Should CHADEMA Fire Zitto?

Should Zitto get FIRED from CHADEMA?

  • YES

    Votes: 137 65.9%
  • NO

    Votes: 57 27.4%
  • May be

    Votes: 10 4.8%
  • I don't know

    Votes: 4 1.9%

  • Total voters
    208
Status
Not open for further replies.
Mimi tangu zitto aanze kupetiwapetiwa na Kikwete mi simuamini. Wala viongozi wa CDM msimbebe huyu jamaa, atawacosti baadae ingawa umaarufu wake hauwezi kupotea kwa hili swala la tuhuma za ufisadi kwa sasa.
 
Kama hakuna ushahidi wa kupokea rushwa ambao unaweza kutumika katika kumpandisha Zitto kizimbani basi kwa maoni yangu hastahili kufukuzwa.

Magamba kwa jinsi wanavyoichukia CHADEMA kama wangekuwa na ushahidi unaothibitisha kwamba Zitto kapokea rushwa basi wangeshauanika hadharani ili kuleta mkanganyiko ndani ya CHADEMA.

Tusubiri kusikia Zitto ataongea nini leo baadaye na pia kama kuna yeyote yule ndani ya Bunge au kutoka Tanesco's BoD au Management Team atakayeweza kusimama hadharani na kusema Zitto kapokea rushwa na ushahidi ni huu hapa


 
Tatizo la Zitto anapanda farasi wawili, na mwisho wake sasa anapasuka msamba, in short anaplay double standards
 
Zitto anapotaka ushahidi utafutwe na watu wengine na sio yeye mwenyewe kuwa shahidi ananikatisha tamaa sana tu. Anajua fika kuwa rushwa ni SIRI kubwa kati ya anayetoa na anayepokea. Anajua pia kwamba rushwa hii imekuwepo muda mrefu tu ndani ya POAC anayoiongoza kwa zaidi ya miaka saba sasa. Anataka tutafute ushahidi wa kuanzia lini hasa!
Zitto kama ni mwanaume kweli anisaidie kujibu tuswali hutu tudogo:
-Kwa nini ameng'ang'ania kuiongoza kamati hii muda wote huu pamoja na uozo uliomo kwenye kamati hii?
-Kwa nini ameng'ang'ania kuiongoza kamati hii huku mashirika ya umma yakiendelea kutafunwa kwa kiwango hiki?
-Kwa nini ameendelea kuwatetea wazi watendaji wakuu wa TANESCO muda wote. Alianza na Dr Rashid na sasa Eng Muhando!
-Kwa nini alikusanya sahihi za kumwondoa WaziriMkuu madarakani lakini yeye hadi leo ameng'ang'ania kuwa Mwenyekiti wa POAC?
-Kwa nini ameikimbia JF?
Zitto anautaka na URAIS wa nchi hii. Kwa hulka, tabia na misimamo yake hii tumpe kweli Urais?
 

come down!
 
Leteni ushaidi wa wazi kwamba ZZK amepokea rushwa. Sio mnamshutumu bila ushaidi. Ni nani msafi ndani ya Chadema na awe wa kwanza kumpeleka zitto mahakamani.!!
 
sheria ni msumeno, ikithibitiswa kala rushwa basi bila kupepesa macho,:eek2: i suggest he should'nt be spared!
 
Nasubiri siku CDM watakapomfukuza ZZK ili nianze`kufurahia mpasuko na Chama kiendelee kuwa cha Watu wa kaskazini na wakristo. Ili hata wale wasiokuwa na dhana hiyo wataweza kukisaliti pole pole chama kama wakina Mohamed Mtoi
 
Hayo maswali nimejiuliza sana mkuu,tuone kama tutafanikiwa kuyapatia majibu...Uozo kila mtu anauona,watu wakipoint finger,yeye anakinga kifua,akiulizwa kwanini,anasema kwasababu hamtaki niwe rais...
 
kuujua ukweli kunasaidia sana...katika orodha ya wala rushwa zitto hayumo bali kikao kilichokaa jana usiku baada ya hafla ya kupongezana kilituma ujumbe dodoma kwa spika kumuingiza zitto katika walarushwa na kamati ivunjwe..

Mkuu nasikia Wassira alisema juzi hapa kuwa chadema itasambaratika ndani ya mwaka mmoja,na kwamba eti ni kutokana na uongozi!Any insight?nini kimemfanya afikiri hivyo?je una maana chadema wanakuwa set up ili wasambaratishwe?we unaona solution ni ipi?
 
Yah they should

Anaongea sana kavuka mipaka, na kama yupo corrupt sioni sababu ya kumwacha
 
Marehemu Robert Nesta Marley AKA Bob,alipatwa na kansa ambayo baadaye iliyaondoa maisha yake.Lakini ilianzia kwenye kidole cha mguuni...wakamwambia inabidi tukikate,utakuwa "amputee" lakini hakuna tabu maisha yako yatakuwa saved.Akasema apewe muda,fikra zake zikamtuma kwamba its not worthy.Sasa kuna wanaoamini kwamba aliona usupa staa bila kidole kimoja cha mguu haufai.Na kipindi hicho walikuwa wakiamini CIA ndo walimwekea hiyo kansa.
Chadema nina uhakika mna cha kujifunza hapo,kama mh Zitto anaona maslahi yake binafsi ni bora kuliko yale ya chama,hiyo ni kansa...
 
YES, should be fired out soonest! go to hell Fisadi Kijana, we dont TRUST you anymore!
 
I refuse to give any credence to these unfounded allegations!
 
Lowassa-Zitto-Lowassa-Zitto...jamani,even the blind can see kuwa ni fitna za Urais 2015 tu hz,vinginevyo andikeni na wengine!
 
I think they should jettison him from whatever leadership position he holds in the party.
 

Jamani ki historia haijawahi na wala haotokaa itokee mtuhumiwa akakubali kosa hata pale panapokuwa na ushahidi huwa kunakuwa na utetezi mwingi, mara naonewa, nasingiziwa, nimetegeshewa, siasa za majitaka nk. Hata Kama ukiwepo ushahidi wa video au maandishi still zito angesema hivo ivo ila siri niya mtoaji na mpokeaji kwa sasa hadi pale tutakapo jiridhisha sisi wenyewe after proven gelity au innocent however siamini Kama kweli zito kapokea hongo au hajapokea kwa sasa ni siri Yake ila maswali yanayoniumiza kichwa ni jee maisha ya kifahari anayoishi mh Huyu ni zaidi ya wanasiasa wengine tena wenye century kwenye madaraka je yeye pesa Izo kapata wapi? Na ka save kwa mad gani? Na kulingana na matanuzi Yake je Ana cash I'n the bank sh. Ngapi? Hapa Ndio napokosa Imani na zito na matanuzi yaliongezeka kwa %70 pale alipoanza kukamua maziwa ya ngombe wa kamati Yake je TRA waki mu audit atakuwa salama kweli? Au atuambie anamiliki kampuni ngapi hapa tz na njee ya tz? Akitueleza inaweza kutusaidia kujua income Yake maana labda tunamtuhumu na matumizi Yake kumbe mwenzetu anamiliki makampuni ya Mafuta UAE zito funguka kuhusu income yako labda watu watarudisha Imani Yao kwao mh. Ila huu ni upepo tuu utapita
 
Lowassa-Zitto-Lowassa-Zitto...jamani,even the blind can see kuwa ni fitna za Urais 2015 tu hz,vinginevyo andikeni na wengine!

Kama kafulila amediriki kumpigia debe zitto kuwa rais na kumsahau mgombea wa chama chake kwa kuahidiwa umakamu wa rais sintokushangaa wewe kum defend for your interest labda umeahidiwa kuwa DC good work
 
very touching words...And really dissapointing,sad yet true.Tusubiri tuone kama tutafahamu hayo yoye,however wananchi wanasikilizia sana haya mambo,na ni budi chadema muhakikishe hakuna mazingaombwe kama ya ccm yanayofanya wananchi waone yote ni usanii na wanasiasa wote ni hivyo hivyo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…