Shindano: Mr. Yahaya wa jf

NDIO!
:hatari::hatari::shetani::shetani::bange::bange:
Ila nipe kwanza lyrics za huo wimbo ili niweze kumtambua vema yahaya!


Kiitikio: yahaya unaishi wapi? Kwani jina lako halisi nani yahaya weeeeeeeee! Yahaya! Yahaya! Yahaya! Maskani yako kinondoni, nyumba namba haijulikani yahaya weeeeeeeeeee! Yahaya! Yahaya ! Yahaya!

Verse 1: atakuja kukuimbia Asprin
Verse2: ataimba Nivea lol.... Upo Paloma?
 
Last edited by a moderator:

Eish! Toto limezaliwa jana tu leo lishaanza umbea. Khaaaa!!!
 
Last edited by a moderator:
NDIO!
:hatari::hatari::shetani::shetani::bange::bange:
Ila nipe kwanza lyrics za huo wimbo ili niweze kumtambua vema yahaya!

Chorus:

sosoliso unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani sosoliso eeehh
Oooh sosoliso, Oooh sosoliso ,Oooh sosoliso
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Chorus:
sosoliso unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani sosoliso eeehh
Oooh sosoliso, Oooh sosoliso ,Oooh sosoliso
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh
Oooh sosoliso, Oooh sosoliso

VERSE 1:
Huyu kijana mwenzetu, Kila siku tupo nae maskani
Anakula ofa za watu, Anapoishi hata hapajulikani
Tumetafuta, tumeuliza, hakuna ajuae
Anavyozuga, anavyopita
Si umdhaniae
Na hafananii kabisa, na fix anazofanya
Akidanganya kwa kina
Unaingia kingi unafuata, kumbe hana helaaaa
Longo longo nyingi

VERSE 2
Kwa story za vilingeni, Utafikiri kweli yeye ndio boss
Suruali zake na mashati, Anasema anafanya kazi bank
Mara anasema usalama wa Taifa, Hakuna ajuae
Kalubandika wa kizazi kipya, usomdhaniae
Na hafanii kabisa, na fix anazofanya
Akidanganya kwa kina
Unaingia kingi unafuata, kumbe hana helaaaa
Ooooh sosoliso

Mara anasema usalama wa Taifa
Hakuna ajuae
Kalubandika wa kizazi kipya
Uso mdhaniae
Na hafanii kabisa na fix anazo fanya
Akidanganya kwa kina, unaingia kingi unafuata
Kumbe hana helaa

Chorus:
sosoliso unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani sosoliso eeehh
Oooh Yahaya, Oooh sosoliso, Oooh sosoliso
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Chorus:
sosoliso unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani sosoliso eeehh
Oooh sosoliso, Oooh sosoliso ,Oooh sosoliso
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh
Oooh sosoliso, Oooh sosoliso
mwisho.
aione sosoliso
 
Last edited by a moderator:

Mweeeeh.. Hivi Nivea una nini na mie..? Babe Paloma unaona sasa mie mpaka ninafananishwa na yahaya..?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…