Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,626
- 5,346
Watu wanasombwa hapo waende CCM Kirumba wakajaze mkutano wa Mwigulu Nchemba...BILA SHAKA
HUO NI UZINDUZI WA ujenzi WA BARABARA MPYA , MAANA NAONA MALORI YA MCHANGA NA KOKOTO .
Watu wanasombwa hapo waende CCM Kirumba wakajaze mkutano wa Mwigulu Nchemba...BILA SHAKA
HUO NI UZINDUZI WA ujenzi WA BARABARA MPYA , MAANA NAONA MALORI YA MCHANGA NA KOKOTO .
Dah....Nenda kamshauri ZZK kuomba msamaha.
Huenda nae akasamehewa
Waliahidiwa mailioni kupitia mwanae Meya wa Shinyanga na Msaidizi wa Mbunge Masele kisha akina Nape na Masele wakawapandisha jukwaani kwa mbwembwe wakapewa mabunda ya bank notes pale Karina Hotel Shinyanga. Walipofika majumbani kwao wakahesabu kila mmoja akaambulia laki 2 tu the rest noti bandia. Cha kujiuliza Mchange ndiye aliyefaulisha "mzigo" wa akina Nape na Masele? Kwanini wanunue madiwani wa Chadema? Je, pamoja na muuza kuku kufariki, Masele atashinda bila zengwe 2015?
I see...
Yameshakuwa hayo?..Mimi na nani tulikuwa tunapiga kelele Zitto asamehewe Chifu?...
Alma unakariri Chifu..
Hayo nimeyatoa kama maoni/mtazamo wangu tu...Na ndani ya JF kama Jukwaa huru tunao Uhuru wa kuzungumza ....Where We Dare to Talk Openly...So hata ukiniambia 'To hell' haitosaidia..
Next time ujaribu kuheshimu michango/mawazo ya wenzako..Na usidhani kila anayechangia against unavyowaza ni shabiki maandazi wa CCM...
Bala.
chadema ina Mungu ccm ina mapepo
Dah....
Chifu unabore salsa..
Don't be that low...
Zitto wa nini tena hapa...Ama umelala unaota kwamba Bala na Zitto damdam?...Umebugi Chifu...Sijawahi kuwa mfuasi wala mtetezi wa Zitto..Na hata kama ningekuwa hivyo bado hauna mamlaka ya kunitaka nikamuombee msamaha Zitto..
Bala ni mchangiaji kama wachangiaji wengine. Nina Uhuru wa kuchangia ninachoona kinafaa mradi tu sivunji kanuni za JF..Binafsi naiheshimu sana michango yako na ya members wote..Na siku zote kama sijapendezwa na mchango flani huwa naupotezea...So nakuomba kama haupendezwi na ninachokiandika unipotezee tu mkuu wangu..
Uwe na Usiku mwema...
Bala.
Sijawahi kuwa na chuki na CHADEMA Chifu...Kama kuchangia kitu tofauti na unchofikiri ni kuwa na chuki na CHADEMA poa tu...Nani kasema wewe ni shabiki maandazi wa C ?
Nyie Chuki zenu kwa CHADEMA baada ya ZZK kuchinjiwa baharini kwa upopo wake hazitawasiaida kitu chochote
Chadema ingewafukuzia mbali..
I see....I am not that low as you think.
Kwa wanafiq kama nyie hatuwezi kuwaacha vivi hivi.
Lazima tuwachane live, kama ulivyosema hapa ni JF,a place where we dare to talk openly..
Ni vizuri kuwapokea ili kupitia tukio hili la mapokezi wananchi watambue jinsi wanasiasa walivyo wanafiki .......huyu mtu anayeitwa Mchange sijui kwanini hata maginiasi wa Zitto wasimshauri walau akae nae mbali kinafiki maana kwa level ya uchafu wake na mbaya zaidi watu wanafaili lake lenye connection nae itafikia mahali watu wadhalilika sana na vijiheshima vilivyosalia kutoweka....
I see....
Maneno yako yanakufanya uonekane low Chifu....
Sasa hapo unamchana nani Chifu....Mbona unakosea?
Yaani unamchana mtu ambaye hata haumjui....
Kwamba wewe ndio una uchungu sana na CHADEMA kiasi inakutia upofu???...Kazi kwelikweli....
Hivi ni nani mnafiki hapa, yule ambaye anamtukana Diwani baada ya kuhamia CCM tena kwa kununuliwa na baadae Diwani anarudi na kisha kupokelewa kishujaa na kusifiwa juu na yule ambaye anashangaa uamuzi wa ajabu kama huu?...
Unashangaza sana aisee...
Bala.
Nah ..Mkuu,
Inaonekana umeumia sana hao madiwani kutubu na kisamehewa.
Inashangaza sana...
Nah ..
Sijaumia Chifu...
Nimeshangaa tu...Why niumie mkuu??
Mkutano unaendelea sasa mjini Shinyanga na pichani ni madiwani walio rubuniwa na ccm wakirejea rasmi baada ya kutubu makosa yao.
Sasa wewe unayejinadi na usomi mbona huuoneshi usomi wenyewe! naona unashambulia mtu badala ya kushambulia hoja na kuja na hoja nzito! unatoa mipovu kama unakifafa vile. Leta hoja sio mikelele! Hao unaowaita Mr.Zero Brain wanaaminiwa na jamii kwa sababu ya hoja zao, wewe na majuha wenzako mliopa A's akili zenu zipo ma.ta.koni kwenu ndio maana mnapiga mayowe yasiyo na maana hapa.