Should CHADEMA Fire Zitto?

Should Zitto get FIRED from CHADEMA?

  • YES

    Votes: 137 65.9%
  • NO

    Votes: 57 27.4%
  • May be

    Votes: 10 4.8%
  • I don't know

    Votes: 4 1.9%

  • Total voters
    208
Status
Not open for further replies.
Sawasawa mkuu Dawa kuchanana tu, huyu a.k.a Dogo chadema wanaweza wasitumie nguvu kubwa, dawa ni kumuangalia tu kama msukule, anaweza akaritadi mwenyewe, mbona atasinyoro.
 

Why should chadema fire Zitto? Does he work for chadema? He's a member there.
 
I would suggest that Chadema should just continue focusing on its important agendas instead of wasting time with zito and his companion. he has proven beyond reasonable doubt that he is not part of the m4c and therefore it would be wise to let him weigh this by himself, whether to quit or to stay. after all this guy has already declared that he will not seek for reelection as MP because he wants to be a president. I am sorry to say that he may only be good president for the "Wachawi Union"
 
yawezekana vipi kwa chadema kupambana na mafisadi iwapo itashindwa/kuogopa kuwawajibisha wasaliti wanaokihujumu chama?.....swali kutoka uraiani.
 
Watz wakiamua kummaliza mtu kwa maneno hawashindwi,maana mengi yamesemwa japokua sina uhakika kama yote ni kweli as kuna onekana kuna kambi zinazoshindana ndani ya chama kimoja na ukweli ni kwamaba waTZ wengi hatupendi kuona mtu flan akifanikiwa na kusifiwa sna kwa kazi zake zinazoonekana..hivyo basi mi sipo side ya Zitto wala ya mtu yoyote ile kama CDM itaona ni vyema na haki kumfire Zitto kwa maslahi ya chama ni vyema na haki,na kama CDM itamfire Zitto kwa sababu ya kua mshindani ya watu flan basi dhambi yenu itawatafuna mda si mrefu..,na kama mmepima umuhimu wa Zitto kwa wananchi wake kigoma na Tz in general na kuamua kufanya maamuzi yaliyosahihi basi pia hii itampendeza Mungu, na Ole wenu mashabik ambao mnashabikia kwasababu ya chuki zenu binafsi,kufuata upepo,kusikiliza nani kasema nn na nani yupo upande wa nani amini nawaambien ninyi ndo mtaokizika chama though siombei hili litokee...back to the topic ZITTO should either fired or Not Fired due to a critical evidence seen.
 
Hakuna haja ya kumfukuza,cha msingi ni kufanya chaguzi ndani ya chama haraka iwezekanavyo ili kuziba mianya ya utovu wa nidhamu inayoanza kujitokeza miongoni mwa wanachama.Kumfukuza ZZK ni kuiua CDM moja kwa moja,kwani kuna wanaoamini kuwa CDM ni ZZK na nguvu kubwa ya ushindani ndani ya bunge ni y a ZZK.
 
Nimekaa na kutafakari kuhusiana na haya yanayo mwandama muheshimiwa Zitto. Ukweli tuludi nyuma miaka ya 2005 hadi hapa tulipo, tunaona kuna nyakati tofauti Zitto amezipitia. Ndugu zanguni Je? Zitto wa 2005 na huyu wa leo ana tofauti ipi? Na je tofauti kama ipo, chanzo chake ni kipi? Tuangalieni waliyopitia Mabele Marando, Augustino Mrema na wengineo hayana tofauti na haya anayopitia Zitto ivi sasa. Jamani ndugu zangu tusiwe wepesi wa ku hukumu na kusahau fadhila, na kama kuna sehemu amekosea basi yatupasa kumsamehe na kumueleza alipo kosea na si ku mchafua kama baadhi ya mapandikizi watumikavyo kumchafua Zitto.
 
Zitto hajakosea, bali ana weaknesses kama binadamu. Tatizo ni kuwa watu wanatumia weakness zake kumdhoofia, ili kuihujumu CDM...
 
Tatizo sio Zitto, tatizo ni wachagga na watu wa kaskazini wanataka kuwa na hatimiliki kwenye chama. Ila kura, wanataka za makabila mengine!
 
Nani kamhukumu zitto? Wakati kajihukumu mwenyewe!
 

Ameomba msamaha hadi umuombee kusamehewa? Nani anamchafua? Kauli zake na viashiria vya vitendo vyake mwenyewe ndivyo vinavyomchafua. Kumbuka Sitta alivyojidai kumsifia Dr Slaa (kwa kauli yake kuwa "CHADEMA kuna kiongozi mmoja tu Slaa") mbona Dr Slaa alikanusha? Ingekuwa ni Zitto kahusishwa na kauli ya aina hiyo unatarajia angefanya alichofanya Dr Slaa?? Sijawahi kumsikia Zitto akikanusha madai ya yeye kuonewa ndani ya Chama, sijawahi kumsikia Zitto akikemea watu wanaomsifia yeye kwa kuchafua viongozi wenzake wa Chama, sijawahi kusikia Zitto akipinga kuungwa mkono na ccm has jina lake linapotumika kuwaponda viongozi wenzake wa Chama.

What do you say about all those???
 
Upuuzi mtupu!
Hivi CHAUMA ni cha kina nani?
Tatizo sio Zitto, tatizo ni wachagga na watu wa kaskazini wanataka kuwa na hatimiliki kwenye chama. Ila kura, wanataka za makabila mengine!
 
Kitendo cha Zitto kuanzisha ID ya TUNTEMEKE na vijana wake wa Masalia kwa lengo la kuvuruga uchaguzi wa Arumeru ili Nassary asishinde ubunge kamwe hakitasameheka, hata kama mengine amesingiziwa ya kuanzisha chama na kikundi cha uasi lakin ID ya TUNTEMEKE imeichafua sana CDM humu jamvini na ni AIBU kubwa sana hata kwake Zitto kwa sasa kuona alichokuwa anafanya. Alitamani sana abakie mbunge peke yake wa CDM ili aendelee kupata sifa za kijinga lakini hajui kuwa CDM ni taasisi inakua na kuingiza wanachama wengi na hivyo suala la sifa za mtu mmoja limepitwa na wakati..

Wenzake kama Tundu Lissu wanasifikia kwenye kazi ya Ubunge na pia wanasifika kwenye kazi aliyoisomea ya SHERIA so hawana haja ya kuunda makundi au kutukana chama
 
wachaga wana shida gani na zito,usitake kuchochea ukabila hapa,toa hoja za kujenga chama,kama mtu anatuhumiwa nadhani kuna kamati ya maadili ya chama,tuiache ifanye kazi yake
 
hawa wapuuzi wachache wasikusumbue kichwa.hapa siku hizi ni kituo kikuu cha majungu na fitina,me nshawashtukia unaweza kuwa unaumiza kichwa kujibishana ukajua ni wengi kumbe jitu moja linabadili tu ID...
 
Nimeaga kwetu, na atakayethubu kunidhuru nyumbani kwao hata panya hatobaki. huyu aanzishe chama cha Washirikina kitamfaa zaidi.
jaribisha kushirikisha ubongo wako kabla ya kuchangia mada.
Usiwe kama adult person ambaye ana miaka chini ya 18.
 
Zitto kama binadamu mwingine kakosea..tena kakosea sana... Inabidi ajirudi na arudi kwenye misingi yake ya kwanza alipojiunga na chama mara ya kwanza...zitto ameitangaza chadema sana...lakini na ndo huyo huyo ameibuka kuihujumu...na kwakuwa umeumbuka nadhani ushauri naoweza kupa ni kujirudi omba msamaha na piga kazi kamanda...
 
Hapo nimekuelewa vizuri mkuu! Ila tukae tukifahamu ipo siku ukweli utabainika, naamini kuna vitu vingi vimefichika juu ya hili tatizo linalo muandama Zitto. Na siku vitakapo bainika na amini wote wanao mchafua Zitto ndio utakua mwisho wao ndani ya siasa.
Zitto hajakosea, bali ana weaknesses kama binadamu. Tatizo ni kuwa watu wanatumia weakness zake kumdhoofia, ili kuihujumu CDM...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…