Shinyanga: Madiwani walioasi CHADEMA warejea kundini

Shinyanga: Madiwani walioasi CHADEMA warejea kundini

Endeleeni kuhangaika huku mitandaoni. Zitto is another level. Usipende kumlinganisha na hilo kundi lenu la viongozi mbumbumbu walioshindwa na shule.

Huwezi kuwa mwenyekiti wa chama cha siasa ukiwa ulipata zero form six. Unawezaje kuwa msemaji wa chama kama Mnyika huku ulifeli Chuo kikuu? This can only happen in Chadema.

1. Abraham Lincoln, lawyer, U.S. president. Finished one year of formal schooling, self-taught himself trigonometry, and read Blackstone on his own to become a lawyer.
2. Amadeo Peter Giannini, multimillionaire founder of Bank of America. Dropped out of high school
3. Andrew Carnegie, industrialist and philanthropist, and one of the first mega-billionaires in the US. Elementary school dropout
 

Attachments

  • 1406831868109.jpg
    1406831868109.jpg
    5.4 KB · Views: 492
Zamani CHADEMA isingewasamehe 'wasaliti' hawa

naona now imeanza 'kunywea' na inatumia 'diplomacy' kutatua matatizo...

if only ........

cc Pasco

mkenge huo...kuku akilala nje sio kuku wako tena,,, why trust those murtadi
 
Siku walipo hadaiwa ilikuwa kama wanavyo onekana hapo kwenye picha.
CCM wanaaibika sana.Ni km watu wanaokuja hubiri dini jukwaani halafu wanapata watu wa hovyo,wengine wakiwa na mawazo, wengine wamejikuta hapo kwa hadaa zilizopelekwa harakaharaka na weka na vitisho vikipambwa na ahadi au hela ,wakiwepo na walevi wanaojiunga hapo hapo siku inayofuatia wanajikuta hakuna kitu.
 
Wakuu

Video hapo chini ni diwani aliyeasi CHADEMA na kwenda CCM na baadae kurudi akitoa ushuhuda wa waliyo kutana na sababu zilizo warudisha.

Watch "Diwani wa Masekelo Zakaria Mfuko" on YouTube - Diwani wa Masekelo Zakaria Mfuko:

 
Last edited by a moderator:
CCM hawana mvuto kisiasa zaidi ya ubabe wa kutumia dola na kununua wanasiasa.
 
CCM majambazi hawawezi kuendesha siasa za usataarabu zaidi ya umafia halafu hawa vijana wana wa watawala wana ndoto za wao kuwa maraisi kwa sababu wanadhani watanzania wajinga kuweka wana ukoo
 
Pesa bana!! Jamaa walihadaika na pesa...sasa wamerudi nyumbani...
 
Jana nilimsikia Abasanjo akisema insanity is to keep doing the same thing over and over again huku ukitegemea different results!!! Huu ni msemo wa kale sana lakini umebeba ujumbe mwanana sana kwa Wana ccm wote!!! Swali kwa CCM: Mnategemea maisha bora kutoka kwa viongozi wa ccm? Mnategemea kuwa sera mbinu na mikakati ya CCM itawakwamua kiuchumi?... Kila mwaka mnawachagua CCM, Maisha yenu yanabadilika kulingana na Rasilimali lukuki Mungu alizotujaalia? Mnategemea kuwa CCM wataacha UFISADI? Lini Shoga lililokubuhu kama CCM litaacha ushoga wa Kuuza rasilimali za Taifa? ... Naomba majibu hususan kutoka kwa MSALANI, Ifweero, Ritz et al
 
Ila ilitakiwa wawataje hao aliowapa hizo hela feki ili wafikishwe kwenye vyombo vya sheria
 
Ni kwanini kama ni kweli wanachama wa chama tawala na kikongwe kama CCM wanaangaika na kutumia mbinu chafu kudhoofisha vyama vichanga kama CUF,CHADEMA au NCCR MAGEUZI na nk???!!! CCM inahisi kupoteza ushawishi kwa wananchi au nini? Kuna msemo wa "kizuri CHAJIUZA, kibaya CHAJITEMBEZA" ni kweli chama kikongwe CCM kimefikia kuogopa vyama vichanga namna hii!!?? Tafakari........
 
Aliyezoea kula nyama ya mtu hawezi kuacha................................!
 
Ni kwanini kama ni kweli wanachama wa chama tawala na kikongwe kama CCM wanaangaika na kutumia mbinu chafu kudhoofisha vyama vichanga kama CUF,CHADEMA au NCCR MAGEUZI na nk???!!! CCM inahisi kupoteza ushawishi kwa wananchi au nini? Kuna msemo wa "kizuri CHAJIUZA, kibaya CHAJITEMBEZA" ni kweli chama kikongwe CCM kimefikia kuogopa vyama vichanga namna hii!!?? Tafakari........


Mkuu tena mwenyekiti wa ccm alishasema ni vyama vya msimu, nashanga vinawanyima usingizi... si watulie msimu ukiisha na chadema itapotea..... ccm hawajitambui ndio maana hawajiamini..... mtaji wao mkubwa kwa sasa ni siasa za maji taka, kuua, kutesa na kutishia maisha ya watu.... siasa za kistaarabu zilikufa na nyerere(RIP)
 
Hivi mwanaume anaweza kuzungumza eti ameshawishiwa??? Dahh hii Nilikua naona kwa kina dada tu wanaambiwa waepuke vishawishi Kumbe hadi wanaume??,Huyu jamaa amenishangaza sana
 
Zitto is very smart, mmewapeleka madiwani kama chambo ..... Wamechezea kama alivyokuwa akichezea Ben Wa Saanane mzee wa sumu.... hawajakutana naye....
 
Wakuu

Video hapo chini ni diwani aliyeasi CHADEMA na kwenda CCM na baadae kurudi akitoa ushuhuda wa waliyo kutana na sababu zilizo warudisha.

Watch "Diwani wa Masekelo Zakaria Mfuko" on YouTube - Diwani wa Masekelo Zakaria Mfuko:



Inavyoonekana hawa madiwani walitumwa na CDM kwa kazi maalumu maana lengo kuu lilikuwa kukutana na Zitto ili kutafuta ushahidi lakini kwa sababu jamaa kawazidi akili wakachezea na posho waliopewa na CDM kwa kazi maalumu ilipoisha ikabidi warudie udiwani wao...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom