residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,020
- 9,609
Hujajibu swali,unauliza swali!!??Usiwe unauliza maswali ya kitoto basi
Kwa akili zako Google walikupenda sana wakakuletea hii huduma uitumie bure!!!???
Jiongezage buana, wewe mkubwa ujue
Shule ulienda kujifunza ujinga mama D !!??