Huyu madelu kazi yake ni kupandikiza tozo kwenye teknolojia na ubunifu wa watu wengine........wakati anachunga mbuzi kijijini kwao alikuwa anazo hata fikra kwamba unaweza kupata information zozote unazotaka kwa ku type tu maneno mawili kwenye search engine ya google. Wacha ni download vitu vya umuhimu hapa kabla google hawajasitisha huduma yao turudi kwenye zama za mawe.......