Shituka: Hizi ndio mbinu za wanawake wa kuwapata mitandaoni

Why 30,000? Asilimia kubwa wanawake vizinga vyao ni elfu30. Ata malaya akienda kutoa show ya kulala anadai elfu30
..hili suala la elfu 30 ni issue....wote ndio anzio lao la chini....sijui ndio bei ya mwanzo ya saloon zao ama vipi?...yaani hii bei imekua common sana na haijalishi ni malaya ama la....wote wanaanzia hapa....
 
Unakumbuka wale wa Facebook miaka ya 2012 na 2013 Anamkwambia ye Yupo Senegal Ni Yatima Baba kaacha Dola $ 500,000 Bank so unatakiwa umsadie Atakwambia mtumie MwanaSheria wao dola $ 1,000 ili athibitishe Bank ifanye Transfer kwako Halafu bint akija atakupa 15% ya Zile Dola ukituma $ 1,000 kwa Western Union ndo Ushaibiwa
Watu waliliwa sana kipindi kile
 
Hiyo mwaka 2011 nilijua kweli lakn kabla sijatuma hela kuna mtu akanistua..!
Ilikuwa naingia choo cha kike.!!!
..hili suala la elfu 30 ni issue....wote ndio anzio lao la chini....sijui ndio bei ya mwanzo ya saloon zao ama vipi?...yaani hii bei imekua common sana na haijalishi ni malaya ama la....wote wanaanzia hapa....
 
Mkuu kumbe yalisha kutokea!!! mimi wametokea wadada wawili mmoja kutoka sudan mwingine toka Namibia mpaka na picha wanatuma harafu wote wanadai baba yao alishafariki akawaachia pesa ziko STANDARD C. B ya wingereza, wanataka mwanasheria akaidhinishe hiyo pesa.
Wanajifanya wanawake ila wengi wao ni wanaume
 
Mkuu kumbe yalisha kutokea!!! mimi wametokea wadada wawili mmoja kutoka sudan mwingine toka Namibia mpaka na picha wanatuma harafu wote wanadai baba yao alishafariki akawaachia pesa ziko STANDARD C. B ya wingereza, wanataka mwanasheria akaidhinishe hiyo pesa.
Yani wangejua kuwa watu tulistuka mapemaa
 
Kama hujawahi kupata demu Badoo, Fb, Instagram, Sexchat, Jf, Telegram basi wewe una matatizo na sio kidume kamili ila kama ni fala unaweza ukapunyuliwa vipesa vyako na papuchi usipewe ila kwa sisi makonkodi huwa tunawapa vipara na hela hawapati (tunawakopa) mbinu zao ni hizi hapa
😆😆😆😆 Sasa izo ndio unaziita mbinu 😂😂😂😂😂 ,
 
Unakumbuka wale wa Facebook miaka ya 2012 na 2013 Anamkwambia ye Yupo Senegal Ni Yatima Baba kaacha Dola $ 500,000 Bank so unatakiwa umsadie Atakwambia mtumie MwanaSheria wao dola $ 1,000 ili athibitishe Bank ifanye Transfer kwako Halafu bint akija atakupa 15% ya Zile Dola ukituma $ 1,000 kwa Western Union ndo Ushaibiwa
Umenikumbusha mbalii sana
 
Back
Top Bottom