Shinyanga: Madiwani walioasi CHADEMA warejea kundini

Shinyanga: Madiwani walioasi CHADEMA warejea kundini

Na huyu kaka anampango wa kurudi nyumbani kwake NCCR-Mageuzi
attachment.php
 
Walivyoondoka Mbowe aliwaita wasaliti sasa wamerudi je ataita tena waandishi wa habari ili aeleze kuwa kwa sababu wamerudi jina usaliti halipo tena limefutika au ndo atakaa kimya kama kawaida.

Kama alisema wasariti alikuwa sahihi, kwani maana ya msariti ni nini, nijuavyo nikukiuka makubaliano (sera) ya pamoja (CDM) na kufuata sera za mtu mwingine( CCm). Sasa kama wamerejea sera zao maana yake wametubu. Chukua Kamusi ya BAKITA uone maana ya msariti, kweli tumeua elimu kwa mwendo huu sintashangaa kusikia wewe ni Lecturer wa chuo kikuu humu nchini...........hasa Udom(japo ni chuo changu ila sina cha kujivunia zaidi ya upumbavu tu. Nitakayemkera anivumilie.)
 
Mkuu wangu gamboshi kwetu

Ni vizuri ukapuuzia michango yangu na kuipotezea badala ya kunitukana....

Naona u mgeni hapa jukwaani (sina uhakika kama ni mgeni kweli ama ni mwenyeji)...Sijaona sababu ya wewe kuniatack personally badala ya kujibu hoja kwa hoja...

Matusi hayana nafasi JF....

@balatanda, kwanza wewe ni mmoja wa watu waliohusika kuwashawishi leo nakuona povu linakutoka kuilaumu chadema eti imekosea...huna lolote mnafiki mkubwa wewe.... Bramo, Molemo, Mungi,
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu gamboshi kwetu

Ni vizuri ukapuuzia michango yangu na kuipotezea badala ya kunitukana....

Naona u mgeni hapa jukwaani (sina uhakika kama ni mgeni kweli ama ni mwenyeji)...Sijaona sababu ya wewe kuniatack personally badala ya kujibu hoja kwa hoja...

Matusi hayana nafasi JF....

@balatanda, kwanza wewe ni mmoja wa watu waliohusika kuwashawishi leo nakuona povu linakutoka kuilaumu chadema eti imekosea...huna lolote mnafiki mkubwa wewe.... Bramo, Molemo, Mungi,
 
Last edited by a moderator:
Siasa za Tanzania ni zaidi ya Komedi....

Full vichekesho....Ningekuwa na uwezo nisingeruhusu hao Madiwani kurejea CHADEMA....Hao ni watu hatari sana na hawafai kuwemo ndani ya CHADEMA...Kamwe msiwaamini.....Usishangae kesho kusikia wamerudi CCM

kikwetu tunawaita "Ndumilakuwili"
 
Mudi...

Hao Madiwani ni watu hatari sana...Hawafai kuwemo kwenye chama aina ya CHADEMA ambacho kinaamini kwenye dhana ya Usaliti...Hao Madiwani tayari wameonesha udhaifu mkubwa sana na sio wa kuwaamini...Mlipaswa kuwaadhibu kwa hatua waliyoichukua...Na adhabu pekee waliyostahili ni kutowapokea ama kuwafukuza kabisa uanachama...Hawakustahili kupokelewa kama hivi (CCM style)....

Kwa kweli hawa ni wasaliti wa CHADEMA....Sikuona umuhimu wa kufanya hata mkutano wa kuwapokea 'kishujaa' kama hivi...Hawa ilitakiwa waachwe wasote mtaani ili wapate funzo....Kwa tukio hili sijaona tofauti ya CHADEMA na CCM...Hawa waliisaliti CHADEMA na kwenda kujiunga na CCM kwa mbwembwe zote kiasi cha kuitukana na kuikashifu CHADEMA...Leo wanaonekana ni mashujaa kisa tu wametoka CCM na kurudi walikotoka...

Nini kimeisibu CHADEMA mpaka mmeamua kuwapokea wasaliti hawa walioamua kuwatelekeza wananchi waliowachagua kwa tamaa??...

Mkuu.

Nakubaliana na wewe ila nikutoe wasiwasi kuwa chama kiko makini sana kudeal na watu wa aina hii. Kwa mazingira ya siasa za Shinyanga na jinsi walivyo ondoka ilikuwa hakuna njia rahisi zaidi ya kuwapokea kwenye mkutano kama ilivyo fanyika.

Unaweza kujiuliza faida yake ni nini?!

1. Wananchi walio washuhudia wakitimkia ccm wamewashuhudia tena leo wakirejea chadema

2. Wananchi wamejua kuwa ulikuwa ulaghai wa kisiasa wa ccm hivyo na wao watajua kuwa wanaweza kulaghaiwa kama walivyo laghaiwa madiwani hao.

3. Mkutano ule haukuwa na kiongozi mkumbwa wa chama (Taifa), wana shinyanga wameiona nguvu ya chama chao ambacho ccm inekuwa ina ghani kuwa kinakufa.

4. Mawakala na tawi la ccm linaloshiriki kuihujumu chadema sasa hivi linajulikana kwa wanachama na wananchi wa Shinyanga kuliko ilivyo kuwa kabla.

Nimekwazwa na nini?!

1. Walipo ondoka walichoma mwagwanda ya chadema. Wamepokelewa bila kuchomwa magamba ya ccm.

2. Walipaswa kupitishwa kwenye matawi ya ccm kule waliko sajiliwa kimagumashi na kuwambia viongozi wa matawi hao waache usanii.

Mwisho.

Lilikuwa tukio baya kwa ccm na vibaraka wake, ulikuwa mkutano mzuri wenye nyomi ambayo haikusombwa na maroli kama ccm.
 
Endeleeni kuhangaika huku mitandaoni. Zitto is another level. Usipende kumlinganisha na hilo kundi lenu la viongozi mbumbumbu walioshindwa na shule.

Huwezi kuwa mwenyekiti wa chama cha siasa ukiwa ulipata zero form six. Unawezaje kuwa msemaji wa chama kama Mnyika huku ulifeli Chuo kikuu? This can only happen in Chadema.

angalia muda si mrefu atakuwa mganga wa kienyeji huyo mmeo zitti..
 
Sitaki kuamini kwamba hawa madiwani waliokuwa wanajinadi mbele ya wanachama wa ccm kwamba walikuwa kwenye mpango wa kumuua masele ndo wamerudi tena, si ajabu wamekuja na mbinu mbadala wa kuiua ccm ndani ya shinyanga
 
Nenda kamshauri ZZK kuomba msamaha.
Huenda nae akasamehewa

zito akirudishwa cdm mimi nahamia ACT ,siwezi kukaa nyumba moja na msaliti kwa sababu kuishi na msaliti ni afadhari kuishi mchawi
 
Endeleeni kuhangaika huku mitandaoni. Zitto is another level. Usipende kumlinganisha na hilo kundi lenu la viongozi mbumbumbu walioshindwa na shule.

Huwezi kuwa mwenyekiti wa chama cha siasa ukiwa ulipata zero form six. Unawezaje kuwa msemaji wa chama kama Mnyika huku ulifeli Chuo kikuu? This can only happen in Chadema.

Kama wewe ni ZZK nakusamehe bure maana najua umekata tamaa! kama ni mtu mwingine basi we ni hovyo kabisa. Ni mara elfu kumi kuwa na kiongozi mbumbumbu mwaminifu kuliko kuwa na msomi Yuda! Hivi watanzania wangapi wana visomo hivyo?

Tunachoheshimu ni utu wa mtu, siyo viongozi wanaoongozwa na matumbo yao badala ya vichwa. Mngeona aibu mkanyamaza kwa tukio hili, li
mewaacha uchi!
 
zzk mwaka mugumu sana kwake.Usaliti na tamaa ya pesa na madaraka vitamtokea puani.
 
Mtoi Iwekwe front page hiyo kitu ili watanzania wajue uhuni wa akina @nape
 
Last edited by a moderator:
Mkutano unaendelea sasa mjini Shinyanga na pichani ni madiwani walio rubuniwa na ccm wakirejea rasmi baada ya kutubu makosa yao.

Wana JF, Naona hawa wenzetu wamejitambua. Wanastahili kupokelewa na kusaidiwa. Tusiwanyanyapae maana walipoondoka walikuwa hawajitambui. Biblia inasema, Luka 15: 10 kuwa "Nawaambia, Vivyo hivyo kuna furaha mbele ya malaika wa Mungu kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye."

Hii imenikumbusha hii habari katika biblia,

"Luka 15: 11 Akasema, Mtu mmoja alikuwa na wana wawili;
12 yule mdogo akamwambia babaye, Baba, nipe sehemu ya mali inayoniangukia. Akawagawia vitu vyake.
13 Hata baada ya siku si nyingi, yule mdogo akakusanya vyote, akasafiri kwenda nchi ya mbali; akatapanya mali zake huko kwa maisha ya uasherati.
14 Alipokuwa amekwisha tumia vyote, njaa kuu iliingia nchi ile, yeye naye akaanza kuhitaji.
15 Akaenda akashikamana na mwenyeji mmoja wa nchi ile; naye alimpeleka shambani kwake kulisha nguruwe.
16 Akawa akitamani kujishibisha kwa maganda waliyokula nguruwe, wala hapana mtu aliyempa kitu.
17 Alipozingatia moyoni mwake, alisema, Ni watumishi wangapi wa baba yangu wanaokula chakula na kusaza, na mimi hapa ninakufa kwa njaa.
18 Nitaondoka, nitakwenda kwa baba yangu na kumwambia, Baba, nimekosa juu ya mbingu na mbele yako;
19 sistahili kuitwa mwana wako tena; nifanye kama mmoja wa watumishi wako.
20 Akaondoka, akaenda kwa babaye. Alipokuwa angali mbali, baba yake alimwona, akamwonea huruma, akaenda mbio akamwangukia shingoni, akambusu sana.
21 Yule mwana akamwambia, Baba, nimekosa juu ya mbingu na mbele yako; sistahili kuitwa mwana wako tena.
22 Lakini baba aliwaambia watumwa wake, Lileteni upesi vazi lililo bora, mkamvike; mtieni na pete kidoleni, na viatu miguuni;
23 mleteni ndama yule aliyenona mkamchinje; nasi tule na kufurahi;
24 kwa kuwa huyu mwanangu alikuwa amekufa, naye amefufuka; alikuwa amepotea, naye ameonekana. Wakaanza kushangilia.
25 Basi, yule mwanawe mkubwa alikuwako shamba na alipokuwa akija na kuikaribia nyumba, alisikia sauti ya nyimbo na machezo.
26 Akaita mtumishi mmoja, akamwuliza, Mambo haya, maana yake nini?
27 Akamwambia, Ndugu yako amekuja, na baba yako amemchinja ndama aliyenona, kwa sababu amempata tena, yu mzima.
28 Akakasirika, akakataa kuingia ndani. Basi babaye alitoka nje, akamsihi.
29 Akamjibu baba yake, akasema, Tazama, mimi nimekutumikia miaka mingapi hii, wala sijakosa amri yako wakati wo wote, lakini hujanipa mimi mwana-mbuzi, nifanye furaha na rafiki zangu;
30 lakini, alipokuja huyu mwana wako aliyekula vitu vyako pamoja na makahaba, umemchinjia yeye ndama aliyenona.
31 Akamwambia, Mwanangu, wewe u pamoja nami sikuzote, na vyote nilivyo navyo ni vyako.
32 Tena, kufanya furaha na shangwe ilipasa, kwa kuwa huyu ndugu yako alikuwa amekufa, naye amefufuka; alikuwa amepotea, naye ameonekana. "
 
salama mkuu wangu teamo....kweli kitambo sana mkuu wangu...

Ni majukumu ya hapa na pale...

Kwa kweli hawa ni wasaliti wa chadema....sikuona umuhimu wa kufanya hata mkutano wa kuwapokea 'kishujaa' kama hivi...hawa ilitakiwa waachwe wasote mtaani ili wapate funzo....kwa tukio hili sijaona tofauti ya chadema na ccm...hawa waliisaliti chadema na kwenda kujiunga na ccm kwa mbwembwe zote kiasi cha kuitukana na kuikashifu chadema...leo wanaonekana ni mashujaa kisa tu wametoka ccm na kurudi walikotoka...

Nini kimeisibu chadema mpaka kuwapokea wasaliti hawa walioamua kuwatelekeza wananchi waliowachagua kwa tamaa??...

-kwa nyakati hizi hakuna tatizo katika tukio hili maana siasa walioiamua kuicheza maadui zetu c.c.m ni hatari kwa mustakabali wa taifa,
hivyo nasi lazima tuwaonyeshe watanzania na tuwafahamishe kuwa uharamia wa c.c.m ni dalili za umahututi wao kisiasa hivyo mkuu naomba uondoe hofu labda na wewe uwe kati ya waoga na wenye milengo isiyoeleweka.
 
Endeleeni kuhangaika huku mitandaoni. Zitto is another level. Usipende kumlinganisha na hilo kundi lenu la viongozi mbumbumbu walioshindwa na shule.

Huwezi kuwa mwenyekiti wa chama cha siasa ukiwa ulipata zero form six. Unawezaje kuwa msemaji wa chama kama Mnyika huku ulifeli Chuo kikuu? This can only happen in Chadema.

By hno
huyo aliyesoma zzk analiwa 0713:::NA RZ1.ATATUMIKA NA CCM MPAKA AFE
 
Back
Top Bottom