Shonza, Mbeya wana adabu za kutosha

Shonza, Mbeya wana adabu za kutosha

maana yake ''umetuaibisha sana''

watafsirie kwamba neno hili la kinyiha linapatikana kwenye kamusi mpya ambayo huwa tunatumia kumuelewesha yule rais anayehangaika na maji ya ziwa nyasa
 
Mbeya ni moja kati ya mikoa mitatu yenye uelewa mzuri kielimu na mifumo ya kisiasa, huyo dada anatuharibia heshima yetu vibaya sana,
hivi leo anapozungumzia ukanda anataka kusema wakati anapewa hicho cheo kikubwa walikuwa hawajui kama hatokei kaskazini, huyu na shitambala ni aibu ya wana sisi mbeya
 
Ahsante sana Mkuu!!! Wana Mbeya wana misimamo isiyoyumba yumba. Hawakubali kutumika kama toilet paper au condom. Nawashangaa sana hawa vijana!

Naomba unisaidie maana ya "Musana wa vinyu"
msana maana yake kabisa ni mgongo. Vinyu=mama. Kwa makabila ya Mbeya ni maneno yenye maana sawa na ----mamako unapotamka pamoja. Hivyo hayatamkwi hadharani ila kwa rika la vijana kama tusi na dharau ya juu sana.

Sasa unapoona linaandikwa hapa huwezi kusoma hata mbele ya jamii ya watu wa MB kwa sababu ya mila zetu.
 
AAAA MBUNGE WA Ipapa na IYUNJI NIMEKUPATA SANA MBEYA Naamini wanaharakati wengi kuliko mamluki,mtu kama mwampamba alijenga jina leo hi kawa msaliti,IMBEYE YITU USHONZA GUKUNDU GWAKWE NU SHITAMBALA GWAKWE UNGATI YUSHIPUKUPUKU
 
punguzeni Makhirikhiri sasa! Du kameshapata ujumbe.
 
Jibu kwanza hoja zake ndipo useme haya uliyoyasema. Wewe ndio umetumwa kupotosha haki na ukweli
 
Kati ya makam mwenyekiti bavicha taifa na Wewe ulieko huko madongo kuinama nani ana uelewa wa kutosha kuhusu mambo yalivyo ndani ya chadema?? Pili umesema wewe sio mwanachadema huyu dada sio tu mwanachama bali pia ni kiongozi wa taifa..
 
Mkuu hao watu wasio na uelewa kuwa wanaibiwa na matapeli wa kisiasa ni wa kuwahurumia tu.
Hawaishi kumtukana mjumbe kuliko kuchambua ujumbe wenyewe.

Sas sijui hawana uelewa wa kutosha kuwa wanasaidia kufuga wezi wa kisiasa?
Na hao wezi wa kisiasa wataaminika vipi wakilia ufisadi wakati wao wanaulea.
 
Isaac Mwampashi ! Ena wayanga mwene! u mwandandunu ate hinza kabisa! amaaliye ihela zya bhantu! azikumufumila mumanama!
 
Last edited by a moderator:
Mwagona Msafwa wa Swaya! Indigo zikwilaje bana bitu...nalaaamba!!!
Ushitambala nuShonza'wakwe vasevile kufwa musiasa..... twenti tuzimanyil'izyo.

Umwampashe abomba'hinza kuukweefwa ululigo lwakwe.... Ukwonjezya izwamwabo havili? Mwe..... Indigo zikwilaje manyi mwe!!!!

AAAA MBUNGE WA Ipapa na IYUNJI NIMEKUPATA SANA MBEYA Naamini wanaharakati wengi kuliko mamluki,mtu kama mwampamba alijenga jina leo hi kawa msaliti,IMBEYE YITU USHONZA GUKUNDU GWAKWE NU SHITAMBALA GWAKWE UNGATI YUSHIPUKUPUKU

Isaac Mwampashi ! Ena wayanga mwene! u mwandandunu ate hinza kabisa! amaaliye ihela zya bhantu! azikumufumila mumanama!
 
Mi nilidhani huyu ni binti wa kihaya, watani zangu wahaya mnisamehe aisee
 
Endelea ku-flow na tide-kama wale dead fish.

Nothing changes my dear, guts and brains go in tandem.
Guts without brains only creates dead heroes!

I mean it " It takes brains AND guts to swim against the tide" kama uko comfortable kama dead fish , so be it

Juliana is just a fish out of water. She is weak mentally and physically as she deliberately abused the source of her political muscles. Na inauma sana badala ya watu kumwambia a point plain that your poor approach has led you astray mnampamba na kumwita kumwona shujaa. Wewe unajua kuwa hakuna muungano wa kiitikadi usiokuwa na maadili. Na muungano wa kisiasa una kanuni yake ya uwajibikaji wa pamoja (collective responsibility). Mnaruhusiwa kupingana mkiwa kwenye closed doors but when you come to public you walk hand in hand as one and do not showcase your differences. Short of that whoever decides to do the opposite has first of all to decline from being one of the team. Lazima kwanza ajiuzuru. Ni kanuni ya siasa wala si yangu. Sasa dada Shonza kitu cha kwanza mshauri ajiuzuru japo kesha fukuzwa ingawa bado mnamwaminisha kuwa bado ni mwana CDM. Halafu baadae ndipo aje na concrete evidences kuwa tuhuma anazozisema ni za kweli. Aonyeshe kama aliwahi kulalamikia mshahara mkubwa wa Dr.Slaa katika vikao rasmi vya chama kimaandishi maana vikao huongozwa na agenda. Aonyeshe kama alifanya hivyo kama agenda maalumu au AOB na akapuuzwa. It should be in wrtoting and that will save as documentary review in the future.

Pili atushawishi kuona kuwa alitaka Dr.Slaa na viongozi wake walipwe shillingi ngapi na vigezo gani alivitumia kutoa pendekezo lake?? Suggestion cannot come out of thin air. Lazima iwe justified with vivid findings and facts. Mshahara wa Dr.Slaa kama ni mkubwa kama anavyotaka kutuaminisha anaulinganisha na wa nani? Maana asije akatoa ulinganisho wa katibu mkuu wa chama kingine lakini mwenye biashara zake mpaka ya nyara za taifa. Je, mshahara wa Dr.Slaa unalinganisha na muda anautumia kukijenga chama au anatumia muda mwingi kufanya biashara zake ikiwemo nyara za taifa? Bila kuja na ushahidi sio wa kuitisha press conference na ukaondoka halafu mtu akafikiri ataaminiwa. We have had enough the Shonzas
 
Hii Ndo raha ya Tanzania, Mimi natoka MBEYA lakini sijawahi kujuliza Juliana SHONZA anatoka wapi! Ushauli wangu kwa binti yetu huyu asome historia ya wasaliti wanakoishia ni kubaya! Hata kwenye vyama hebu niambie kina Kaburou, Jidawi,Msabaha, Tambwe waliposaliti vyama vyao kila siku tuliwasikia kwenye vyombo vya habari leo wote hawajulikani wanahadhi gani!
 
Juliana is just a fish out of water. She is weak mentally and physically as she deliberately abused the source of her political muscles. Na inauma sana badala ya watu kumwambia a point plain that your poor approach has led you astray mnampamba na kumwita kumwona shujaa. Wewe unajua kuwa hakuna muungano wa kiitikadi usiokuwa na maadili. Na muungano wa kisiasa una kanuni yake ya uwajibikaji wa pamoja (collective responsibility). Mnaruhusiwa kupingana mkiwa kwenye closed doors but when you come to public you walk hand in hand as one and do not showcase your differences. Short of that whoever decides to do the opposite has first of all to decline from being one of the team. Lazima kwanza ajiuzuru. Ni kanuni ya siasa wala si yangu. Sasa dada Shonza kitu cha kwanza mshauri ajiuzuru japo kesha fukuzwa ingawa bado mnamwaminisha kuwa bado ni mwana CDM. Halafu baadae ndipo aje na concrete evidences kuwa tuhuma anazozisema ni za kweli. Aonyeshe kama aliwahi kulalamikia mshahara mkubwa wa Dr.Slaa katika vikao rasmi vya chama kimaandishi maana vikao huongozwa na agenda. Aonyeshe kama alifanya hivyo kama agenda maalumu au AOB na akapuuzwa. It should be in wrtoting and that will save as documentary review in the future.

Pili atushawishi kuona kuwa alitaka Dr.Slaa na viongozi wake walipwe shillingi ngapi na vigezo gani alivitumia kutoa pendekezo lake?? Suggestion cannot come out of thin air. Lazima iwe justified with vivid findings and facts. Mshahara wa Dr.Slaa kama ni mkubwa kama anavyotaka kutuaminisha anaulinganisha na wa nani? Maana asije akatoa ulinganisho wa katibu mkuu wa chama kingine lakini mwenye biashara zake mpaka ya nyara za taifa. Je, mshahara wa Dr.Slaa unalinganisha na muda anautumia kukijenga chama au anatumia muda mwingi kufanya biashara zake ikiwemo nyara za taifa? Bila kuja na ushahidi sio wa kuitisha press conference na ukaondoka halafu mtu akafikiri ataaminiwa. We have had enough the Shonzas

Well said mtu wangu Tatizo ni kwamba watu hawataki kuchambua mabo kiun dani na badala yake waningiza ushabiki usio na maana mpaka kufikia hatua za kuwapoteza na kuwaangamiza vibaraka kama hawa ambao ni wachanga kwenye medani za kisiasa kwa taratibu za kiaskari msaliti adhabu yake ni kifo kabla hajakumaliza sasa wapambe wasio na hoja wanataka kumtumia huyu binti na wenzake kutugawanya wana Mbeya na tuonekane kama tuna tabia ya usaliti!
 
Tuko pamoja mkuu. Ni tatizo kubwa sana tulilokuwa nalo maana watu wanataka kuaminishwa na siasa za mezani za press conference halafu wakimaliza wanataka sympathy yetu. Hapana ni lazima tuhoji mtu unachokisema na ukweli siku zote hutambuliwa katika vigezo vifuatavyo- Mahali, nyakati na wakati na hofu ya Mungu. Mahali pa kuusemea ukweli ilikuwa ni kwenye vikao rasmi vya chama. Lakini huyu dada hata siku moja hajawahi kuonyesha ushahidi wa kupeleka dukuduku lake kwenye vikao vya chama. Ameshindwa kulidhitisha hili bila chembe ya shaka badala yake akenda public. Kosa kubwa sana la kikanuni. Angekuwa amepeleka malalamiko rasmi katika vikao rasmi na minutes zikachukuliwa leo angetuambia mengine na tungemhurumia.

Wakati wa kuyasema aliyosema during press conference bado umemtia dowa. Huwezi kuja kusema kitu ukiwa na hasira na jaziba. Angetafuta mwenye ujuzi wa lugha anayezijua stylistics na semantics halafu amwandalie na yeye aje asome. Labda kidogo angewashawishi watu na sio wale wenye kuvaa milegezo na shati zisizochomekwa. Kwa hiyo timings za kusema alichosema zilikuwa ni mbaya. Angejipa muda akosoma vizuri katiba, miongozo na kanuni za CDM. Akaenda mbali na kufanya empirical review kwa kutazama kama alichofanya kwa kushiriki kwenye kundi haramu, kutumiwa na kukubali kutumika na archivals wa CDM na mwisho kufukuzwa kwake kama hali hiyo iliwahi kumtokea mwanasiasa yeyote ndani na nje nchi na bado akabaki na legality na legitimacy ya kuwa mwanachama hai wa muungano huo. Kama alifanya labda alijikita kwa wale walioonekana wanakidhi matakwa yao.

Unyenyekevu- Dada huyu amekosa unyenyekevu ambayo ni fadhila kubwa katika maisha ya kisiasa. Wanasiasa wote wa kupigiwa mfano huwa wana control their ego. Wanajitambua kuwa to err is human and to exist in error is devilish. Huyu dada hataki kulitambua hilo na kujionyesha kwamba yeye ndiye yuko sahihi lakini viongozi wengine CDM wako wrong. What are the basis that back her hakuna. Umetumiwa ujumbe ukajieleze kwenye vikao rasmi unasema sitambui walioniita. Si ungeenda na ukasema siwatambui therefater that could have been documented. Sasa keshafukuzwa bado unalazimisha kuwa kiongozi msaidizi wa mtu usiyemtambua na mmoja wa voingozi wa kitaifa wa CDM huku unawadhalilisha wenzio. Can you really sit on the same table and share the minds? Tabia wanayo watu wanaoamini kuwa huwa hawafanyi makosa au madhambi na huitwa megalomenic.

Hofu ya Mungu inaendana na hii ya juu lakini inaheshimu watu wanaokuzidi kiumri. Dr.Slaa na Mh.Mbowe na baadhi ya viongozi waandamizi ni watu wazima wenye heshima yao na hata kama wamekosea kwa msimamo wa Shonza kwa maadili ya dunia nzima kuna namna ya kuwa address. Huwezi watu wazima wakatamkwa jinsi Shonza alivyofanya na ukategemea public sympathy. Hapana labda kwa watu waliojichokea. Inauma kama kuna watu hata kama ni hitikadi tofauti na CDM wanampoteza dada watu.

Ushauri wa bure dada awe mnyenyekevu, awe na hofu ya Mungu na afuate kanuni
 
Back
Top Bottom