Mkuu wewe kama unakunywa pombe utakuwa umejifunzia ukubwani.Kama si pombe kuna kitu huwa kinakulevya na unakuja na mabandiko ya ajabu ajabu.
Unajuwa nilipo hadi useme kuna mbege kama si kauli ya kijinga na yenye kuonyesha ubaguzi?Kama Zitto anaamini yale unayoyaamini wewe kuwa chama ni cha kikanda,kikabila na kidini.Kwanini sasa asije huko kwenye chama chenu kisicho na hayo matatizo?
Wananchi wengi wanaochukizwa na hizo kauli ni wale ambao wanaona kwamba chadema ni chama cha kitaifa.Wale wasio na hila na chama hawaoni hayo.
Tofauti na wale wa ccm,chauma na cuf ambao wanatumia propaganda sawa na Zitto za kuihujumu chadema.
Huwa sijui kwanini huwa kama unawashwa flani hivi na baadhi ya viongozi wa chadema.Huwezi kuficha chuki zako hata siku moja.
Nimeanzisha thread yenye swali unaloliona na nimeweka sababu za kuijenga hoja yangu.Wewe unataka kubadili mjadala sijui kuhusu aliyeombwa kugombea urais,as if hakuna asiyejuwa kuwa ni kina nani mnaomwomba ama wenye kuombea agombee kwa kutumia mgongo wa chuki,makundi na kauli za kuvuruga chama kwa kuleta udini,ukabila na ukanda sijui wa Lutigite.
CHADEMA kilikuwa kinajinasibisha na kupinga ufisadi na kumkomboa mwananchi pamoja na kuwa mbali mbali na ufisadi na mafisadi pale inapokuja kwenye kupata credibility ya wananchi. Na siyo style anayoitumia Zitto yenye uharibifu na kuleta makundi ndani ya chama.
Mambo ya kurudisha ukombozi wa Mtanzania nyuma.
Id agree with you, but then wed both be wrong.
mafisadi ndio wako huru!Umeishiwa na hoja tangu lini mbege imegeuka tusi kwa mchaga? Ni ukombozi upi ambao Chadema mnataka kumkomboa mtanzania? Watanzania tupu huru siku nyingi sana nadhani kabla hujazaliwa hizo propaganda zenu za ukombozi tafuteni kwa kuzipeleka; wewe ndio mshabiki mkubwa makundi leo unamtuhumu Zitto kwa makundi ama kweli "Nyani haoni kundule"
Chama
Gongo la mboto DSM
sasa kama Zitto akifukuzwa CDM itagawanyika mapande mawili hamuoni huo utakuwa mtaji mkubwa kwa CCM? kwanini nyinyi watu wa CCM mnamtetea asifukuzwe ikiwa akifukuzwa CDM itasambaratika?? chama naomba unijibu.
mafisadi ndio wako huru!
Napenda na naipigania Chadema ibaki imara kama ilivyo ili 2015 zisitafutwe sababu eti ooh CCM imeshinda kwasababu Chadema imesambaratika! Mimi simtetei Zitto asifukuzwe Chadema natetea misingi imara ya demokrasia, na nawapinga hawa wapigania ukabila! Vinginevyo kama Chadema kama chama mkiona Zitto hawafai na slaa ndiye anayewafaa zaidi mfukuzeni.
Chama
Gongo la mboto DSM
Nilipenda hii iwe poll, mods please if you can help on that I will appreciate. Kuna taarifa kuwa kikao cha kamati kuu ya cdm kitakaa,na pengine kujadili issue iliyopo inayohusiana na Mh kupokea rushwa akiwa kwenye kamati kama mbunge wa chama hicho.However kama tunavyojuwa, inawezekana ushahidi ukawa wa kimazingira tu,
Yaani ukawa si ushahidi wa kuweza kumfikisha mahakamani etc.Kwa wale wana CHADEMA humu ndani,mngependa kamati kuu ichukuwe hatua gani,je should they fire him regardless?
Ama should mh quit before it all becomes embarrasing?Kwa wanaotaka awe fired, usisahau kutoa sababu,na unayetaka awe spared, just do the same.
Update:Baada ya issue ya kina Ben Saanane na wengineo,ni vyema chadema wakakaa kikao cha kamati kuu kulizungumzia hilo jambo na kulimaliza once and for all!Hakuna sababu ya kuendeleza malumbano kwenye chama,hayo badala ya kujenga yanaharibu.Maneno yanayosemwa na hao wanachadema huwezi kuamini kama na wao ni wanachama wa chama hicho.Wapo ndani ya chama lakini wanahubiri kuwa chama ni cha kidini,kikabila na kikanda.Kamwe watu hao hawawezi ku coexist na viongozi wenzao na chama kikabaki salama,hilo haliwezekani.Wakati wa kufanya maamuzi magumu ni sasa,hilo litawafanya wapenzi wa chadema waweke heshima kwa chama na pia kufutilia mbali dhana ya kuwa na viongozi na wanachama wenye ushawishi kueneza chuki dhidi ya viongozi wengine na chama kwasababu tu ya kutaka madaraka.Pia kama imani ya kwamba viongozi fulani wanataka kumuuwa kiongozi fulani,imani hiyo ni ya hatari sana endapo jambo lolote litampata kiongozi huyo akiwa bado yupo ndani ya chama.Hivyo maoni yangu ni kwamba muyamalize as soon as possible.
Kuna mahali nimesema mbege ni tusi?Hujui kutofautisha kati ya tusi na stereotype,kweli wewe akili tope kabisa.Nilipo mimi hakuna mbege!Ingekuwepo ningefurahi.Umeishiwa na hoja tangu lini mbege imegeuka tusi kwa mchaga? Ni ukombozi upi ambao Chadema mnataka kumkomboa mtanzania? Watanzania tupu huru siku nyingi sana nadhani kabla hujazaliwa hizo propaganda zenu za ukombozi tafuteni kwa kuzipeleka; wewe ndio mshabiki mkubwa makundi leo unamtuhumu Zitto kwa makundi ama kweli "Nyani haoni kundule"
Chama
Gongo la mboto DSM
Eti mwenyekiti Mbowe,huyo unayemtukana humu kila siku?Mganga njaa ni mimi ama wewe unayetetea mafisadi?Kama wewe unalipwa kwa unavyobandika ***** humu basi sishangazwi maana ni mafisadi wanakulipa.Chama said:Mkuu unaishi dunia gani? Mwenyekiti mh. Mbowe ameshasema hadharani Chadema shwari hakuna mvutano ndani ya uongozi sasa wewe unayeongea wakae chini wajadili mvutano upi huo unaoungelea? Hizi nyingi ni porojo za waganga njaa kina Ben Saanane na hao wanao watumia, lakini kichama mtaa wa Togo wapo shwari hivi hupati muda hata wa kusikiliza kauli za kiongozi wako mkuu anapotoa kauli nzito? Yaani wewe utakuwa mtu wa fitina na majungu mapaka lini? Kiongozi mkuu Mbowe hana tatizo Zitto matatizo manayo nyie waganga njaa wa JF.
hakika busara ya akili yako yahitaji ujasiri, ni kama ule wa mzibua choo!! Ndani ya ccm hata wale makada wakongwe wa chama hiki wanaona hata aibu kusimama kwenye kadamnasi kukitetea kutokana na kukithiri kwa upuuzi wa utawala uliopo, tumekuwa ni nchi ya propaganda na majungu kea uroho wa madaraka
kwenye mtandao kumejaa vibaraka na watwana wa wapuuzi eanaoshinds usiku na mchana kutetea na kuleta upuuzi wa wapuuzi, wanafanya kazi ya upuuzi kwa ujira wa jasho la dhulma(ufisadi))
Naamini chama na kina pasco mnajijua price tag yenu na frame yenu!!!
Kuna mahali nimesema mbege ni tusi?Hujui kutofautisha kati ya tusi na stereotype,kweli wewe akili tope kabisa.Nilipo mimi hakuna mbege!Ingekuwepo ningefurahi.
Huo uhuru unamsemea nani wewe?Unatype kama umekurupushwa.Shirikisha ubongo.
Eti mwenyekiti Mbowe,huyo unayemtukana humu kila siku?Mganga njaa ni mimi ama wewe unayetetea mafisadi?Kama wewe unalipwa kwa unavyobandika ***** humu basi sishangazwi maana ni mafisadi wanakulipa.
Mbona hili swala la ukabila ssikii SUGU,MSIGWA, WAITARA na wengine wengi wakilalamika lkn naona tu huyu mroho wa madaraka ZZK ndo inakuwa kama kinga yake ya kujipendekeza kwa wananchi. Zito kuwa makini ss huku mitaani tunakuona kama mtu mmoja mbaya sana kwa ukombozi wa nchi hii. Naona kama vile Umetumwa kuiua CDM.
Kama unaandika ukiwa sober,basi una psychological problems.Huwezi kupata msaada hapa JF,maybe unaweza kujaribu jukwaa la JF Doctor.Seriously,huo uchafu hapo juu si wa level yangu.Akili yangu ya tope wewe naona yako ya kinyesi cha kuku vinginevyo usingekuwa unakesha kumpiga vita Zitto; hata mjifiche kwenye kivuli cha mbuyu ukweli utabakia kama ulivyo ukabila na ukanda ndio msingi wa vita vyenu ndio sababu huna majibu ya maana; wewe ndiye unayelipwa na hao mafisadi wa Chadema; sio unaona ulivyokuwa mtupu hata maneno ya mwenyekiti wako mwenyewe unayapinga tangu ayaseme wiki haijakwisha wewe kwa sababu ya kulipwa posho na yule fisadi na mzinifu unakuja kudai eti Chadema kuna mgogoro sasa unataka tumwamini Mbowe au wewe mganga njaa?
Chama
Gongo la mboto DSM
Kama unaandika ukiwa sober,basi una psychological problems.Huwezi kupata msaada hapa JF,maybe unaweza kujaribu jukwaa la JF Doctor.Seriously,huo uchafu hapo juu si wa level yangu.
Nani ana njaa wewe kama siyo ****?Hujui watu usi assume kijinga.Najua sana viwango vyetu tofauti ndio sababu kila ninachokuuliza huna majibu zaidi ya kugwaya na kupayuka matatizo ya shule za kata yanaeleweka kwa hili nimekusamehe ila kaa ukijua Zitto ni mashine na ndiyo sababu mnamgwaya badala ya kutumia misingi ya demokrasia mmekimbilia ukabila na ukanda; hicho kiwango chako kama ni level ni Azam mimi nakipiga kwa viwango vya Barcelona; tafuta kata wenzako wapo wengi sana humu wamegeuza JF ni uwanja wa kujiliwaza na kutengeneza viposho vya hapa na pale. Endelea kujiliwaza na poll yako mtu mmoja ID kumi hiyo itakuwa poll au ujinga? Njaa tafuteni njia nyingine ya kuziganga.
Chama
Gongo la mboto DSM
Ebaeban: It seems that you have missed the point. Mushi is not planning to fire Zitto nor has the mandate to do so rather, trying to get JF members opinions based on current allegations on Zitto regarding his disenchanting behavior as far as CHADEMA party is concerned. Unlike you who single handedly saw Mushi under the baobab tree in deep night, there are scores of CDM members complaining of Zitto's political behavior!!!! Besides, we all make mistakes but that does not stop anyone from rebuking evil. If the Zitto's saga is based on malice, don't you worry he will be proved clean or otherwise after an objectively based arbitration process is carried out. To be fired or not will depend on the party constitution.Mr JMUSHI I saw you deep in the night dancing naked under the baobab tree, even you want to fire ZITTO,tell us how clean you are.
Ndiyo wakuu! Heshima kwenu! Natambua uwepo wenu hapa JF. Ninaomba kukishauri chama changu cha CDM kumtimua Zitto haraka. Sababu zifuatazo:-
Mosi siku zote amekuwa mtu wa kuanzisha chokochoko na asiyeeleweka. Katika nafasi yake aliyonayo katika chama alipaswa awe mtu wa kukijenga chama siyo kubomoa. Kwa MFANO:- Wakati chama kinapambana ili kulinyakua jimbo la Arumeru mashariki kwa Joshua Nasari Zitto akaona ili kukivuruga chama aufanye huo ni muda wa kukivuruga chama kwa kutangaza kugombea Urais.
Pili huwa hashiriki katika kazi za chama kikamilifu. Siku zote amekuwa akionyesha kushiriki shughuli za chama kwa manati.
Tatu, amekuwa akipingana na maamuzi ya chama Tena waziwazi. Akiwa kama kiongozi alipaswa awe mstari wa mbele kupigania na kuyatetea maamuzi ya pamoja ya chama. Kwa mfano siku ile bungeni wezake wanatoka kwa kuonyesha kutorizika na matokeo yaliyompa ushindi kiwete yeye hakufika kabisa bungeni kuonyesha kutokubaliana ma maamuzi ya chama.
Nne, ana makundi ya sirisiri ndani ya chama yanayolenga kuwabomoa wapinzani wake kitu amabacho kinaweza kuvuruga chama pia
Tano, Mshirikina. Siku zote uchawi ndiyo limekuwa tumaini lake. Si mara ya kwanza kwa huyu ndugu kusema ameaga kwao................ Hizo zote ni tambo za kishirikina. Katika karne hii hayo mambo ya kishirikina yamepitwa na wakati.
NB:- Wamekuja wakina Pro. Safari ndani ya muda mfupi wamekisaidia sana chama lakini zitto ana lengo la kukivuruga chama. Naomba zitto atimuliwa.