shindano la nani zaidi cc kapo

shindano la nani zaidi cc kapo

We mwanaume wew daw yako ipo jikoni....!!!Siku si nyingi utampigia Erickb52 salute as ulivyofanya hapo kwenye avatar.

Akiweza kutembelea kichwa nitampigia...
Umelishwa nini?
 
Last edited by a moderator:
Ukishapata waratibu uniambie nishauriane na wife kama kuna haja ha kujoin maana itabidi watafutwe washindi wa pili na watatu tu!

Copy; marejesho
 
Last edited by a moderator:
Jamani ebu niacheni bana msinitaje taje mie kwenye mambo yasokuwa na mashiko.

Mi nakutaja mara 1 ya mwisho, ni hivi! naomba umwambie huyu Chocs, aliyeshikwa pembe ashtuke na aone jinsi wewe unavyofanyiwa ili achukue hatua mapema
 
Last edited by a moderator:
Mi nakutaja mara 1 ya mwisho, ni hivi! naomba umwambie huyu Chocs, aliyeshikwa pembe ashtuke na aone jinsi wewe unavyofanyiwa ili achukue hatua mapema

Mfa maji haishi kutapatapa............!! niache nipumue jamaniiii.......
 
Back
Top Bottom