Shituka: Hizi ndio mbinu za wanawake wa kuwapata mitandaoni

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,638
2,000
Kama hujawahi kupata demu Badoo, Fb, Instagram, Sexchat, Jf, Telegram basi wewe una matatizo na sio kidume kamili ila kama ni fala unaweza ukapunyuliwa vipesa vyako na papuchi usipewe ila kwa sisi makonkodi huwa tunawapa vipara na hela hawapati (tunawakopa) mbinu zao ni hizi hapa

Anaweza akawa Arusha na wewe akijua upo Arusha basi atakwambia yupo Dar ili wewe umtumie nauli aje atakwambia anaumwa ili wewe utume pesa ya matibabu atakwambia ana mgonjwa wa familia yake ila inatakiwa kila ndugu achangie pesa ya matibabu, hapo atakwambia umchangie ila vizinga vyao ni 30
Atakwambia anadaiwa na mtu 30 elfu na hana pesa, anamaanisha umlipie
sasa ndugu yangu kama wewe ni boya utatoa mawe yako na hutapewa papuchi.

NB: Usiwekeze kwa mpenzi wa mtandaoni, huyo chapa na usepe zako, wapo kikazi.
 
Mustaphagentleman

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
3,963
2,000
Unakumbuka wale wa Facebook miaka ya 2012 na 2013 Anamkwambia ye Yupo Senegal Ni Yatima Baba kaacha Dola $ 500,000 Bank so unatakiwa umsadie Atakwambia mtumie MwanaSheria wao dola $ 1,000 ili athibitishe Bank ifanye Transfer kwako Halafu bint akija atakupa 15% ya Zile Dola ukituma $ 1,000 kwa Western Union ndo Ushaibiwa
 
Yugu

JF-Expert Member
Dec 18, 2014
1,080
1,250

hivi wamepotelea wapi hawa?
 
Rhobi1961

JF-Expert Member
Nov 4, 2015
889
1,000
Unakumbuka wale wa Facebook miaka ya 2012 na 2013 Anamkwambia ye Yupo Senegal Ni Yatima Baba kaacha Dola $ 500,000 Bank so unatakiwa umsadie Atakwambia mtumie MwanaSheria wao dola $ 1,000 ili athibitishe Bank ifanye Transfer kwako Halafu bint akija atakupa 15% ya Zile Dola ukituma $ 1,000 kwa Western Union ndo Ushaibiwa
Mkuu kumbe yalisha kutokea!!! mimi wametokea wadada wawili mmoja kutoka sudan mwingine toka Namibia mpaka na picha wanatuma harafu wote wanadai baba yao alishafariki akawaachia pesa ziko STANDARD C. B ya wingereza, wanataka mwanasheria akaidhinishe hiyo pesa.
 
Mustaphagentleman

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
3,963
2,000
Mkuu kumbe yalisha kutokea!!! mimi wametokea wadada wawili mmoja kutoka sudan mwingine toka Namibia mpaka na picha wanatuma harafu wote wanadai baba yao alishafariki akawaachia pesa ziko STANDARD C. B ya wingereza, wanataka mwanasheria akaidhinishe hiyo pesa.
Me kipind hicho nilikuwa Chuo so sikuwa na uwezo wa kutuma Dola $ 1,000 wakat Huo Dola ilkuwa kama 1500 Tsh sasa nikasema $ Dola 1,000 kwa $ 500,000 bas nika achana nao ila Najua wengi wameibiwa sana aisee na hawa watu wengi ni Wanaijeria na west Africa hiko
 
Papushikashi

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
9,285
2,000
Kuna demu mmoja tulikuwa tunachati sana mpaka ikafikia wakati akanitumia namba yake, sikumuelewa moja kanipigia simu ili tukutane nili mblock mpaka leo sijawasiliana nae.... Mimi nilikuwa nafanya kama joke kumbe yeye yuko serious
 
Papushikashi

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
9,285
2,000
Unakumbuka wale wa Facebook miaka ya 2012 na 2013 Anamkwambia ye Yupo Senegal Ni Yatima Baba kaacha Dola $ 500,000 Bank so unatakiwa umsadie Atakwambia mtumie MwanaSheria wao dola $ 1,000 ili athibitishe Bank ifanye Transfer kwako Halafu bint akija atakupa 15% ya Zile Dola ukituma $ 1,000 kwa Western Union ndo Ushaibiwa
Hivi hawa siku hizi sijui wameishia wapi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom