shindano la nani zaidi cc kapo

shindano la nani zaidi cc kapo

cku izi u dont kol me no more...cjui umepata kidbro mwingine? ndo maana imebidi nitafute replacement yako in Mrembo by Nature even though she also never calls me...:crying::crying::crying:

My kid bro... Haya mambo gani haya?! Sis anaweza kuwa replaced jamani??!! Lol
 
Hata ufanyaje Remmy kwangu kwa sasa pamejaa...salamu hizi zifikishe na kwa Amyner na Kipipi (niliwapenda enzi zenu...sasa ni zamu ya under 18.... Chocs for me)

Mmmm


Haya napita mie, naona hali yahewa sio nzuri
Ngoja nijaribu kutekeleza signature yako.
 
Last edited by a moderator:
Sijaona la maana hapo zaidi ya umbea tu.

BTW, hayo ya kwao mie hayanihusu kabisaaaaaaaaa!!!!
After all na vifanyio ni vya kwao pia. . . why should I bother myself???
Akhuuuu!!!!
Watajuana wenyewe.

Imeku touch sana.. hapo kuna kaudhaifu unaonyesha!!
mambo ya sitaki nataka,
Sasa we tulia tu utajwe mpaka basi..
Na nilikuambia ufanye hivyo ili ile hali ya kutajwa tajwa sana na Erickb52 isiwepo!
 
Last edited by a moderator:
Mmmm


Haya napita mie, naona hali yahewa sio nzuri
Ngoja nijaribu kutekeleza signature yako.

Itakusaidia sana kwa maisha yako ya baadae...!
Ikopi ukaiprint uiweke kwenye notice board yako.

Btw Remmy nakumiss
 
Last edited by a moderator:
Mwenzangu atakuwa mwananthropolojia. nimewaona jana wamekumbatiana kwenye uchochoro karibu na dukani kwa mpemba (taratibu wasisikie naogopa kusutwa)


Duh... Kweli napitwa uhondo! Mie nilimhisi Erickb52, kumbe nimechemka?! Lol. Mie naenda kulala... Kipipi popote ulipo tafadhali naomba nitambulishe haya ya mwanaanthropolojia yamekuja lini tena?
 
Last edited by a moderator:
Itakusaidia sana kwa maisha yako ya baadae...!
Ikopi ukaiprint uiweke kwenye notice board yako.

Btw Remmy nakumiss

Ha ha haaaa

I will publish it.


But dont miss me plz.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom