s easier to imagine them pay special attention to “the UK market” or “the Chinese market”, etc. But not “the Tanzanian Market”, mon ami. Only perhaps on “the African market”. So stop pretending you’re something significant.

It’s really ridiculous, therefore, to hear someone in our government dreaming of taxing Google when, arguably, we benefit more from Google than Google does from us. This is well-nigh idiocy.

Besides, the international tax law has made it difficult for even big nations to tax companies like Google. The UK is the case in point.

The law is designed such that startups pay most of the tax to the country of their origin that to the countries where they make their sales. So, if a startup is based in country X, but makes most of the sales in country Y, the startup will pay most of the tax to country X. So you can imagine how your claim of share in the Google tax bracket fades into oblivion.

Waziri mchora mawe anatoka Singida, anajihisi nchi ni yake na anajiita Fidel Castro, anahisi ndiye rais wa 2025 na yeye na genge lake amejipanga na huenda, narudia huenda anamhujumu aliyepo kwa mabmbo afanyayo, huenda!

mwaka 2015 alichora mawe yote nch nzima jina lake, simtaji, mnamjua.
Mwigulu Nchemba
ni laana kwa taifa
 
Wewe ndie hujielewi na huelewi kwa nini usipoweka kavocha kenye Mb google haifanyi kazi !!!
Sababu hauna connection na internet au ukitaka tengeneza Fibres zako mwenyewe then pitisha baharini kuvuka mabara ili uunganishe na Data servers zote kutoka dunia nzima then unganisha na simu yako.

kuanzia hapo utatumia internet unavyotaka na utafungua google Bure milele

sasa sijui utaitaje bure bila kutoa hizo gharama za fibres na data servers ambapo bila shaka itacost billions of dollars.
au ukitaka na wewe utakuwa unauzia wengine kwa kulipia kila siku, wiki au mwezi ili ufidie hizo billions. sasa jiulize hapo utakuwa na tofauti gani na halotel?
 
Back
Top Bottom