Upuuzi kabisa huu...ivi nin tafsiri halisi ya wasaliti ndan ya chadema??!! Hiki chama kinaongozwa na wahuni i cnt blv ths ---- is happenin...!!
Hivi mkutano mkubwa kama huu ulihutubiwa na dr au kiongoz wa kawaida? Alafu hawa watu hawajasombwa kwa malori kama ccvm. Kwel nawaambia ccm someni alama za nyakati
mkuu umesoma vizuri ulichokiandika.?Hakuna msimu mzuri kwa zao la siasa kama huu,dawa nzuri ya msimu huu ni kivuna pesa za wajinga na kurejea nazo kunduni kwako
Hahahaha!! Ni wale waliopewa cheque fake na akina Nape+ Mwigulu?
Watakuwa wanachama TU milele
Hivi mkutano mkubwa kama huu ulihutubiwa na dr au kiongoz wa kawaida? Alafu hawa watu hawajasombwa kwa malori kama ccvm. Kwel nawaambia ccm someni alama za nyakati
Nilikuwa na Malya Jana msibani akaitwa Diwani wa kimandolu aje mbele akaangalia chini kumbe mchungaji alikuwepo ikasaidia maana ni full aibu.
ndiyo tulisema walishafukuzwa zamani leo wamerudi tumewapokea,ww B7unatakaje kwani?Hata zito akitubu naye tuta mpokea halafu tuone mnasemaje,au yy hawezi tubu kwa sababu alitimiziwa ahadi yake.Waliasi? Si mlisema walikuwa wameshafukuzwa muda mrefu na hamuwatambui?
Salama mkuu wangu Teamo....Kweli kitambo sana mkuu wangu...Mkuu balatanda za miaka?...
Hao madiwani wasigombee nyadhfa yoyote
Only in Tanzania wanachama kusombwa na malori kwenda mkutanoni kama viroba vya mchele vinavyopelekwa sokoni!!!
Mkuu hao na malori yao chadema na watu wao!
Hawa madiwani ni wasanii sana kesho utasikia wamekwenda NCCR Mageuzi, oil chafu inatumika tena njaa mbaya sana.