Mr Hero
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 5,540
- 7,452
Wadau leo niko Kanda ya ziwa, basi niko na kasafiri hapa nakwenda mwanza, Polisi wamezuia magari toka tumepigwa mkono hapa zaidi ya masaa 2 na hakuna dalili sijui atapita Muda gani, Rais anatoka magu Ana mkutano shinyanga mjini leo,
Basi kina ngosha hapa wanatokwa povu vibaya, na mimi kuwaenjoy leo niko upande wa pili namtetea jamaa, kuna wengine wananipiga jicho wanashindwa tu kunitukana,
Ila hali hii nafurahia sana hata apite saa 10 jioni poa tu, hawa Ndio sana waliofanya huyu jamaa awe hapo alipo leo,