Shinyanga: Madiwani walioasi CHADEMA warejea kundini

Shinyanga: Madiwani walioasi CHADEMA warejea kundini

Joined
Dec 11, 2010
Posts
3,321
Reaction score
6,331
Mkutano unaendelea sasa mjini Shinyanga na pichani ni madiwani walio rubuniwa na ccm wakirejea rasmi baada ya kutubu makosa yao.

Pamoja na madiwani wale kupokelewa jana ukweli ni kwamba haikuwa rahisi kutokana na dhahama. Waliyo kutana nayo uwanjani hapo kutoka kwa wananchi wa kawaida na wapenzi wa CHADEMA.

****************************** *****
Video Wakitoa Ushuhuda
****************************** *****



Bofya hapa habari24.blogspot.com/2014/07/tazama-hapa-tukio-la-aina-yake.html?spref=fb&m=1
 

Attachments

  • 1406732046402.jpg
    1406732046402.jpg
    71.3 KB · Views: 2,805
  • 1406732087035.jpg
    1406732087035.jpg
    66.6 KB · Views: 3,890
  • 1406732117123.jpg
    1406732117123.jpg
    69.8 KB · Views: 4,153
  • 1406732157092.jpg
    1406732157092.jpg
    71.6 KB · Views: 2,868
Last edited by a moderator:
Siasa za Tanzania ni zaidi ya Komedi....

Full vichekesho....Ningekuwa na uwezo nisingeruhusu hao Madiwani kurejea CHADEMA....Hao ni watu hatari sana na hawafai kuwemo ndani ya CHADEMA...Kamwe msiwaamini.....Usishangae kesho kusikia wamerudi CCM
 
Siasa za Tanzania ni zaidi ya Komedi....

Full vichekesho....Ningekuwa na uwezo nisingeruhusu hao Madiwani kurejea CHADEMA....Hao ni watu hatari sana na hawafai kuwemo ndani ya CHADEMA...Kamwe msiwaamini.....Usishangae kesho kusikia wamerudi CCM

Wanatakiwa kufunguliwa surveillance gadgets kabisa maana dhambi ya usailiti inaweza kujirudia na ikawa na effect mbaya. Okay let them get benefit of doubt.
 
Mkuu balatanda za miaka?...

Hao madiwani wasigombee nyadhfa yoyote
 
Karibuni..Lakini uongozi kwa sasa hapana.Mtakuwa wanachama wa kawaida tukiwachunguza mpaka tutakaporidhika na kutubu kwenu!
 
Watashindana lkn hawatashinda, hila zote, media zote kuhusu kuwa laghai watanzania eti chadema inasambaratika wakati wakijua ni siasa za maji taka a na kujidanganya wenyewe hawa maintarahamwe, leo sijui wanasema nini?
 
Hahahaha!! Ni wale waliopewa cheque fake na akina Nape+ Mwigulu?
Watakuwa wanachama TU milele
 
Hiyo ndio siasa. Hakuna rafiki wa kudumu na pia huwa hakuna adui wa kudumu
 
Zamani CHADEMA isingewasamehe 'wasaliti' hawa

naona now imeanza 'kunywea' na inatumia 'diplomacy' kutatua matatizo...

if only ........

cc Pasco
 
Last edited by a moderator:
Magamba na act ccm ni hatari iwe fundisho kwa makamanda wengine wapenda vya bure ,ccm ni waongo kama rais alihaidi meli mpya bukoba na kuwadanganya waislam watawapa mahakama ya kadhi kumbe danganya toto kwa wengine wasipigiwe kura!
 
Ni vizuri kuwapokea ili kupitia tukio hili la mapokezi wananchi watambue jinsi wanasiasa walivyo wanafiki .......huyu mtu anayeitwa Mchange sijui kwanini hata maginiasi wa Zitto wasimshauri walau akae nae mbali kinafiki maana kwa level ya uchafu wake na mbaya zaidi watu wanafaili lake lenye connection nae itafikia mahali watu wadhalilika sana na vijiheshima vilivyosalia kutoweka....
 
Back
Top Bottom