juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,449
Siku hizi ni post paid mizinga ni ya nyuki tuuDuh kumbeeee ndo tabia zenu mamaaaa
Unakumbuka wale wa Facebook miaka ya 2012 na 2013 Anamkwambia ye Yupo Senegal Ni Yatima Baba kaacha Dola $ 500,000 Bank so unatakiwa umsadie Atakwambia mtumie MwanaSheria wao dola $ 1,000 ili athibitishe Bank ifanye Transfer kwako Halafu bint akija atakupa 15% ya Zile Dola ukituma $ 1,000 kwa Western Union ndo Ushaibiwa
Cku hiz nawaona wapo hizi Dating Site kam Badoo Flirichhivi wamepotelea wapi hawa?
Mkuu kumbe yalisha kutokea!!! mimi wametokea wadada wawili mmoja kutoka sudan mwingine toka Namibia mpaka na picha wanatuma harafu wote wanadai baba yao alishafariki akawaachia pesa ziko STANDARD C. B ya wingereza, wanataka mwanasheria akaidhinishe hiyo pesa.Unakumbuka wale wa Facebook miaka ya 2012 na 2013 Anamkwambia ye Yupo Senegal Ni Yatima Baba kaacha Dola $ 500,000 Bank so unatakiwa umsadie Atakwambia mtumie MwanaSheria wao dola $ 1,000 ili athibitishe Bank ifanye Transfer kwako Halafu bint akija atakupa 15% ya Zile Dola ukituma $ 1,000 kwa Western Union ndo Ushaibiwa
Me kipind hicho nilikuwa Chuo so sikuwa na uwezo wa kutuma Dola $ 1,000 wakat Huo Dola ilkuwa kama 1500 Tsh sasa nikasema $ Dola 1,000 kwa $ 500,000 bas nika achana nao ila Najua wengi wameibiwa sana aisee na hawa watu wengi ni Wanaijeria na west Africa hikoMkuu kumbe yalisha kutokea!!! mimi wametokea wadada wawili mmoja kutoka sudan mwingine toka Namibia mpaka na picha wanatuma harafu wote wanadai baba yao alishafariki akawaachia pesa ziko STANDARD C. B ya wingereza, wanataka mwanasheria akaidhinishe hiyo pesa.
Hivi hawa siku hizi sijui wameishia wapiUnakumbuka wale wa Facebook miaka ya 2012 na 2013 Anamkwambia ye Yupo Senegal Ni Yatima Baba kaacha Dola $ 500,000 Bank so unatakiwa umsadie Atakwambia mtumie MwanaSheria wao dola $ 1,000 ili athibitishe Bank ifanye Transfer kwako Halafu bint akija atakupa 15% ya Zile Dola ukituma $ 1,000 kwa Western Union ndo Ushaibiwa
Ndo maisha ya leoInashangaza sana..