Shonza, Mbeya wana adabu za kutosha

Shonza, Mbeya wana adabu za kutosha

Ushitambala wope mpuluzi mansi...Naswiga umwana unsafwa ananjishe afwana na'bhaswahili!...twamaliha weya!

Vont'avo nsukulu zya kata tu.... Vakuti vati vahamukala nu'tumilioni tuvili welele! Inga zyanalyoli manyi. Zikupela ni nsoni mwanawitu....
 
Mwii,
Mukufuma poshi nu bhantu mwii!
Ane ne wamwinyu, inkufuma pa Msangamwelu. Umwana Ushonza unu manyi ana mabado! Ani napotwa humwelewe lelo weya!
Highlander Ine inkufuma pa Hatelele, pamujini pitu pe pamulobho(mlowo), ndaliipo amasiku gondiiga nalikuhaya udada wane amafuye isho pe nagaluha!
 
Last edited by a moderator:
Kwa adabu hiyo hiyo wanayojulikana wana Mbeya hebu tetea mikopo minono wanayolipana makao makuu ya CDM na mishahara minono ambayo naamini huko Mbeya haifiki.

Wana Mbeya hatujulikani kwa unafiki.

Mwampashi umedandia treni ya TAZARA kwa mbele.

Nape Nnauye na Mwigulu Nchemba wanalipwa 500,000 kwa kila kikao na wakienda kukinadi chama kwenye ziara za kuwatukana CHADEMA wanalipwa 1M. Unasemaje hapo! Angalia ya nyumbani mwako, nyumba yako inawaka moto unahangaika kuzima ya jirani!
 
Highlander Ine inkufuma pa Hatelele, pamujini pitu pe pamulobho(mlowo), ndaliipo amasiku gondiiga nalikuhaya udada wane amafuye isho pe nagaluha!

Inseho lyambuzi! Kumwitu kwe kuMkula mwana witu. Nguhamanya manyi kuMkula...., ku-mponzo inyinji, na-makusu, ni'mbuula, na'makwa, nu-woga ubunyanswa; na'vamongwe, nizumba ilya'muvwizi!. We wa kuMulovo? Kwa yisekulu wa'mwanawitu uwamadali muchadema? Ulamushe vonti mwana witu....
 
Bwana Mwampashi unaishi katika zama za ujima.

Ni ukosefu wa mawazo ya mlengo wa kidemokrasia kuingiza mila za kwenu kwenye masuala ya siasa za Tanzania kwa hivi sasa.
Mbaya zaidi sidhani kama wewe ni mtu wa maana sana katika jamii kwa aina ya argument unayoitetea.

Mila za kwenu ukilinganisha na kusema ukweli na kupinga ,ufisadi wapi na wapi.
Kama kwenu mnalea vijana wa kutohoji maamuzi ya kijinga basi mila za kwenu ni za kijinga vile vile.

Shonza ni shujaa, ameweza kusema, tena kwa ujasiri, MFALME YUKO UCHI!

Na kwa mawazo yako wewe Mwampashi kusema na kukemea maovu hayo ulitaka aseme na uridhike.?

Ujinga uliombaya zaidi ni kujaribu kufisha uthubutu wa kukemea ufisadi na maovu mengine ya aina hiyo.
Sitashangaa kusikia kwamba watoto wa watu wa aina ya Mwampasi ni mazezeta wa kujitakia kutokana na malezi ya aina inayotetewa hapa.

Nampongeza sana Shonza na wengine kwa kuwasha moto wa kupinga uovu ndani ya CDM, na moto huo hautazimwa kwa maoni yasiyo na mashiko kama ya watu kama Mwampashi.

Umeahidiwa shilingi ngapi?
 
Futeni kabisa kiswahili muongee lugha yenu hadi mwisho mchoke kwa kumtetea mchovu shonza au ndio mumeona ni shujaa wa huko kwenu?
 
Kwa adabu hiyo hiyo wanayojulikana wana Mbeya hebu tetea mikopo minono wanayolipana makao makuu ya CDM na mishahara minono ambayo naamini huko Mbeya haifiki.

Wana Mbeya hatujulikani kwa unafiki.

Mwampashi umedandia treni ya TAZARA kwa mbele.

HIZO NI HOJA ZA KIJINGA KABISA,ULITAKA WASILIPWE MISHAHARA ILI MAGAMBA MKAWANUNUE?af mishahara minono ni ipi,mfano Shonzya alidai Heche analipwa laki saba kwa mwezi iv huo ni mshahara mnono?ama keli tonge la ugali kwa sisimizi ni mlima mkubwa
 
sasa wewe unasema wala hata si mwana chadema licha ya kwamba wewe si kiongozi wa wanachadema wa mbeya lakini unawasemea wana chadema wa mbeya.sasa wewe unawasemea kama mwananchi mwenye usongo au?

Acha na wewe Mambo yako, na wewe ni masalia nini?
 
HIZO NI HOJA ZA KIJINGA KABISA,ULITAKA WASILIPWE MISHAHARA ILI MAGAMBA MKAWANUNUE?af mishahara minono ni ipi,mfano Shonzya alidai Heche analipwa laki saba kwa mwezi iv huo ni mshahara mnono?ama keli tonge la ugali kwa sisimizi ni mlima mkubwa

labada yeye alikuwa anataka alipwe shs. ngapi?
 
HIZO NI HOJA ZA KIJINGA KABISA,ULITAKA WASILIPWE MISHAHARA ILI MAGAMBA MKAWANUNUE?af mishahara minono ni ipi,mfano Shonzya alidai Heche analipwa laki saba kwa mwezi iv huo ni mshahara mnono?ama keli tonge la ugali kwa sisimizi ni mlima mkubwa
Unajulikana kwa kuwa na domo la mto na kichwa tupu!
 
Mods wasitembelee huku.. Ban ziko nje nje
 
Nimefika umri huu,sijawahi kuona binti wa kinyiha mwenye kiburi kama Shonza mwene Mwampashe,hivi kweli baba yake shonza yupo? huyu mzee hajuwi au hasikii anachofanya mwanae?anajifanya anapigania Demokrasia,ipi hiyo?kweli anaweza kumsemea mbovu mzee kama Dr.Slaa?nae anaona yuko sahihi kweli kwa upuuzi huu,huh! this is Insane...nimeishi mbozi kwa muda mrefu na nimefanya kazi kule karibia miaka kumi na tano,mimi najua tabia za wanyiha sana...huyu mtoto ni mnyiha mshenzi asiye na adabu kabisa na kama baba yake hawezi kumfunza basi niyo ulimwengu ndo unanza kumfunza,na wale wanaomuunga mkono huyu bint ni wehu wakubwa na wanazidi kudidimiza baadala ya kumuibua ili ajisafishe na kuomba msamaha,yey angekuwa kiongozi angependa alipwe mshahara kiasi gani....
 
Hivi ninyi watu wenye itikadi za kizuzu(makada) mbona mnashindwa kuelewa jamani,jaribu kufanya utafiti maktibu wakuu wanalipwa shilingi ngapi,wakuu wa mikoa.mawaziri,n.k,kipindi kifupi tu kilichopita Waziri mkuu aliseama ni mwisho Serikali kununua VX,uliza mawaziri wanatembelea magari gani,mfano kuna wizara imeagiza gari zingine ambazo ni vx pia...sasa huu ujinga hamuoni,ila mnang'ang'ana na Dr.Slaa tu,shame on u...
 
Tena Wanyiha watamshangaa sana kweli...hana adabu hata kidogo huyu binti..
 
Nimefika umri huu,sijawahi kuona binti wa kinyiha mwenye kiburi kama Shonza mwene Mwampashe,hivi kweli baba yake shonza yupo? huyu mzee hajuwi au hasikii anachofanya mwanae?anajifanya anapigania Demokrasia,ipi hiyo?kweli anaweza kumsemea mbovu mzee kama Dr.Slaa?nae anaona yuko sahihi kweli kwa upuuzi huu,huh! this is Insane...nimeishi mbozi kwa muda mrefu na nimefanya kazi kule karibia miaka kumi na tano,mimi najua tabia za wanyiha sana...huyu mtoto ni mnyiha mshenzi asiye na adabu kabisa na kama baba yake hawezi kumfunza basi niyo ulimwengu ndo unanza kumfunza,na wale wanaomuunga mkono huyu bint ni wehu wakubwa na wanazidi kudidimiza baadala ya kumuibua ili ajisafishe na kuomba msamaha,yey angekuwa kiongozi angependa alipwe mshahara kiasi gani....

Mkuu huyu binti siyo wa kwetu kabisa na kuanzia leo tuna mkataa rasmi maana kikwetu kuna adabu kwa wazee hasa wanaume sasa huyu anatoka wapi na tabia yake hii chafu.
 
Futeni kabisa kiswahili muongee lugha yenu hadi mwisho mchoke kwa kumtetea mchovu shonza au ndio mumeona ni shujaa wa huko kwenu?

Wala hakuna aliyemtetea hapa na wengi wamemchana kinyumbani na hakuna anyemtetea hata kidogo kwa upuuzi kama huo alioufanya huyu binti ni mnyiha wa jina na siyo wa tabia, kwetu hakuna mabinti wa aina hiyo.
 
Kashafukuzwa CDM Lakini bado hajijui kama amefukuzwa,sijui kazi zake za chama anafanyia wapi???labda lumumba!
 
Back
Top Bottom