Endelea kusinzia mkuu na mawazo yako hasiZitto siyo mnafiki mara nyingi kauli za zito zinabase kwenye ukweli mara nyingi selikari iliyopo madarakani kama inafanya kitu kizuri kwa manufaa ya wananchi na taifa kiujumla mara nyingi Zitto anazipongeza zile wizara and if itz vise versa Zitto tends to b vise versa too so huo unafiki wa Zitto upo wapi?
ha ha ha! Ghafla umeivua miwani ya mbao!
Mtu akifanya vibaya na tukimsema wengine wanasema öooh! kwa vile Muislam ndio maana anaandamwa,hapa hatuangalii hayo mambo hata akiwa ni Mkiristo angeambiwa haya haya wala hakuna kumung'unya maneno wakuu,Zitto ni mzigo kwa sasa ndani ya CDM anaebisha na abishe tuu kwani sijaona mchango wake kwenye M4C
Nakubaliana na wewe mkuu,ila unataka kusema Zitto ndo muislam peke yake chadema?Maana sasa chadema wanaweza kuwajengea waislam hisia kwamba Zitto ni a "token",kama unataka kujuwa maana ya hilo neno token,ni pale wazungu wanapomwajiri mtu mweusi mmoja ili kuondoa ile dhana ya ubaguzi.Hilo ndo naona kama linataka kutokea.CDM haikutakiwa iwe kwenye hiyo position.
Hivi viongozi waislam chadema ni wangapi?ccm je?I mean nafahamu hatuwezi kuvilinganisha vyama hivyo moja kwa moja kwasababu ccm ni chama kikongwe,lakini ukisema Zitto akifukuzwa chamani basi waislam watasema ni kwasababu ya dini yake,hilo tayari ni tatizo kuliko hata Zitto mwenyewe.I'm just sayin...
Lakini swali ni je wananchi wameununuwa uongo huo?Kama CDM ni kweli wanaogopa kumsuspend kwasababu ni muislam,basi ina maana unakiri kuwa kuna tatizo?Mkuu polisi wameuwa morogoro, lakin ccm na vijana wao wakageuza ukweli kuwa uwongo. Ally kauliwa ccm wamefanya mtaji umewasikia kwa masikio yako.
Japo wapo wengi tena sana waislam ndan ya cdm, lakin pasiwe na ufa ccm kulaghai watanzania. Kama kujimaliza aachwe kujimaliza zito mwenyewe paiwepo visingizio.
Right on the money,very sad though.Halafu mtu unaona kabisa plan yako iko out on the open,lakini bado tu.Nimesikitishwa sana kwani nilikuwa namwamini sana muheshimiwa huyu,na nikidhani ni kiongozi shupavu kabisa.Lakini kama ulivyosema,toka ile kamati ya madini,JK nadhani alimwingiza mkenge akamwambia "we muislam mwenzangu achana na hao makafiri",yani I can see that.Very sad indeed coz hawajali maslahi ya Taifa hili.
That's more of a "wishful thinking",yani kwamba chadema wamemplant Zitto kwa JK.Hakuna siri yoyote anayoweza kuitoa kwa JK aipeleke chadema.Hilo ni too "far fetched".Hadi aache kumpigia kampeni mgombea wa chama chake,unajuwa hilo limewa cost how many votes?Kama hiyo assumption yako ni ukweli basi ni a blunder!very sad! CDM looks to be well organised, like those vanguard parties which led revolutions, i mean changes each'and every member is vouched, tracked and eventually vetted. Tactical retain of members notwithstanding of visual appearance can be party plans. Munajuaje kama Zkk hajawa planted na CDM kwa Jk na ccm'apate siri za huko. Sorry'CDM: kama'nimetegua'mtego. Hv mlishasikia Slaa'au CDM ikimlalamika khs Zitto? Msicheze'na'mabadiliko?
Unaweza kufafanuwa zaidi hayo mambo yanayolindwa kwa kutokumfukuza Zitto?CDM haina jeuri ya kumfukuza Zitto, ni kweli wanamchukia lakini watamvumilia kwaajili ya kulinda matumbo yao. Ukitoa Zitto na mbowe anabaki yule mcheza ngoma wa kinyaturu(lissu aka mzee wa kulia lia)
Lakini swali ni je wananchi wameununuwa uongo huo?Kama CDM ni kweli wanaogopa kumsuspend kwasababu ni muislam,basi ina maana unakiri kuwa kuna tatizo?
Kweli ni "a noose" around CDM's neck.Hiyo tume haina mkono wa ccm?kwahiyo unadhani itafanya kazi ya aina gani?tume hiyo ni huru?una imani nayo?Mkuu tatizo lipo.
Lakin kama kiongozi anajimaliza na unafaham vema zito anajimaliza haraka zenu za nin?
Watanzania tunauelewa wa aina mbali mbali, hususan linapokuja suala la din. Hapa wengi wetu huwa tunafuata nan kasema nin wote tunaelekea huko bila kutafakali.
Hivyo kwakuwa ni suala la kuchafuka, kwa adui kutumia udhaifu wa kiiman, Zito, ccm na wapenda siasa za maji taka waachwe wakishuhudia mtego wao ukilemaa bila kufyatuka na hivyo cdm haitanasa.
Isipokuwa tume ikithibitisha, ccm na siasa ya maji taka itakuwa imekula kwao na Zito anaweza kutoswa bila kuathili mwenendo wa cdm kimkakati kwa watanzania.