Mafisadi wenu wangapi mmewaondoa?If proved guilty should go. Issue ni ushaidi tutaupata wapi? Kama kuna uwezekano wa kupata ushaidi inabidi aondoke. Km CDM watashindwa kumuondoa watakuwa wamecheza sana faulu.
kila jambo lina sababu zake zitto kashatimiza wajibu wake sasa aende tu ,do u knw how much one virus can damage miilion of good cells?Zitto ni mtu muhimu kwa chama,ametoa mchango mkubwa ktk ukuaji wa CDM.Hata hivyo kama itathibitika pasipo na shaka kuwa alipokea rushwa uamuzi sahihi ni kumtimua ili ajue na watakaobaki wajue kuwa CDM kama chama tunachukia rushwa zaidi ya kumtimua kiongozi.
Hapo red sijakuelewa, huenda ulimaanisha spared.
I still have trust in Zitto.
Nasita sana kuamini kuwa this too smart boy could be tempted with money-thing!
Aidha naijutia siku ambayo kamati itagundua na kuweka wazi kuwa Zitto amepokea rushwa in the name of money or whatever token!
Heri ziku hiyo isingalizaliwa chini ya jua!
Watu, hasa waandamizi ndani ya CDM wanaoshadadia hii ishu kwa ushabiki tu, badala ya kusubiri majibu ya tume ya uchunguzi nawasikitikia. Kimsingi wale wenye akili zao wanaongea very cautiously bila dalili za kumtuhumu mtu binafsi!
Madhara ya ushabiki huu wa kijinga yatakuja kuonekana siku mambo haya yatakapokuwa proved wrong! watu watakimbia na maofisini, na huu utakuwa ufa ndani ya chama ambao unaweza kukipeleka chama kunako jehanam.
Tufanye ushabiki ambao ni rational.

Nimekukubali mkuu "zero tolerance" against corruption. CDM should walk their talk by sending ZZK away though painful. Tukumbeke Fidel Castro alipitisha sheria ya kuwaua watakaobainika wanajihusisha na madawa ya kulevya na nchi yote ikakubali. Yule rafiki yake mkubwa waliopigania uhuru pamoja alipotuhumiwa na kuthibitika alikuwa muuza dawa za kulevya Castro hakumungunya maneno alisema "Let him face the usual firing squad".Zitto ni mtu muhimu kwa chama,ametoa mchango mkubwa ktk ukuaji wa CDM.Hata hivyo kama itathibitika pasipo na shaka kuwa alipokea rushwa uamuzi sahihi ni kumtimua ili ajue na watakaobaki wajue kuwa CDM kama chama tunachukia rushwa zaidi ya kumtimua kiongozi.
Nilipenda hii iwe poll,mods please if you can help on that I will appreciate.Kuna taarifa kuwa kikao cha kamati kuu ya cdm kitakaa,na pengine kujadili issue iliyopo inayohusiana na Mh kupokea rushwa akiwa kwenye kamati kama mbunge wa chama hicho.However kama tunavyojuwa,inawezekana ushahidi ukawa wa kimazingira tu,yani ukawa si ushahidi wa kuweza kumfikisha mahakamani etc.Kwa wale wana CHADEMA humu ndani,mngependa kamati kuu ichukuwe hatua gani,je should they fire him regardless?Ama should mh quit before it all becomes embarrasing?Kwa wanaotaka awe fired,usisahau kutoa sababu,na unayetaka awe spared,just do the same.