masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,410
- 14,119
Juliana is just a fish out of water. She is weak mentally and physically as she deliberately abused the source of her political muscles. Na inauma sana badala ya watu kumwambia a point plain that your poor approach has led you astray mnampamba na kumwita kumwona shujaa. Wewe unajua kuwa hakuna muungano wa kiitikadi usiokuwa na maadili. Na muungano wa kisiasa una kanuni yake ya uwajibikaji wa pamoja (collective responsibility). Mnaruhusiwa kupingana mkiwa kwenye closed doors but when you come to public you walk hand in hand as one and do not showcase your differences. Short of that whoever decides to do the opposite has first of all to decline from being one of the team. Lazima kwanza ajiuzuru. Ni kanuni ya siasa wala si yangu. Sasa dada Shonza kitu cha kwanza mshauri ajiuzuru japo kesha fukuzwa ingawa bado mnamwaminisha kuwa bado ni mwana CDM. Halafu baadae ndipo aje na concrete evidences kuwa tuhuma anazozisema ni za kweli. Aonyeshe kama aliwahi kulalamikia mshahara mkubwa wa Dr.Slaa katika vikao rasmi vya chama kimaandishi maana vikao huongozwa na agenda. Aonyeshe kama alifanya hivyo kama agenda maalumu au AOB na akapuuzwa. It should be in wrtoting and that will save as documentary review in the future.
Pili atushawishi kuona kuwa alitaka Dr.Slaa na viongozi wake walipwe shillingi ngapi na vigezo gani alivitumia kutoa pendekezo lake?? Suggestion cannot come out of thin air. Lazima iwe justified with vivid findings and facts. Mshahara wa Dr.Slaa kama ni mkubwa kama anavyotaka kutuaminisha anaulinganisha na wa nani? Maana asije akatoa ulinganisho wa katibu mkuu wa chama kingine lakini mwenye biashara zake mpaka ya nyara za taifa. Je, mshahara wa Dr.Slaa unalinganisha na muda anautumia kukijenga chama au anatumia muda mwingi kufanya biashara zake ikiwemo nyara za taifa? Bila kuja na ushahidi sio wa kuitisha press conference na ukaondoka halafu mtu akafikiri ataaminiwa. We have had enough the Shonzas
Very good and well said mkuu!
In fact I apprecate your line of argument ingawaje haiko balanced.
Umejikita katika kuchambua style aliyoitumia Bi Shonza kupeleka matatizo yake hadharani, hiyo nimeipenda.
Lakini unasahau jambo moja muhimu, jambo ambalo ni la kufa na kupona sometimes.
Nani kasema it is all rosy and democratic huko CDM(also CCM for that matter). Na kwamba ukitaka kutoa maoni mbadala basi mtakaa chini ya vikao na kujadiliana mpaka muafaka upatikane.
Wewe kama mimi najua hilo halipo.
Katika mazingira ya kisiasa za sasa, ni kweli kutoa siri za chama ni usaliti, lakini tazama track record so far.
There are those who differed na establishment ya CDM, they are 6ft under now!
Where is Chacha Wangwe-he got an unfortunate 'accident"!
Na principle ni moja-dead men dont talk!
Na waswahili husema kunguru mjanja hukimbiza bawa lake! atakwaruza sauti yake akiwa mti wa tano toka ulipo.
Na ukiinama tu waswahili husema ataanza!
Ndio maana nasema hali ya huko ndani ya CDM ni tete, tumesoma wote humuhumu tuhuma nzito nzito, wengi wennu mnazichukulia kama a normal day in a democratic society, kwa wengine masuala haya ni ya shaping their entire political future-and they strive achieve those goals, come what may.
Bi Shonza came clean, from a safe distance she has given her allegations bravely and so far no able bodied man has taken up the challenge.