Shonza, Mbeya wana adabu za kutosha

Shonza, Mbeya wana adabu za kutosha

Mi nafikiri huyu dada anashindwa kuelewa kuwa adui mkubwa wa wama Mbeya ni CCM. Tukumbuke matukio yafuatayo
1. Maradhi yanayomsibu Mwandosya
2. Mbinu mbalimbali zilizotumika kutaka kumuua Mwakyembe
3. Mauaji ya Mwangosi.
4. Wao kama vijana kutoka Mbeya pia wamekumbwa na janga kwani CCM imeharibu mustakabari wao wa kisiasa na hii ni kutokana na CCM kutokuwa na mapenzi na wana Mbeya.

umemsahau Dr. Ulimboka
 
Mbona unakosa uelewa mkuu.
Hiyo ilikuwa kazi ya wahanga walioenguliwa RICHMOND na wanaogombea urais, na hata leo wapo kwa majina.
Kwa sakata la Mwangosi hata wana CHADEMA wanakiri "set up" ya CHADEMA alimoingia marehemu kichwa kichwa kwa bahati mbaya, the rest iitekelezwa na polisi.

Ni vyema tukajali ukweli ili kupata ufumbuzi makini.

na dr. Ulimboka je?
 
Mkuu, you're just hittin' around the bush!
Toa ushahidi siyo vigezo. Weka hapa jukwaani unachoamini kwamba ni ushahidi ili wenye akili waupitie na wajiridhishe na siyo ushabiki.

Na huo usemi wako wa "It takes brains and guts , to swim against the tide. Dead fish always flow with the tide", naona uko irrelevant na hoja. Kama ulitaka kumaanisha ulichokisema basi ungeondoa neno "brains" na kubaki "It takes guts, to swim against the tide. Dead fish always flow with the tide". Hapo naamini wenye lugha yao wangekuelewa na kujaribu kuoanisha na ulichokiandika.
Pole sana "msomi" mwenye thinking capacity kubwa!
Ushabiki ni kitu mbaya sana.
Endelea ku-flow na tide-kama wale dead fish.

Nothing changes my dear, guts and brains go in tandem.
Guts without brains only creates dead heroes!

I mean it " It takes brains AND guts to swim against the tide" kama uko comfortable kama dead fish , so be it
 
Inapendeza kaka comment zako zina mashiko,hatupaswi kuogopa kuchukua maamuzi mazito kwa kisingizio cha kuonekana wadini,wakabila na wana ukanda.Ukikosea hat UTOKE MOSHI TANGA TANDAHIMBA AMA NAMTUMBO FAGIO LINAKUPITIA TU .KIKUBWA TUJEENGE HESHIMA NA NIDHAMU YA KUWATUMIKIA WATANZANIA
 
Kwa adabu hiyo hiyo wanayojulikana wana Mbeya hebu tetea mikopo minono wanayolipana makao makuu ya CDM na mishahara minono ambayo naamini huko Mbeya haifiki.

Wana Mbeya hatujulikani kwa unafiki.

Mwampashi umedandia treni ya TAZARA kwa mbele.

Jina lako linamaanisha kuwa , unachoangalia ugali tu , yaani ( kula ) , ukiambiwa thibitisha haya unayoyasema bila shaka hutaweza , Kwa taarifa yako huku CDM kuna Kamati kuu ya chama ambayo inahakikisha kila kitu ndani ya chama kinakwenda kama kilivyopangwa , hawa wengine ni wapiga kelele tu , wanayo nafasi ya kuleta malalamiko yao kwenye kamati kuu , lakini kwa vile wanajua ni uzushi ndiyo maana wanaenda habari maelezo .
 
Kwa wakati huu, whoever goes against peoples power will be destined to political dustbin.
 
Mimi siyo mwanachama wa CHADEMA lakini ndicho chama mbadala angalau chenye muelekeo na ninasikia hasira sana na watu ambao wanadhani kuwa wanataka kutenda mambo ya demokrasia kumbe ni wahuni na wametumwa na chama tawala kuharibu harakati za chadema na kurudisha nyuma maendeleo ya wapenda demokrasia.

Leo nimeamua kuja na ID yangu halisi ili kuweka mambo sawa kutokana na uhuni wa huyu anayejiita kuwa bado ni kiongozi wa CDM. smbaye amejitahidi kuandika upuuzi wake humu kwa kurasa za kutosha na kuunda hoja za kipuuzi kabisa kwa madai ya kuwa viongozi waliofukuuzwa uanachama ni wale wanaotoka MBEYA

NAOMBA KUWAJULISHA WANAOPENDA DEMOKRASIA KUWA MIMI NATOKA MBEYA WILAYA YA MBOZI VWAWA ENEO LA IPANZYA NINATHAMINI MABADILIKO YA KWELI PAMOJA NA WAPENDA MAENDELEO WOTE WENYE KUITAKIA HERI NCHI YETU KWAMBA HUYU BINTI HANA ADABU NA DESTURI HALISI ZA WATU WA MBEYA WALA HAJALELEWA NA KUPATA MAKUZI HALISI YA WATU WA MBEYA bali huyu ni mamluki kama wenzake ambao naweza kuwaita ni makahaba wa demokrasia ambao wanatumiwa na wachache wenye uchu wa madaraka kuleta mgawanyo wa kitaifa kwa kuleta mawazo ya udini, ukanda, na ukabila ndani ya chadema ili kupitisha ajenda zao chafu kwa masilahi yao binafsi.

Napenda kuwaomba wana Mbeya wote popote pale mlipo tusimsikilize mpotoshaji huyu anayetaka kutugawanya maana inajulikana dhahiri kuwa wana Mbeya wana msimamo dhihir na wenye kueleweka kwenye suala la Demokrasia mahali popote pale na zaidi sana WANA NIDHAMU YA KUTOSHA KWA WANAO WAZIDI KI UMRI NA HATA KIMADARAKA hivyo nakusahauri uache biaashara uliyotumwa na mamluki ya kuwavurugia chadema dira yao ya mabadiliko ya demokrasia nchini.

Ahsante sana Mkuu!!! Wana Mbeya wana misimamo isiyoyumba yumba. Hawakubali kutumika kama toilet paper au condom. Nawashangaa sana hawa vijana!

Naomba unisaidie maana ya "Musana wa vinyu"
 
Mi nafikiri huyu dada anashindwa kuelewa kuwa adui mkubwa wa wama Mbeya ni CCM. Tukumbuke matukio yafuatayo
1. Maradhi yanayomsibu Mwandosya
2. Mbinu mbalimbali zilizotumika kutaka kumuua Mwakyembe
3. Mauaji ya Mwangosi.
4. Wao kama vijana kutoka Mbeya pia wamekumbwa na janga kwani CCM imeharibu mustakabari wao wa kisiasa na hii ni kutokana na CCM kutokuwa na mapenzi na wana Mbeya.
Jazia na Dr. Ulimboka Steven
 
Binti anaimba ngonjera akitaraji kibwagizo kitapata kiitikio kutoka mbeya. kwa staili hii atavuna mabua.

Ingekuwa vema aje kuyasemea hayo hukuhuku Mbeya apate majibu na mrejesho wa moja kwa moja. Yeye anatamba na Dar, very crazy

Lakini kwa umri wake anatakiwa kujijenga zaid, badala ya kujibomoa, msingi bora wa kuendelea kisiasa ni kukubalika Nyumbani kwanza.

Kwa maana hiyo anazidi kujichafua siku baada ya siku, Usemi wa ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka ya Shonza imeshapasuka.
 
Ahsante sana Mkuu!!! Wana Mbeya wana misimamo isiyoyumba yumba. Hawakubali kutumika kama toilet paper au condom. Nawashangaa sana hawa vijana!

Naomba unisaidie maana ya "Musana wa vinyu"

Maana yake ''UMETUAIBISHA SANA''
 
Endelea ku-flow na tide-kama wale dead fish.

Nothing changes my dear, guts and brains go in tandem.
Guts without brains only creates dead heroes!

I mean it " It takes brains AND guts to swim against the tide" kama uko comfortable kama dead fish , so be it

Unachokipinga hapa ndicho unachokifanya exactly huko uccmuni, au your brain is active inapokuja ishu ya wapinzani tu!?'
 
Ane wamala pe pa heading sokulu, bhati 'musana wa bhinyu' naseha mwigali lya bhantu ngati ne shipena manyi, muache atakuja aje mbozi na mwenzie Mwampamba watujibu kuwa heshima tuliyowapa ndo matokeo yake haya!!?? nalyoli inyikuto shidulu sha kuza...!!

Mwe!Baba V wasalipa nitafanya hivyo kwa ushauri wako mkuu wangu ila ni hasira najaribu ku edit nashindwa ila namvumilia sana tupoe kwa kitendo alichofanya lakini bado ana haribu na kuwainukia viongozi wake ambao wengi tumewaona kwa jinsi wanavyotoa muda na mali zao kujenga chama halafu yeye anataka kuboa kirahisi namna hii na kutugawanya wana Mbeya.
 
kifupi huyu dada nilishamstukia mapemaa kipindi kile alipokuwa anashindana kutoa matamko na mwenyekiti wake huyu kijana hatufahi rai yangu atengwe na wanambea wote
 
Huyu dada ni kichefuchefu ,anaaminisha watu kuwa sisi watu wa Mbaya ni wapuuzi kwa uvivu wake wa kufikiri .Anatumia jina la Wanambeya kueneza mambo yasiyo na kichwa wala miguu . Kama ameonewa zipo taratibu ,sio kutuchafua wana Mbeya .

Wanambeya hatuna mbegu za ubaguzi anayetubagua huwa tunampuuza . Ukosefu wa adabu ni mtu binafsi hivyo ajitazame upya ,hakuna mwana Mbeya anayeungana na mipasho isiyo na kichwa wala miguu .Watu wa Mbeya wanasifa ya kuwa watu smart kwa mengi ,asiiharibu hii sifa kwa tamaa zake .
 
Back
Top Bottom