Shonza, Mbeya wana adabu za kutosha

Shonza, Mbeya wana adabu za kutosha

Kuna habari na tetesi zimeenea hapa mjini mwanza kwamba julianza shonza na wenzako mna mpango wa kuja mwanza kwa ufadhili wa naibu waziri mmoja wa sisiem, sasa 2nawasubiri tuwashushue na usaliti wenu,

Mbona huyu mtu ni mdogo sana jamani, kwa nini anakuzwa hivi? aende zake huko alikokuwa analipwa mshahara wake. Kama maccm yatampokea kwa mbwembwe watakuwa hawafanyi tathimini ya kazi ya kila mtu. Juliana hajafanya kazi kama walivyokuwa wanataka, kashindwa kajulikana mapema. Kwa jeshini huyu hawezi kuwa mtu mzuri katika mapambano.
 
Mkuu mngetafuta namna mumuite kijana nyumbani mmkabidhi mume akae atulie, hawezi kazi ya siasa.
Kwa kuwa unatoka Mbeya, waambie wazee wamnusuru huyo mwanamke atakufa bila kuacha angalau mtoto.
 
Mi nafikiri huyu dada anashindwa kuelewa kuwa adui mkubwa wa wama Mbeya ni CCM. Tukumbuke matukio yafuatayo
1. Maradhi yanayomsibu Mwandosya
2. Mbinu mbalimbali zilizotumika kutaka kumuua Mwakyembe
3. Mauaji ya Mwangosi.
4. Wao kama vijana kutoka Mbeya pia wamekumbwa na janga kwani CCM imeharibu mustakabari wao wa kisiasa na hii ni kutokana na CCM kutokuwa na mapenzi na wana Mbeya.
Kweli kabisa ila umesahau kijana wetu Dr Ulimboka na yeye vijana wa Mwigulu na Nepi walitaka kumuondoa Duniani. Heri kutengwa na CHADEMA kwa ukanda maana unaweza chagua kwenda kwingine kuliko kuuwawa na CCM ukaenda akhera. Halafu mkuu nasikia hata Manumba alibishana na CCM kuhusu upelelezi madhila yalompata Ulimboka wakitaka afiche findings yeye akagoma hivyo wamemkolimba.
 
nmependa wana jamv mnavyo jua kuchambua vitu kwa weledi...mna fraisha
 
Mwagona Msafwa wa Swaya! Indigo zikwilaje bana bitu...nalaaamba!!!
Ushitambala nuShonza'wakwe vasevile kufwa musiasa..... twenti tuzimanyil'izyo.

Umwampashe abomba'hinza kuukweefwa ululigo lwakwe.... Ukwonjezya izwamwabo havili? Mwe..... Indigo zikwilaje manyi mwe!!!!

ha ha haaaaa, Ushonza nu Shitambala injele zipeleye... nidhibiliti shipiti
 
ha ha haaaaa, Ushonza nu Shitambala injele zipeleye... nidhibiliti shipiti

Insukulu zya kata zyananganya'bana weee?! ingakwe tuhonzye buli manyi! Mwene mulinde lehan'jende. Intahaje bandesheli'nsyonga kumagunda!
 
Topic: Shonza, Mbeya wana adabu za kutosha - Musana wa vinyu!

Mods naomba ondoa hii topic kwa sababu imekiuka maadili ya JF.

Musana wa Vinyu ni sentensi inayoeleweka katika kabila Tatu au zaidi kule Mbeya,
kuwa na maana ya

---- la mama yako...

Kinyiha, Kisafwa, Kimalila, Kilambya, Usongwe pamoja na makabila mengine jirani watajua hapa Shonza katukanwa ---- la mama yake... na sidhani kama huu ni utararatibu unaokubalika katika kujadili siasa hapa JF!!!

Delete this post please....
sI KWELI, UNADANGANYA UMMA WA WANAJF!
Musana ni MGONGO!
Unapoweka ------unataka kuwaaminisha wanajamvi kuwa ni neno baya zaidi ya mgongo, unataka watru waelewe kuwa ametaja kitu kama dudu labda!
Sishabikii matusi, lakini sipendi uwongo!
 
ha ha haaaaa, Ushonza nu Shitambala injele zipeleye... nidhibiliti shipiti

Insukulu zya kata zyananganya'bana weee?! ingakwe tuhonzye buli manyi! Mwene mulinde lehan'jende. Intahaje bandesheli'nsyonga kumagunda!
Mwii,
Mukufuma poshi nu bhantu mwii!
Ane ne wamwinyu, inkufuma pa Msangamwelu. Umwana Ushonza unu manyi ana mabado! Ani napotwa humwelewe lelo weya!
 
Mimi siyo mwanachama wa CHADEMA lakini ndicho chama mbadala angalau chenye muelekeo na ninasikia hasira sana na watu ambao wanadhani kuwa wanataka kutenda mambo ya demokrasia kumbe ni wahuni na wametumwa na chama tawala kuharibu harakati za chadema na kurudisha nyuma maendeleo ya wapenda demokrasia.

Leo nimeamua kuja na ID yangu halisi ili kuweka mambo sawa kutokana na uhuni wa huyu anayejiita kuwa bado ni kiongozi wa CDM. smbaye amejitahidi kuandika upuuzi wake humu kwa kurasa za kutosha na kuunda hoja za kipuuzi kabisa kwa madai ya kuwa viongozi waliofukuuzwa uanachama ni wale wanaotoka MBEYA

NAOMBA KUWAJULISHA WANAOPENDA DEMOKRASIA KUWA MIMI NATOKA MBEYA WILAYA YA MBOZI VWAWA ENEO LA IPANZYA NINATHAMINI MABADILIKO YA KWELI PAMOJA NA WAPENDA MAENDELEO WOTE WENYE KUITAKIA HERI NCHI YETU KWAMBA HUYU BINTI HANA ADABU NA DESTURI HALISI ZA WATU WA MBEYA WALA HAJALELEWA NA KUPATA MAKUZI HALISI YA WATU WA MBEYA bali huyu ni mamluki kama wenzake ambao naweza kuwaita ni makahaba wa demokrasia ambao wanatumiwa na wachache wenye uchu wa madaraka kuleta mgawanyo wa kitaifa kwa kuleta mawazo ya udini, ukanda, na ukabila ndani ya chadema ili kupitisha ajenda zao chafu kwa masilahi yao binafsi.

Napenda kuwaomba wana Mbeya wote popote pale mlipo tusimsikilize mpotoshaji huyu anayetaka kutugawanya maana inajulikana dhahiri kuwa wana Mbeya wana msimamo dhihir na wenye kueleweka kwenye suala la Demokrasia mahali popote pale na zaidi sana WANA NIDHAMU YA KUTOSHA KWA WANAO WAZIDI KI UMRI NA HATA KIMADARAKA hivyo nakusahauri uache biaashara uliyotumwa na mamluki ya kuwavurugia chadema dira yao ya mabadiliko ya demokrasia nchini.

NA KWA TAARIFA TU KWA WENGINE NI KWAMBA MIKOA YA KUSINI HAINA DESTURI ZA USALITI TOKA HISTORIA ZA KALE KAMA KINA MKWAWA, KINJEKITILE NK. WAKUSINI WOTE WALIO WASALITI NI WAGANGA NJAA TU NA WATAISHIA PABAYA :nono::wave:

Bwana Mwampashi unaishi katika zama za ujima.

Ni ukosefu wa mawazo ya mlengo wa kidemokrasia kuingiza mila za kwenu kwenye masuala ya siasa za Tanzania kwa hivi sasa.
Mbaya zaidi sidhani kama wewe ni mtu wa maana sana katika jamii kwa aina ya argument unayoitetea.

Mila za kwenu ukilinganisha na kusema ukweli na kupinga ,ufisadi wapi na wapi.
Kama kwenu mnalea vijana wa kutohoji maamuzi ya kijinga basi mila za kwenu ni za kijinga vile vile.

Shonza ni shujaa, ameweza kusema, tena kwa ujasiri, MFALME YUKO UCHI!

Na kwa mawazo yako wewe Mwampashi kusema na kukemea maovu hayo ulitaka aseme na uridhike.?

Ujinga uliombaya zaidi ni kujaribu kufisha uthubutu wa kukemea ufisadi na maovu mengine ya aina hiyo.
Sitashangaa kusikia kwamba watoto wa watu wa aina ya Mwampasi ni mazezeta wa kujitakia kutokana na malezi ya aina inayotetewa hapa.

Nampongeza sana Shonza na wengine kwa kuwasha moto wa kupinga uovu ndani ya CDM, na moto huo hautazimwa kwa maoni yasiyo na mashiko kama ya watu kama Mwampashi.
 
Ni muhimu kwa vijana kuelewa kuwa tunayosafari ndefu za kukuza na kuendeleza demokrasia kwa kuwa watu wa kuridhika na wasio wasaliti kwa kujua au kutokujua.Shonza ni miongoni mwa vijana wanaotaka kutumika vibaya kwa kuamini kuwa anaweza kufanikiwa kwa kufanya usaliti kwa chama chake. Na namuomba aelewe kuwa kwa Nchi kama Tanzania ambayo bado siasa haijakuwa na kukita mizizi , tunahutaji kuvumiliana na kutoa ushirikiano kwa kila hali ili siku moja tuweze kuwa na demokrasia ya kweli na hii itatokea tu pale CCM itakapoondoka madarakani.Hakuna uwezekana wa kuwa mwanademokarsia asie heshimu mkubwa wake kama Shonza na halafu akaendelea kuaminiwa. Ushauri wangu ajipange kwa kuomba msamaha kuwa alikosea zaidi anazidi kujiharibia na wanaomdanganya ipo siku watamsaliti tu.
 
ha ha haaaaa, Ushonza nu Shitambala injele zipeleye... nidhibiliti shipiti
Ushitambala wope mpuluzi mansi...Naswiga umwana unsafwa ananjishe afwana na'bhaswahili!...twamaliha weya!
 
sI KWELI, UNADANGANYA UMMA WA WANAJF!
Musana ni MGONGO!
Unapoweka ------unataka kuwaaminisha wanajamvi kuwa ni neno baya zaidi ya mgongo, unataka watru waelewe kuwa ametaja kitu kama dudu labda!
Sishabikii matusi, lakini sipendi uwongo!

Hoja yako PakaJimmy ilikwishaletwa na mwanajamvi mwingine awali. Lakini ngoja nirudie utetezi wangu kwamba neno Musana wa vinyu lilitumika kutukana. Musana wa vinyu ni tusi kwa uchambuzi wa maana ya maneno iliyokusudiwa katika lugha iliyotumika.

Sijui Paka Jimmy una uelewa kiasi gani wa kitu kinachoitwa SEMANTICS. Katika ufundi wa tafsiri za maana ya maneno, Semantics ni uchambuzi wa KUTAMBUA MAANA YA NENO INAYOKUSUDIWA na mwandishi anapotumia neno hilo; ambapo unaweza kutumia neno hili kumaanisha kitu tofauti kabisa na neno lenyewe. Katika lugha za Kinyiha, Kimalila, na ninadhani hata kwenye kabila dogo la Wasongwe, au pengine hata Wasafwa, Musana wa vinyu linaweza kupewa tafsiri ya tusi kwa tafsiri ya maana inayokusudiwa--hata kama kweli maana halisi ya Musana ni mgogo. Mtumiaji wa maneno Musana wa vinyu anakuelekeza kwenye mgongo wa mama yako kama watukanaji wengine wanaotafuta kukutukana kwa kutaja maeneo nyeti ya mama yako. Nadhani unayajua maeneo hayo ni yapi. Mtukanaji anataka wewe ujaze mwenyewe neno baya ambalo yeye hataki kulitamka.

Kama una maelezo tofauti na haya ya kuwafundisha wanajamvi maana sahihi ya Msana wa vinyu labda nikuombe sasa uyaweke hapa. Lakini mimi nitasimamia upande wa tafsiri yangu kuwa neno hili ni tusi kwa tafsiri ya maana iliyokusudiwa. Ila namshukuru sana mwanzishaji wa uzi huu kwamba aliondoa tusi kwenye headline.

Ni matumaini yangu kuwa umeelewa ndugu PakaJimmy.
 
Back
Top Bottom