Mkuu hili tusi la
Musana wa vinyu! nalielewa sana,mimi kinyiha nakijua sanaaaa
Mimi siyo mwanachama wa CHADEMA lakini ndicho chama mbadala angalau chenye muelekeo na ninasikia hasira sana na watu ambao wanadhani kuwa wanataka kutenda mambo ya demokrasia kumbe ni wahuni na wametumwa na chama tawala kuharibu harakati za chadema na kurudisha nyuma maendeleo ya wapenda demokrasia.
Leo nimeamua kuja na ID yangu halisi ili kuweka mambo sawa kutokana na uhuni wa huyu anayejiita kuwa bado ni kiongozi wa CDM. smbaye amejitahidi kuandika upuuzi wake humu kwa kurasa za kutosha na kuunda hoja za kipuuzi kabisa kwa madai ya kuwa viongozi waliofukuuzwa uanachama ni wale wanaotoka MBEYA
NAOMBA KUWAJULISHA WANAOPENDA DEMOKRASIA KUWA MIMI NATOKA MBEYA WILAYA YA MBOZI VWAWA ENEO LA IPANZYA NINATHAMINI MABADILIKO YA KWELI PAMOJA NA WAPENDA MAENDELEO WOTE WENYE KUITAKIA HERI NCHI YETU KWAMBA HUYU BINTI HANA ADABU NA DESTURI HALISI ZA WATU WA MBEYA WALA HAJALELEWA NA KUPATA MAKUZI HALISI YA WATU WA MBEYA bali huyu ni mamluki kama wenzake ambao naweza kuwaita ni makahaba wa demokrasia ambao wanatumiwa na wachache wenye uchu wa madaraka kuleta mgawanyo wa kitaifa kwa kuleta mawazo ya udini, ukanda, na ukabila ndani ya chadema ili kupitisha ajenda zao chafu kwa masilahi yao binafsi.
Napenda kuwaomba wana Mbeya wote popote pale mlipo tusimsikilize mpotoshaji huyu anayetaka kutugawanya maana inajulikana dhahiri kuwa wana Mbeya wana msimamo dhihir na wenye kueleweka kwenye suala la Demokrasia mahali popote pale na zaidi sana WANA NIDHAMU YA KUTOSHA KWA WANAO WAZIDI KI UMRI NA HATA KIMADARAKA hivyo nakusahauri uache biaashara uliyotumwa na mamluki ya kuwavurugia chadema dira yao ya mabadiliko ya demokrasia nchini.