Shonza, Mbeya wana adabu za kutosha

Shonza, Mbeya wana adabu za kutosha

Topic: Shonza, Mbeya wana adabu za kutosha - Musana wa vinyu!

Mods naomba ondoa hii topic kwa sababu imekiuka maadili ya JF.

Musana wa Vinyu ni sentensi inayoeleweka katika kabila Tatu au zaidi kule Mbeya,
kuwa na maana ya

---- la mama yako...

Kinyiha, Kisafwa, Kimalila, Kilambya, Usongwe pamoja na makabila mengine jirani watajua hapa Shonza katukanwa ---- la mama yake... na sidhani kama huu ni utararatibu unaokubalika katika kujadili siasa hapa JF!!!

Delete this post please....

Musana=mgongo.
 
Mi nafikiri huyu dada anashindwa kuelewa kuwa adui mkubwa wa wama Mbeya ni CCM. Tukumbuke matukio yafuatayo
1. Maradhi yanayomsibu Mwandosya
2. Mbinu mbalimbali zilizotumika kutaka kumuua Mwakyembe
3. Mauaji ya Mwangosi.
4. Wao kama vijana kutoka Mbeya pia wamekumbwa na janga kwani CCM imeharibu mustakabari wao wa kisiasa na hii ni kutokana na CCM kutokuwa na mapenzi na wana Mbeya.

5. Kutekwa kwa Dr. Ulimboka
 
mkuu hapo unanilaumu mimi au?,manake mimi ndio nimelalamika mleta hoja kuandika tusi
 
mkuu hapo unanilaumu mimi au?,manake mimi ndio nimelalamika mleta hoja kuandika tusi

Binafsi nakubali maelezo yako katika Bluu. Tatizo langu ni jazba katika mjadala huu hadi kutoa tusi zito ivyo. Unaunga mkono matusi katika mijadala muhimu ya kisiasa? Hivi unajua matusi ni dalili ya kukosa pointi? Mbona hoja hizo katika blu zinaleta maana?!!!!. Musana wa vinyu wa nini.....
[/QUOTE]
 
mkuu hapo unanilaumu mimi au?,manake mimi ndio nimelalamika mleta hoja kuandika tusi
[/QUOTE]

Kama ndo hivyo basi tunakubaliana katika kupinga matusi hapa JF. Tatizo jipya sijaelewa kwa nini mleta hoja hajaondoa hilo tusi. Pili, Kwa nini Mods wameambiwa kuna tusi baya hawataki kuondoa huu uzi. Tuseme Mods wanachagua matusi ya kuruhusiwa katika JF? Nakaribia kuudharau mtandao huu kwa kushindwa kutetea sheria zao wenyewe.
 
Mleta hoja kaandika tusi kwa lugha ya kinyiha ndiomaana mods wameshindwa kuligundua.

Kama ndo hivyo basi tunakubaliana katika kupinga matusi hapa JF. Tatizo jipya sijaelewa kwa nini mleta hoja hajaondoa hilo tusi. Pili, Kwa nini Mods wameambiwa kuna tusi baya hawataki kuondoa huu uzi. Tuseme Mods wanachagua matusi ya kuruhusiwa katika JF? Nakaribia kuudharau mtandao huu kwa kushindwa kutetea sheria zao wenyewe.[/QUOTE]
 
Acha mambo ya kishabiki katika kuchjangia hoja kuwa mchambuzi yakinifu kabla haujaongea jambo na ujue kutofautisha kati ya fact, opinion na emotion suala la mishahara hutolewa kulingana na majukumu ya mtu mbona hamhoji posho za wana ccm, na mishahara ya wakurugenzi mbalimbali mnag`ang`ania kwa dr. Slaa peke yake wengine wakila ni halali ila kwa Dr. Slaa ni dhambi!? hata wewe hapo unapofanya kazi kuna watu wa chini yako wanalipwa fedha kidogo na wanalalamika kuhusu wewe kwa hisia zao lakini ukweli na uhalisia uko wazi unapokea unachostahili HEBU TUACHE MAJUNGU NA UNAFIKI WA KISWAHILI.
Kuilinganisha CCM na CDM kwa mafao ni kutoelewa kile kinachoongelewa hapa.
CCM gari kubwa na ruzuku yake kubwa sana ukilinganisha na CDM.
Sasa akija kesho huyo mtu wenu "akajikopesha" kiholela na kujipa mafao nusu ya ruzuku yenu, bado mtachekelea tu kama nyani aliyekula mahindi bichi?
Muonja asali mkono hauko mbali na kibuyu!

Zaidi ya yote hujajibu ni utaratibu gani uliokubalika chamani kwenu "kukopa" au "kujikopesha" ruzuku, si bure kama utaratibu upo hili sakata lisingekuwepo.

Nyie ndio aina ya watu wa "zidumu fikra za....", bila kuhoji uhalali wa fikra hizo.
Sasa mnaumbuka.
 
Nakushukuru sana ndugu mtoa mada, juzi hapa nilitoa mchango wangu kuhusu huyu dada na kwa ujasiri kabisa nasema,ametutia aibu watu wa Mbeya kwa kuonekana Wanafiki,tusiokua na msimamo,tunaoyumbishwa na kuendeshwa kwa vihela vya hongo ili kuhujumu watanzania kutopata mabadiliko ya mfumo wa kisiasa na uchumi,tusio na hekima,busara wala adabu lakini zaidi nisema huyu dada sijui katoa wapi tabia hii maana nimeishi na watu wa mbozi hasa wanyiha lakini hawana tabia hizo.Kwa kweli naomba watanzania wampuuze kabisa huyu dada na kuona ni yeye tu na hulka zake.MIMI KAMA MTANZANIA NINAYETOKEA MBEYA NAOMBA WATU WA MBEYA TUPINGANE NA HUYA DADA TOKA MOYONI NA WATANZANIA KUTOKA MAENEO MBALIMBALI WATUELEWE HIVYO,TUENDELEE NA MAPAMBANO MPAKA KIELEWEKE 2015.
 
Msamehe bure, inasemekana ameisha wahi kulala kwa yule jamaa wa Singida, bwana Mwigulu Chemba!
 
Musana=mgongo.

semantics za lugha mkuu.
hawataki kulitamka neno lenyewe kwa uwazi.

OK, sawa. Musana = Mgongo.
mgongo manake nyuma.
nyuma kunakuwa na nini cha kumtukania mtu?...
 
sasa wewe unasema wala hata si mwana chadema licha ya kwamba wewe si kiongozi wa wanachadema wa mbeya lakini unawasemea wana chadema wa mbeya.sasa wewe unawasemea kama mwananchi mwenye usongo au?

Betlehem again
 
Binasfi nimewahi kuwa mwanafunzi wa Mbalizi high school pale mbeya, so wanambeya nawafahamu fika ila kwa huyu Juliana shonza nadhani ni new edition au ni copy tu ambaye haendani na wakazi wa pale.
 
Wasalipa baba

Ane wamala pe pa heading sokulu, bhati 'musana wa bhinyu' naseha mwigali lya bhantu ngati ne shipena manyi, muache atakuja aje mbozi na mwenzie Mwampamba watujibu kuwa heshima tuliyowapa ndo matokeo yake haya!!?? nalyoli inyikuto shidulu sha kuza...!!
 
Mi nafikiri huyu dada anashindwa kuelewa kuwa adui mkubwa wa wama Mbeya ni CCM. Tukumbuke matukio yafuatayo
1. Maradhi yanayomsibu Mwandosya
2. Mbinu mbalimbali zilizotumika kutaka kumuua Mwakyembe
3. Mauaji ya Mwangosi.
4. Wao kama vijana kutoka Mbeya pia wamekumbwa na janga kwani CCM imeharibu mustakabari wao wa kisiasa na hii ni kutokana na CCM kutokuwa na mapenzi na wana Mbeya.
Mkuu umemsahau Dk Ulimboka!
 
Tatizo kubwa la wa-TZ ni kupenda kuongea kwa ushabiki na uthabiti kuhusu hoja ambazo hawana vidhibiti navyo.

Hivi mkuu, unajua kuwa pesa zinazotumika katika vyama vya siasa ni pamoja na za kodi za wa-Tz ambazo mwisho wa siku lazima zitolewe maelezo kwa serikali na kukaguliwa na serikali yenyewe?

Ina maana serikali imekula njama na CDM, kiasi cha kukiachia kutumia vibaya kadiri watakavyo ruzuku wanayopewa? Leo hii ukiombwa uthibitishe kama kweli CDM makao makuu wanapeana mikopo na kulipana mishahara minono utajitokeza kuthibitisha, au utaishia kusema nami niliambiwa?

Alipata kusema mwandishi mmoja aliyetukuka wa England kwamba "he who knows not, and knows not that he knows not, is a big simpleton".
Usijihalalishie kauli hii ya huyo mwandishi.

Mkuu thinking capacity yako inaelekea ni ndogo kulingana na uelewa wa mambo halisi yanaoendelea huko kuliko na matawi ya chama chenu.
Tatizo kubwa ni kuamini na kujiamini kuwa CDM=Dr Slaa na Dr Slaa=CDM.

Pengine mmesahau kuwa wiki chahe tu zilizopita mfadhili wenu Njombe Mzee Nyimbo aliwatolea nje na kufungasha virago vyenu kwenye ofisi alizokuwa akizilipia mkoani Njombe.

Na hata kama manigawa hiyo ruzuku equally mikoani, hapa DSM chama chenu kimahifadhiwa katika sehemu sawasawa na banda la uani, huku wajanja wankula kuku kwa kujikopesha ruzuku hiyo.

Siri juu ya hiyo mikopo na miposho minono, suala limetoka NDANI ya CDM na siyo nje, halijakanushwa, sasa unategemea nini?

Msemaji mwingine mwenye akili sana aliwahi kusema" It takes brains and guts , to swim against the tide. Dead fish always flow with the tide".

Ni wazi uko upande gani mkuu.
 
424149_10152072902410931_2040873090_n.jpg

Mbona ushahidi upo, huku Mikoani hakuna kitu kinafika na hata viongozi wa Mikoani tupo nao
Haya Dada Shonza anao mnataka upi sasa?

Huyu dada , she's my heroine.
Msema ukweli.

Tungoje karibu na 2015 , na mtauona ukweli alioutamka.
 
semantics za lugha mkuu.
hawataki kulitamka neno lenyewe kwa uwazi.

OK, sawa. Musana = Mgongo.
mgongo manake nyuma.
nyuma kunakuwa na nini cha kumtukania mtu?...
Ndo wana CHADEMA pure hao, kwa matusi na unafiki hawajambo lakini kwa kufikiri wako nyuma sana.
 
Mkuu thinking capacity yako inaelekea ni ndogo kulingana na uelewa wa mambo halisi yanaoendelea huko kuliko na matawi ya chama chenu.
Tatizo kubwa ni kuamini na kujiamini kuwa CDM=Dr Slaa na Dr Slaa=CDM.

Pengine mmesahau kuwa wiki chahe tu zilizopita mfadhili wenu Njombe Mzee Nyimbo aliwatolea nje na kufungasha virago vyenu kwenye ofisi alizokuwa akizilipia mkoani Njombe.

Na hata kama manigawa hiyo ruzuku equally mikoani, hapa DSM chama chenu kimahifadhiwa katika sehemu sawasawa na banda la uani, huku wajanja wankula kuku kwa kujikopesha ruzuku hiyo.

Siri juu ya hiyo mikopo na miposho minono, suala limetoka NDANI ya CDM na siyo nje, halijakanushwa, sasa unategemea nini?

Msemaji mwingine mwenye akili sana aliwahi kusema" It takes brains and guts , to swim against the tide. Dead fish always flow with the tide".

Ni wazi uko upande gani mkuu.

Mkuu, you're just hittin' around the bush!
Toa ushahidi siyo vigezo. Weka hapa jukwaani unachoamini kwamba ni ushahidi ili wenye akili waupitie na wajiridhishe na siyo ushabiki.

Na huo usemi wako wa "It takes brains and guts , to swim against the tide. Dead fish always flow with the tide", naona uko irrelevant na hoja. Kama ulitaka kumaanisha ulichokisema basi ungeondoa neno "brains" na kubaki "It takes guts, to swim against the tide. Dead fish always flow with the tide". Hapo naamini wenye lugha yao wangekuelewa na kujaribu kuoanisha na ulichokiandika.
Pole sana "msomi" mwenye thinking capacity kubwa!
Ushabiki ni kitu mbaya sana.
 
Back
Top Bottom