Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 763
Mhhh nina wasi wasi nia yako ilikuwa sio kupita tuu ilikuwa uko kwenye mawindo wewe tumekushtukia
Wala huwa sina mambo hayo tena huenda kupata kinywaji pale Picnic nikiwa na my wife sitaki shida
yale maeneo hata kupita na mtu wako wa heshima usiku ni noma
mkuu una guts za kwenda pale na mama watoto anashuhudia biashara inayoendelea shivaz
maana pale ni hatari kwa matukio ya moja kwa moja
Kwani mkuu wewe huwezi pita na mama toto maeneo ya Ohio?
Wala huwa sina mambo hayo tena huenda kupata kinywaji pale Picnic nikiwa na my wife sitaki shida
Mwanamke anayejiheshimu na anujua hayo maeneo hawezi enda pande hizo. Ama uyo wa kwako ulimtoa huko!
kama utaenda pale kwa jukumu la kutafuta totoz sawa lakini ni sehemu kama zilivyo sehemu nyingine tu. Mbona mnaoenda babylon hatusemi msiende na wake zenu? Kuna tofauti gani kati ya babylon na Picnic?
Babylon ndiyo wapi mazee?kama utaenda pale kwa jukumu la kutafuta totoz sawa lakini ni sehemu kama zilivyo sehemu nyingine tu. Mbona mnaoenda babylon hatusemi msiende na wake zenu? Kuna tofauti gani kati ya babylon na Picnic?
Babylon ndiyo wapi mazee?
kama utaenda pale kwa jukumu la kutafuta totoz sawa lakini ni sehemu kama zilivyo sehemu nyingine tu. Mbona mnaoenda babylon hatusemi msiende na wake zenu? Kuna tofauti gani kati ya babylon na Picnic?
Hata watoto wa chekechea wanajua hiyo ni mitaa ya milupo period.
Mbona wewe usiende matejoo au mbwa chini na mke wako?
Sina Sime ndg yangu Matejoo naogopa kutoka sina kichwa
acha masihara mkuu, binti wa umri wa form one au two si ndo wanaofaa hao????? biashara matangazo bwananilipamisi sana pale Picnic Bar na kusafisha macho ya wadada wakazi...... Jana nikaamua nipite pite angalau nioshe macho. aisee nilishangaa napita nikakutana na kabinti kadogo kwa makadirio yangu kangekuwa form I ama II... nilipokaangalia kakanitolea macho ya mahaba eti "mambo brother karibu" aisee nilitaka kuanguka maana huwa nakaona mtaani nikiwa naenda job. Kweli Shivaz Noma usipoangalia unaweza kuta hata demu wako kule....
Exactly!
Kila mtaa na pahala pana sifa zake, mfano:
Shiverz - Milupo
Kaloleni - wala unga
Sanawari - wanya gofongo
Ngaleloo - vibaka
KJuu - wavuta kaya
Majengo - waswahili
Triple A - watoto
Via Via - Ma Ras
Unaeza ukaendelea na nadhani utakua umenisoma.