juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,449
Kama hujawahi kupata demu Badoo, Fb, Instagram, Sexchat, Jf, Telegram basi wewe una matatizo na sio kidume kamili ila kama ni fala unaweza ukapunyuliwa vipesa vyako na papuchi usipewe ila kwa sisi makonkodi huwa tunawapa vipara na hela hawapati (tunawakopa) mbinu zao ni hizi hapa
Anaweza akawa Arusha na wewe akijua upo Arusha basi atakwambia yupo Dar ili wewe umtumie nauli aje atakwambia anaumwa ili wewe utume pesa ya matibabu atakwambia ana mgonjwa wa familia yake ila inatakiwa kila ndugu achangie pesa ya matibabu, hapo atakwambia umchangie ila vizinga vyao ni 30.
Atakwambia anadaiwa na mtu 30 elfu na hana pesa, anamaanisha umlipie sasa ndugu yangu kama wewe ni boya utatoa mawe yako na hutapewa papuchi.
NB: Usiwekeze kwa mpenzi wa mtandaoni, huyo chapa na usepe zako, wapo kikazi.