pumba tupu!!!!
JF baada ya 2010 imejaa wajinga na wapuuzi no wonder hakuna issues tena zaidi ya CHADEMA, CCM, Zitto, Slaa na ujinga mwingine mwingi tofauti na kabla ya 2010 ambapo kilikuwa ni kisima cha maarifa.....
Umetumwa mkuu?
Mje kwanza na majibu ya kushindwa kutekeleza maamuzi ya chama ya kuwafukufuza magamba ndo muulizie mambo ya jirani.
kivuli cha zitto kinawatesa sana mbowe na slaa, nguvu kubwa wanayotumia kumchafua tangu autake uenyekiti wa chama ni kubwa kuliko ya kujenga chama, kibaya zaidi wanataka kummaliza kisiasa kitu walicho prove failure af wapo kama wachawi mana hawakati tamaa na kila mbinu wanayotumia. Zitto for presidency 2015
CCM wanaogopa kuwawajibisha mafisadi kwa sababu ni sehemu yao ni wenzao hivyo kwa wao kuwawajibisha wanaogopa kukigawa, kukiyumbisha hata kukisambaratisha Chama Chao.
Ndivyo ilivyo kwa Chadema, wanaogopa kumuwajibisha Zitto, kwa sababu ni usaliti na mengineyo ni sehemu yao, zito ni mwenzao wana hofu kama ya wenzao CCM.
The big picture tuipatayo hapa ni kuwa hakuna Chama chenye uwezo wa kufanya maamuzi, yawe magumu au mepesi, vyama vyetu vinachoweza kufanya ni kushambuliana, kukosoana na kujitetea tu, baasi.
Huwezi kuangalia pande zote za shilingi kwenye issue hii,huo ni uongo,wewe ni anti Slaa hilo halina ubishi,danganya wengine siyo mimi.
jamaa afukuzwe kabisaa coz kama kuvumiliana kumepita kiasi!ashavumiliwa vya kutosha sana, ameropoka sana akidhani ndio democrasia!watever the case wamfunue kila kitu alichowahi kufanya ili watz wajue kua CDM ndicho chama pekee kinachoweza kusimamia maadili na ukweli na kwamba mtu ndani ya CDM hawezi kua maarufu kuliko chama.Wamfungie jiwe la kusagia na kumtosa baharini kama alivosema Jesus.(hypothetically)
Umekurupuka kijana!angalia post ilianzishwa lini halafu urudi utoe hoja yako na baada ya hapo upige kura yako hapo juu.
Huwezi kuangalia pande zote za shilingi kwenye issue hii,huo ni uongo,wewe ni anti Slaa hilo halina ubishi,danganya wengine siyo mimi.
Issue hii kama unaiangalia kwa maslahi ya chama husika,yani chadema,basi huwezi kuona kama Dr Slaa ndiyo tatizo.Wewe ni miongoni mwa wale wanaompinga kwa kutumia vigezo vya dini,umri na ukanda.Hivyo ni vigezo muflisi,na ndivyo ambavyo Zitto amekuwa akivitumia yeye na masalia.Hilo halina ubishi.
Zitto alipoamuwa kwamba anagombea urais,aliamuwa kushirikiana na nyie ccm kuitumia hoja ya kibaguzi ya umri,pia na hoja nyingine za kibaguzi za ukanda na udini.
Kwa kupitia wana ccm kama Nape,Januari Makamba pamoja na kina Shigela na Mwigulu Nchemba.Wewe ni gamba halafu unataka kusema unaingalia issue ya chadema pande zote za shilingi?Usitype kwasababu una access ya mtandao na vidole,shirikisha ubongo,ama hata ukitaka kudanganya usitumie akili ya kitoto.
Tatizo la ubinafsi na kutokuwa mvumilivu ni la Zitto,na pia nimegunduwa ni mbaguzi.Matatizo hayo si madogo.Wakati viongozi wenzake wanajitahidi kujenga chama yeye anavuruga kwa maslahi yake binafsi.Haiwezekani nyie magamba muwe mnamfagilia kwasababu toka lini mkakippenda chama cha upinzania kama si kwa maslahi ya chama chenu?