shindano la nani zaidi cc kapo

shindano la nani zaidi cc kapo

Mfa maji haishi kutapatapa............!! niache nipumue jamaniiii.......

Kwani nimekushika?
Utanifananisha sana mwaka huu...tarehe 2 na 3..ntakuwa hukoo kwako! Nitakupitia jioni twende makoroboi
 
Duh!! 16 damn pages?! I hope hii ni matokeo ya wapiga kura na kuwa sasa naweza ambiwa washindi wa mchakato huu ni nani! Sipo siku nyingi hadi nasikia zumbemkuu anatoka na Mrembo by Nature kama kapo ya Jf... Ni ya kweli haya? :A S 39:

CC: Bishanga
 
Last edited by a moderator:

AshaDii mimi nina kidumu changu Mentor, hujasikia kwani? Mimi ni ndoo ya watu tayari. Huyu zumbemkuu mimi hata sijawahi hata simama nae barabarani
 
Really??!! Hivi unajua kuwa Mentor ni mdogo wangu wa damu kabisa :biggrin:; Kwa hiyo wewe ni kawifi kangu? Nashukuru kukufahamu... Karibu sana kwenye familia yetu dear... I would like you to meet familia yoote so will have to cook you a special dinner. Karibu sana with Love. :A S-heart-2:

P.S Usijali kuhusu Zumbemkuu... Utamfahamu siku nikikuandalia hiyo makuli. Lol
 
Really??!! Hivi unajua kuwa Mentor ni mdogo wangu wa damu kabisa :biggrin:; Kwa hiyo wewe ni kawifi kangu? Nashukuru kukufahamu... Karibu sana kwenye familia yetu dear... I would like you to meet familia yoote so will have to cook you a special dinner. Karibu sana with Love. :A S-heart-2:

AshaDii yeye ni KIDUMU changu tu, usitake niaibike mwenzako, ukute huko kwenye familia yenu kuna rafiki wa mama wa NDOO yangu, ntaumbuka mwenzako, ngoja iendelee kuwa siri tu kwanza alafu nikiwa tayari nitakwambia ukantambulishe
 
My oooh My!!! Damn!!! (Ngoja nivute pumzi kidogo.. Lol)
 
Kid bro ndiyo mambo gani haya ya kutopeana update? Unaona sasa sikujua kuwa huyu mrembo siku zote ni sis wangu in law? (ama niseme in broken laws?) Lol.

You are missed too Dear... Mar'haba!
AshaDii, Ndo umejua leo my wii, mie ndio namlea kaka yako na kumfanya awe na furaha mjini hapa. Siku ukimuona amenuna niulize mimi kwanza kabla hujamuuliza...
 
Last edited by a moderator:
Mi nakutaja mara 1 ya mwisho, ni hivi! naomba umwambie huyu Chocs, aliyeshikwa pembe ashtuke na aone jinsi wewe unavyofanyiwa ili achukue hatua mapema

Sijaona la maana hapo zaidi ya umbea tu.

BTW, hayo ya kwao mie hayanihusu kabisaaaaaaaaa!!!!
After all na vifanyio ni vya kwao pia. . . why should I bother myself???
Akhuuuu!!!!
Watajuana wenyewe.
 
Kid bro ndiyo mambo gani haya ya kutopeana update? Unaona sasa sikujua kuwa huyu mrembo siku zote ni sis wangu in law? (ama niseme in broken laws?) Lol.

You are missed too Dear... Mar'haba!

cku izi u dont kol me no more...cjui umepata kidbro mwingine? ndo maana imebidi nitafute replacement yako in Mrembo by Nature even though she also never calls me...:crying::crying::crying:
 
Last edited by a moderator:
Mentor kidumu my pipi kijiti lolipopo ntakuwa nakucall daily, si unajua tena kidumu kupalilia.....usiseme sana wabaya wataona waanze kuchonga
 
Last edited by a moderator:
AshaDii, Ndo umejua leo my wii, mie ndio namlea kaka yako na kumfanya awe na furaha mjini hapa. Siku ukimuona amenuna niulize mimi kwanza kabla hujamuuliza...

Aisee... Hongera sana Mrembo... Inapendeza. Yeye Kipipi anatoka na nani? (Umbea sunnah) Lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom