Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,467
- 283,808
Mungi...
Pamoja na upumbavu wa CCM...Hao Madiwani tayari wana 'price tag'..Hawafai kuwa kwenye chama makini kama CHADEMA...Mlipaswa kutowapokea na kuwafutilia mbali uanachama...Hawakupaswa kupokelewa kishujaa hivi....
Hawa ni Maadui wakubwa wa CHADEMA na Maadui wakubwa wa Demokrasia ya Tanzania...Wamewakosea sana wananchi waliowachagua....CHADEMA kama chama kinachoamini kwenye dhana ya Usaliti mmekosea katika hili...Hasa ikizingatiwa mlisema kwamba walishafutitwa uanachama siku nyingi (hii ilikuwa ni baada ya Madiwani hawa kuhamia CCM)...
USIJALI MKUU , HIZO ni MBINU ZA KIVITA TU .