Shonza, Mbeya wana adabu za kutosha

Shonza, Mbeya wana adabu za kutosha

Wajamvi, Kwa ridhaa ya bavicha mkoa wa singida nimeamua leo kuja kujibu hoja zote za kipuuzi zilizotolewa shonza,
mosi;hoja ya ukanda na ukabila haipo cdm toka chama kiwe introduced hapa tz coz viongozi wa kwanza walikua mzee mtei,kaburu,bob makani.NGOJA niendele na awamu hii inayolalamikiwa M/kiti ni mbowe ni mchaga anatoka kilimanjaro,makamu bara ni arfi ni mfipa anatoka katavi,makamu zenji ni said hamad ni mpemba anatoka zenji,katibu ni dr.slaa mkuu ni muiraki anatoka arusha ,naibu k/mkuu bara ni zitto ni muha anatoka kigoma,naibu k/mkuu zenji ni hamad yusuph ni mzenji anatoka zenji,mkurugenzi wa uenezi ni john mnyika ni msukuma anatoka mwanza,mkurugenzi wa mafunzo na ufundi benson kigaila anatoka moro,mkurugenzi wa sera na utafiti ni mwita waitara ni mkuria anatoka mara,mkurugenzi wa bunge ni john mrema ni mchaga anatoka moshi,mkurugenzi wa uchaguzi anatoka tabora,mkurugenzi wa ulinzi ni muhaya anatoka kagera,wanasheria ni tundulissu ni mnyaturu anatoka singida{kanda ya kati},mabele marando ni msukuma anatoka shinyanga{kanda ya ziwa},m/kiti wa wazee ni msukuma anatoka shinyanga,m/kiti wa vijana ni mkuria anatoka mara,washauri ni dr.kitila mkumbo ni mnyiramba anatoka singida,mwesiga baregu si mchaga.SHONZA NA WENZAKO NAOMBENI MJE MNIJIBU KUWA KWA UONGOZI ULIVYO HAPO CDM NI YA KABILA GANI?KANDA GANI?AU DINI GANI? Kama hautaweza endelea kuishi kwa kutegemea pochi za wanawake wenzako na han akina mchange na mtela waendelee kuishi kwa kutegemea wallet za wanaume wenzao NB:NAWAONYA MIKOANI MSISOGEE COZ MTATOLEWA SADAKA NA AKINA MWIGULU LENGO LAO LITIMIE WALILOAMBIWA NA FREEMASON KUWA WAKITAKA KUSHINDA 2015 WATOE SADAKA YA WANA CDM AMBAO WATAUANA WENYEWE SO TAKE CARE UR SELF AND WENZAKO.hoja nyingine zitafuata kila siku.
Mbona mambo ya msingi aliyoyaongea Shonza hamuyatolei maelezo? Mfano; Dr. Kujikopesha pesa za ruzuku. Je kuna aliyehoji kama kweli kafanya hivyo na kama ndivyo amezilejesha?. Ndo maana kila mikutano ya CDM bakuri la omba omba linapitishwa huku Ruzuku ya Million 230 inatolewa kila mwezi, Je inapelekwa wapi na huku tunahamasisha wananchi wachukie michango?. Kajipange upya na huwezi kuwa Kiongozi wa Bavicha ukaficha jina lako, kama ni kweli kuwa wazi au na wewe unaogopa kutimuliwa?
 
Wajamvi, Kwa ridhaa ya bavicha mkoa wa singida nimeamua leo kuja kujibu hoja zote za kipuuzi zilizotolewa shonza,
mosi;hoja ya ukanda na ukabila haipo cdm toka chama kiwe introduced hapa tz coz viongozi wa kwanza walikua mzee mtei,kaburu,bob makani.NGOJA niendele na awamu hii inayolalamikiwa M/kiti ni mbowe ni mchaga anatoka kilimanjaro,makamu bara ni arfi ni mfipa anatoka katavi,makamu zenji ni said hamad ni mpemba anatoka zenji,katibu ni dr.slaa mkuu ni muiraki anatoka arusha ,naibu k/mkuu bara ni zitto ni muha anatoka kigoma,naibu k/mkuu zenji ni hamad yusuph ni mzenji anatoka zenji,mkurugenzi wa uenezi ni john mnyika ni msukuma anatoka mwanza,mkurugenzi wa mafunzo na ufundi benson kigaila anatoka moro,mkurugenzi wa sera na utafiti ni mwita waitara ni mkuria anatoka mara,mkurugenzi wa bunge ni john mrema ni mchaga anatoka moshi,mkurugenzi wa uchaguzi anatoka tabora,mkurugenzi wa ulinzi ni muhaya anatoka kagera,wanasheria ni tundulissu ni mnyaturu anatoka singida{kanda ya kati},mabele marando ni msukuma anatoka shinyanga{kanda ya ziwa},m/kiti wa wazee ni msukuma anatoka shinyanga,m/kiti wa vijana ni mkuria anatoka mara,washauri ni dr.kitila mkumbo ni mnyiramba anatoka singida,mwesiga baregu si mchaga.SHONZA NA WENZAKO NAOMBENI MJE MNIJIBU KUWA KWA UONGOZI ULIVYO HAPO CDM NI YA KABILA GANI?KANDA GANI?AU DINI GANI? Kama hautaweza endelea kuishi kwa kutegemea pochi za wanawake wenzako na han akina mchange na mtela waendelee kuishi kwa kutegemea wallet za wanaume wenzao NB:NAWAONYA MIKOANI MSISOGEE COZ MTATOLEWA SADAKA NA AKINA MWIGULU LENGO LAO LITIMIE WALILOAMBIWA NA FREEMASON KUWA WAKITAKA KUSHINDA 2015 WATOE SADAKA YA WANA CDM AMBAO WATAUANA WENYEWE SO TAKE CARE UR SELF AND WENZAKO.hoja nyingine zitafuata kila siku.

Mimi Josephat Isango, Mwenyekiti na msemaji halali wa BAVICHA Mkoa wa Singida, sifurahii Utaratibu huu ulioletwa na mtu aliyejitambulisha kama Kimboka kwenye JF. Hakuna kikao kilichokaa kuzungumzia hoja hizo. Nashauri wanoleta hoja kwenye JF, Kama unaleta hoja ya kizushi ujulikane upeo wako, lakini pia usitumie majukwaa ya wengine kujitafutia umaarufu. Iwe ulichokisema ni cha kweli au sio cha kweli sijui. Ila nakanusha kuwa hii sio kwa niaba ya BAVICHA na Sisi hatujatoa ruhusa kwa mtu bila kuwa na kikao kuja kutetea hoja hizi kwa utaratibu huu. Tunapokuwa na hoja za vikao vyetu hatuleti kwenye Jukwaa, na kwanza hatukupewa jukumu la kuelezea hayo. Kuelezea hayo yanajulikana na watanzania wanajua. Sijafurahia na hoja ya Kimboka, na sifurahii kabisa watu wanaotoa matusi kwenye mitandao ikiwemo huyu aliyesema amesema kwa niaba yetu ingawa hata sisi aliotusemea hatuna taarifa na hatumfahamu.

Umemaliza kazi. Baregu ni Mhaya. Mtu akifilisika kisiasa anatafuta kujihalalisha kwa udini, ukanda,.... "Mwal. Nyerere"
 
  • Asante Kimboka kwa mada yako nzuri, nimejaribu kuiweka kwa mtindo huu ili ionekane vizuri zaidi, tunashukuru kwa uhakiki wako maana baadhi tuna shauku ya kujua safu ilivyojipanga yenye wajumbe toka pande zote za nchi. Big up, maana vita hivi vya kupakaa mafuta kwa mgongo wa chupa katu mafuta hayataenea kamwe.

Mada iliyoletwa na mdau
Kimboka

Wajamvi, Kwa ridhaa ya bavicha mkoa wa singida nimeamua leo kuja kujibu hoja zote za kipuuzi zilizotolewa shonza,
mosi;hoja ya ukanda na ukabila haipo cdm toka chama kiwe introduced hapa tz coz viongozi wa kwanza walikua:
Waanzilishi

  • Edwin Mtei,
  • Kaburu,
  • Bob makani.

NGOJA niendele na awamu hii inayolalamikiwa

  1. M/kiti ni mbowe ni mchaga anatoka kilimanjaro,
  2. Makamu bara ni arfi ni mfipa anatoka katavi,
  3. Makamu zenji ni said hamad ni mpemba anatoka zenji,katibu ni
  4. Katibu Mkuu Dr.slaa mkuu ni muiraki anatoka arusha ,
  5. Naibu k/mkuu bara ni zitto ni muha anatoka kigoma,
  6. Naibu k/mkuu zenji ni hamad yusuph ni mzenji anatoka zenji,
  7. Mkurugenzi wa uenezi ni john mnyika ni msukuma anatoka mwanza,
  8. Mkurugenzi wa mafunzo na ufundi benson kigaila anatoka moro,
  9. Mkurugenzi wa sera na utafiti ni Mwita Waitara ni mkuria anatoka mara,
  10. Mkurugenzi wa bunge ni john mrema ni mchaga anatoka moshi,
  11. Mkurugenzi wa uchaguzi anatoka tabora,mkurugenzi wa ulinzi ni muhaya anatoka kagera,
  12. Wanasheria ni Tundu Lissu ni mnyaturu anatoka singida{kanda ya kati},
  13. Mabele marando ni msukuma anatoka shinyanga{kanda ya ziwa},
  14. Profesa Safari - wa visiwani.
  15. M/kiti wa wazee ni msukuma anatoka shinyanga,
  16. M/kiti wa vijana ni mkuria anatoka mara,
  17. Mashauri ni Rr.Kitila mkumbo ni mnyiramba anatoka singida,
  18. Mwesiga Baregu si mchaga.

SHONZA NA WENZAKO NAOMBENI MJE MNIJIBU KUWA KWA UONGOZI ULIVYO HAPO CDM NI YA KABILA GANI?KANDA GANI?AU DINI GANI? Kama hautaweza endelea kuishi kwa kutegemea pochi za wanawake wenzako na han akina mchange na mtela waendelee kuishi kwa kutegemea wallet za wanaume wenzao NB:NAWAONYA MIKOANI MSISOGEE COZ MTATOLEWA SADAKA NA AKINA MWIGULU LENGO LAO LITIMIE WALILOAMBIWA NA FREEMASON KUWA WAKITAKA KUSHINDA 2015 WATOE SADAKA YA WANA CDM AMBAO WATAUANA WENYEWE SO TAKE CARE UR SELF AND WENZAKO.hoja nyingine zitafuata kila siku.
 
Hii hoja imetolewa na kiongozi wa bavicha kweli ama vipi mbona hajajenga hoja vizuri,pili kwanini anajibizana na watoto hao kina shonza kupoteza muda.

Sasa kiongozi wa bavicha anajua kweli maana ya freemason au anaongea tu.

Asante kwa kutilia shaka kuwa hoja hiyo yaijatolewa na kiongozi wa Bavicha, KUMBE MPO MAKINI, Asante. Hiyo sio hoja yetu, mtu ameamua kwa hiari yake ndo maana ameficha hata ID.
 
Mimi Josephat Isango, Mwenyekiti na msemaji halali wa BAVICHA Mkoa wa Singida, sifurahii Utaratibu huu ulioletwa na mtu aliyejitambulisha kama Kimboka kwenye JF. Hakuna kikao kilichokaa kuzungumzia hoja hizo. Nashauri wanoleta hoja kwenye JF, Kama unaleta hoja ya kizushi ujulikane upeo wako, lakini pia usitumie majukwaa ya wengine kujitafutia umaarufu. Iwe ulichokisema ni cha kweli au sio cha kweli sijui. Ila nakanusha kuwa hii sio kwa niaba ya BAVICHA na Sisi hatujatoa ruhusa kwa mtu bila kuwa na kikao kuja kutetea hoja hizi kwa utaratibu huu. Tunapokuwa na hoja za vikao vyetu hatuleti kwenye Jukwaa, na kwanza hatukupewa jukumu la kuelezea hayo. Kuelezea hayo yanajulikana na watanzania wanajua. Sijafurahia na hoja ya Kimboka, na sifurahii kabisa watu wanaotoa matusi kwenye mitandao ikiwemo huyu aliyesema amesema kwa niaba yetu ingawa hata sisi aliotusemea hatuna taarifa na hatumfahamu.

Inawezekana kweli hajatumwa na Bavicha Singida, lakini angalau ametoa ukweli wa wazi. Kwa hilo tunampongeza, ila asingeliwahusisha BAVICHA kama sio msemaji wao.
 
Daaaah mkuu umekurupuka sana aisee... nilijua BAVICHA SINGIDA mna hoja kibao.. ulivyoanza aisee..

Tuache tu!!

Mbumbumbu nakuunga mkono. Hayo sio maneno yetu, huyo hatumfahamu, na huo sio utaratibu wetu.
 
Mimi Josephat Isango, Mwenyekiti na msemaji halali wa BAVICHA Mkoa wa Singida, sifurahii Utaratibu huu ulioletwa na mtu aliyejitambulisha kama Kimboka kwenye JF. Hakuna kikao kilichokaa kuzungumzia hoja hizo. Nashauri wanoleta hoja kwenye JF, Kama unaleta hoja ya kizushi ujulikane upeo wako, lakini pia usitumie majukwaa ya wengine kujitafutia umaarufu. Iwe ulichokisema ni cha kweli au sio cha kweli sijui. Ila nakanusha kuwa hii sio kwa niaba ya BAVICHA na Sisi hatujatoa ruhusa kwa mtu bila kuwa na kikao kuja kutetea hoja hizi kwa utaratibu huu. Tunapokuwa na hoja za vikao vyetu hatuleti kwenye Jukwaa, na kwanza hatukupewa jukumu la kuelezea hayo. Kuelezea hayo yanajulikana na watanzania wanajua. Sijafurahia na hoja ya Kimboka, na sifurahii kabisa watu wanaotoa matusi kwenye mitandao ikiwemo huyu aliyesema amesema kwa niaba yetu ingawa hata sisi aliotusemea hatuna taarifa na hatumfahamu.

Haikuwa na haja na we kujibu humu maana utafanya watu wenye akili fupi kudhani na wewe ni pro-masalia kwan hakuna ubaya wa hoja hii.
 
Hii hoja imetolewa na kiongozi wa bavicha kweli ama vipi mbona hajajenga hoja vizuri,pili kwanini anajibizana na watoto hao kina shonza kupoteza muda.

Sasa kiongozi wa bavicha anajua kweli maana ya freemason au anaongea tu.

Mkuu hata mimi hapo kwenye freemason imenibidi nicheke..dah! Ila m namshukuru kwa uchambuzi japo kaingiza na maswala ya freemason..
 
Ndo matatizo kila kijana wa chadema kujiona msemaji wa chama kwenye mitandao lazima tuwe na nidhamu kwenye mitandao hata kama utaandika kitu jenga hoja fanya research kidogo kabla hujaandika.inatia aibu sana hii
 
Masuala ya ukanda na ukabila yanalazimishwa ndani ya cdm, ccm wamebanwa vibaya na cdm!
 
Wajamvi, Kwa ridhaa ya bavicha mkoa wa singida nimeamua leo kuja kujibu hoja zote za kipuuzi zilizotolewa shonza,
mosi;hoja ya ukanda na ukabila haipo cdm toka chama kiwe introduced hapa tz coz viongozi wa kwanza walikua mzee mtei,kaburu,bob makani.NGOJA niendele na awamu hii inayolalamikiwa M/kiti ni mbowe ni mchaga anatoka kilimanjaro,makamu bara ni arfi ni mfipa anatoka katavi,makamu zenji ni said hamad ni mpemba anatoka zenji,katibu ni dr.slaa mkuu ni muiraki anatoka arusha ,naibu k/mkuu bara ni zitto ni muha anatoka kigoma,naibu k/mkuu zenji ni hamad yusuph ni mzenji anatoka zenji,mkurugenzi wa uenezi ni john mnyika ni msukuma anatoka mwanza,mkurugenzi wa mafunzo na ufundi benson kigaila anatoka moro,mkurugenzi wa sera na utafiti ni mwita waitara ni mkuria anatoka mara,mkurugenzi wa bunge ni john mrema ni mchaga anatoka moshi,mkurugenzi wa uchaguzi anatoka tabora,mkurugenzi wa ulinzi ni muhaya anatoka kagera,wanasheria ni tundulissu ni mnyaturu anatoka singida{kanda ya kati},mabele marando ni msukuma anatoka shinyanga{kanda ya ziwa},m/kiti wa wazee ni msukuma anatoka shinyanga,m/kiti wa vijana ni mkuria anatoka mara,washauri ni dr.kitila mkumbo ni mnyiramba anatoka singida,mwesiga baregu si mchaga.SHONZA NA WENZAKO NAOMBENI MJE MNIJIBU KUWA KWA UONGOZI ULIVYO HAPO CDM NI YA KABILA GANI?KANDA GANI?AU DINI GANI? Kama hautaweza endelea kuishi kwa kutegemea pochi za wanawake wenzako na han akina mchange na mtela waendelee kuishi kwa kutegemea wallet za wanaume wenzao NB:NAWAONYA MIKOANI MSISOGEE COZ MTATOLEWA SADAKA NA AKINA MWIGULU LENGO LAO LITIMIE WALILOAMBIWA NA FREEMASON KUWA WAKITAKA KUSHINDA 2015 WATOE SADAKA YA WANA CDM AMBAO WATAUANA WENYEWE SO TAKE CARE UR SELF AND WENZAKO.hoja nyingine zitafuata kila siku.

HUKU NI ZAIDI YA KUKURUPUKA :

MOJA: Mkamu mwenyekiti wa BAvicha ndugu Juliana Shoza aliwaeleza watanzania ili afafanue kuhusu maamuzi yaliofanywa na watu au
viongozi wa bavicha kuhusu kusimamishwa kwake uanachama wa bavicha na uanachama wa chadema.mambo
yafuatayo aliyazungumza:
1. Kukanusha kufukuzwa kwake na kudai yeye ni mwanachama na kiongozi wa Bavicha.Kwani kikao kilichokaa sio
kikao halali.Pia hadi anaongea na waandishi wa habari alikuwa bado hajakabidhiwa barua rasmi toka kwa
viongozi wenake wa juu wa bavicha.Na ukweli ni kwamba baada ya ile press conference ndio mabaunsa
wakamlazimisha apookee barua na kumlazimisha asaini kwenye "dispach"
2. Alitoa tuhuma ( naweza sema bado hazijathibishwa ) katika masuala yafuatayo:-
(a) Kuwa dk silaa amejikopesha shiling za kitanzania milion 140. kinyume na utaratibu, kwani hizo ni pesa za
ruzuku ya chama,wakati pesa hizo zingetumika kukiimarisha chama.Maan amejikopesha si kwa masuala ya
kuimarisha chama.
(b) Dai la pili ni kuwa, Chadema hamna mipango ya DHATI ya kukijenga chama. Alipendekeza muwe na ofisi ya
chama amabapo ndio pawe makao makuu ya chama badala ya kupanga kila kukicha pale Kinondoni. Na
uwezo huo mnao.
(c) Tatu, alikuwa akipendekeza mtengeneze kadi za umoja wa vijana wenu. That why akasema pamoja na
kwamba bavicha ipo kikatiba lakini hamna vitambulisho vinavyowatambulisha umoja huo. Hivi wewe
Kimboka, kwani kutengenza kadi za bavicha ni shilingi ngapi? Maana mmezoea kudai eti chama kichanga,
Wakati mna miaka 21 hivi sdasa, amabapo mtoto mwenye miaka hiyo yupo chuo kikuu sasa. Ni utoto gani
mliokuwa nao nyie?
(d) Jingine, alizungumzia kuhusu mshahara wa Dk kuwa mkubwa, maana anadai analipwa zaidi ya milioni saba
kwa mwezi. Kama kweli chama ni kichanga basi mshahara wake apunguze.Na hapa labda niwe wazi , (
Maana huwa mnasemaga eti ooh, anapaswa kulipwa hivyo kwakuwa ameacha nafasi yake ya ubunge. Hivi
kwani dk Silaa mmemkodi?Kama ni askali wa kukodi sawa, ila kama hamajamkodi basi si sawa, maana
makatibu wenu wa mikoa hawana mishahara, wa wilaya hawana.Kwakuwa wote mnajenga chama basi
maumivu myapate wote.
(e ) Suala lake jingine ndilo wewe umejaribu kulitolea maelezo. Kuwa PM7 ilihusisha pia BEn Saanane na wakina
Mamuya,Lakini cha ajabu waliotoka Mbeya,Pwani ndio waliopewa onyo kali na kuwekwa kwenye uanalizi wa mwaka
mmoja au kufukuzwa LAKINI walitoka kanda yahuko kwao wamepewa onyo tu na kuwa chini ya uangalizi wa mwaka
mmoja. MAJIBU YAKO KATIKA HILI UNAWEZA UKAWA SAHIHI KUONESHA CDM SIO CHAMA CHA KIKANDA ( hapa
nakubaliana na wewe )
(f) Na madai mengine mengi.

PILI : Nimesikitishwa sana kwa kudai eti, kauli hii ulioitoa ni kwa ridhaa ya wanaBavicha mkoa wa Singida. Embu tupe Ushahidi
ukiambatana na picha au dondoo za ajenda zenu, mlikaa lini kijadili majibu hayo? Ili tuthbitishe kuwa ni kwa ridhaa ya
wanabavicha wa singida. Kama hayo ni majibu ya kweli kuhusu hoja za kitoto za Juliana Shoza, basi nina wasiwasi na uwezo
wenu.Mnakidhalilisha chama kwa kuwa na uwezo huo. Angalia kichwa cha tread yako , hayaendani kabisa na ulichokieleza
humu ndani.Halafu ajenda yenu ilikuwa kujadili kuhusu ukanda tu (ubaguzi wa ukanda tu) ?
TATU: Tumejiwekea utaratibu wa kuwa na week-end ili tupumzike, so kama huna cha kuandika ni bora upumzike.
 
NGOJA niendele na awamu hii inayolalamikiwa

  1. M/kiti ni mbowe ni mchaga anatoka kilimanjaro,
  2. Makamu bara ni arfi ni mfipa anatoka katavi,
  3. Makamu zenji ni said hamad ni mpemba anatoka zenji,katibu ni
  4. Katibu Mkuu Dr.slaa mkuu ni muiraki anatoka arusha ,
  5. Naibu k/mkuu bara ni zitto ni muha anatoka kigoma,
  6. Naibu k/mkuu zenji ni hamad yusuph ni mzenji anatoka zenji,
  7. Mkurugenzi wa uenezi ni john mnyika ni msukuma anatoka mwanza,
  8. Mkurugenzi wa mafunzo na ufundi benson kigaila anatoka moro,
  9. Mkurugenzi wa sera na utafiti ni Mwita Waitara ni mkuria anatoka mara,
  10. Mkurugenzi wa bunge ni john mrema ni mchaga anatoka moshi,
  11. Mkurugenzi wa uchaguzi anatoka tabora,mkurugenzi wa ulinzi ni muhaya anatoka kagera,
  12. Wanasheria ni Tundu Lissu ni mnyaturu anatoka singida{kanda ya kati},
  13. Mabele marando ni msukuma anatoka shinyanga{kanda ya ziwa},
  14. Profesa Safari - wa visiwani.
  15. M/kiti wa wazee ni msukuma anatoka shinyanga,
  16. M/kiti wa vijana ni mkuria anatoka mara,
  17. Mashauri ni Rr.Kitila mkumbo ni mnyiramba anatoka singida,
  18. Mwesiga Baregu si mchaga.HAO KINA SHONZA WANA AKILI KAMA ZA WADUDU WA CHOONI.
 
hili ni tatizo la vijana wengi tuliopo chadema, hatufahamu mipaka wala namna ya kutumia jina la taasisi bali tunakurupuka kwa kutoa hoja binafsi huku ukitumia jina la taasisi kutoa maoni yako halafu yaliyokuwa mabovu yasiyofana na hadhi ya taasisi. vijana wenzangu shule muhimu
 
Hoja ya ukabila ni sawa na kujadili hoja ya kadi mbili

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kuna habari na tetesi zimeenea hapa mjini mwanza kwamba julianza shonza na wenzako mna mpango wa kuja mwanza kwa ufadhili wa naibu waziri mmoja wa sisiem, sasa 2nawasubiri tuwashushue na usaliti wenu,
 
Hivi yule jamaa aliyemng'ang'ania mguu JK 2005 jukwaani kipindi cha kampeni alishaondoka mwanza?? Nahisi anafaa sana ku deal na huyu MASALIA
 
Juliana Shonza na wasariti wenzako mnajidanganya kuzunguka mikoani!Ukikubali kutumika kuchafua Tumaini la watanzania {chadema} lzma nguvu ya Uma Itakuwajibisha...endeleeni na siasa zenu za kuchafua viongozi wetu mitandaoni na kwenye magazeti lkn mkija Jukwaani mtaumbuka!
 
Back
Top Bottom