aaahaaaa!!! hela walizohongwa zimeisha eeh!!! ila ni shangwa kondoo aliyepotea kurudi kundini sasa kuwafunga tu kamba!!!
ukijifanya kipofu nitaweka jina lako hapa... wewe ni kiongozi wa ccm
Waliasi? Si mlisema walikuwa wameshafukuzwa muda mrefu na hamuwatambui?
Endeleeni kuhangaika huku mitandaoni. Zitto is another level. Usipende kumlinganisha na hilo kundi lenu la viongozi mbumbumbu walioshindwa na shule.
Huwezi kuwa mwenyekiti wa chama cha siasa ukiwa ulipata zero form six. Unawezaje kuwa msemaji wa chama kama Mnyika huku ulifeli Chuo kikuu? This can only happen in Chadema.
Sindano imekuingia intarahamwe weweI see.....
With all due respect...Naomba nikuruhusu unitaje jina langu halisi na nafasi yangu ya uongozi ndani ya CCM Mkuu....Mods Invisible na Cookie tafadhali naombeni mumruhusu pia huyu Mkuu ataje jina langu halisi na nafasi yangu ya uongozi ndani ya CCM...
This is too low for a JF Senior member kama wewe, ambaye ukishindwa hoja unakuja viroja vya kutishiana kutajana majina badala ya kujibu hoja...Hoja hujibiwa kwa hoja (angalia Mohamedi Mtoi alivyonijibu)
Nina miaka zaidi ya 6 ndani ya JF...Mara ya mwisho kutishiwa kwa tuhuma za aina yako ilikuwa ni mwaka 2009..Leo nashangaa na wewe unakuja na kiroja hiki dhaifu..
Kama unaona post zangu zinakukera naomba uziptezee Chifu..Au kama unaona zinachafua hali ya hewa bonyeza kitufe cha 'Report Abuse' ...Zaidi ya hapo utaonekana umeishiwa hoja...Wenzio huwa wanataja tu majina moja kwa moja badala ya kuja na mikwara mbuzi ya kitoto na ya kizamani kama huu wa kwako...
Bala Is Always Here.....
Bala.
Zamani CHADEMA isingewasamehe 'wasaliti' hawa
naona now imeanza 'kunywea' na inatumia 'diplomacy' kutatua matatizo...
if only ........
cc Pasco
chadema wamewahonga hao madiwani kwa dau kubwa sana na kuwarubuni hao vijana.machadema watoaji rushwa
Hao wasipewe wadhifa wowote katika chama wabaki tu kama wanachama wa kawaida.
Zamani CHADEMA isingewasamehe 'wasaliti' hawa
naona now imeanza 'kunywea' na inatumia 'diplomacy' kutatua matatizo...
if only ........
cc Pasco
Zamani CHADEMA isingewasamehe 'wasaliti' hawa
naona now imeanza 'kunywea' na inatumia 'diplomacy' kutatua matatizo...
if only ........
cc Pasco
Sidhani kama Una imani na usemacho!
Huu uzi umefika ukurasa wa tisa, sijaona MwanaDiwani akija na propaganda zake za kitoto hapa!
Chadema hawaongi ndugu yangu.Nape aliingia kichwa kichwa ameumbuka mwenyewe chezea Ukawa wewe.
chadema wamewahonga hao madiwani kwa dau kubwa sana na kuwarubuni hao vijana.machadema watoaji rushwa